Invisible
Robot
- Feb 26, 2006
- 16,285
- 8,464
Refa anatuonea sana, kha!Naombeni matokeo jamaa wamezima umeme hapa Kyela?
Refa ni wa Man U
Refa anatuonea sana, kha!Naombeni matokeo jamaa wamezima umeme hapa Kyela?
Refa anatuonea sana, kha!
Refa ni wa Man U
Duh...Matokeo cmu yangu inazima charge mudas si mrefu!
Dah,
Dakika ya 87, Man U wanashambulia kwa kasi goli la Chelsea...
Chelsea 1 - 0 Man U
refa maliza mpira
Nimekunja vidole ile mbayaaaaMpaka dakika ya 97
Mpaka dakika ya 97
Eh,
Dakika 5 zilizoongezwa ni fursa ya Man U...
Eh... Mhhh, dah
dkk 5 kwa man utd nyingi sana, e bana ehhhh dah!!
Nimekunja vidole ile mbayaaaa