Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hongereni chelsea kila dalili za kushinda zilikuwepo .man u 0 - chelsea 1
 
Cha msingi pointi mkobani kwa mechi kama hizi. Tuko pamoja mkuu!

Kwa game kubwa kama hizi kinachoangaliwa ni point 3 na si kufunga magoli mengine ikitokea inakuwa bahati.Tusubiri tena hadi tar.29 Emirate.
 
Vijana kazi nzuri ila game ilikuwa tait kiukweli Man U walikuwa vizuri sana leo.
Hongereni lakini nafikiri umewaona vijana wa MANU,tuliwabana mapaka mkakimbia game ilikuwa ni vita hasa midfilders bahati yenu mcheza kwao hutunzwa
 
Ebo!! Kuondoka kidogo ishafika thread ya 11, mlikuwa wapi wakati mechi inaendelea? Hongereni sana lakini.

Ab Tichaz wiki chache zijazo nakuja mitaa ya kwenu kuwaangalia either Wolverine au Fighting Irish.

Karibu sana mkuu...bora kiwinter kisiwe kimeanza kupiga maana
hua hapatoshi hapa 'Great Lakes'.
 
Hongereni lakini nafikiri umewaona vijana wa MANU,tuliwabana mapaka mkakimbia game ilikuwa ni vita hasa midfilders bahati yenu mcheza kwao hutunzwa

..hizi nd'o hadisi za "chenga tuliwala...."

Hio pongezi tutaipokea kwa moyo mmoja lakini hayo mengine ni
yako mwenyewe. Hamna cha bahati wala nini!
 
Cong's The Blues...am glad kwa mara ya kwanza this season nili injoi game SAFI sana. For sure it was the best premeirship matchso far.

ITS NOT OVER TILL ITS OVER.....!
 
Goooooooooooooooooooooaaaaaaaaaaaaal!!!

_46692060_008249434-1.jpg

John-Terry-Chelsea-Premier-League-PA2_2382448.jpg
 
Hongera Chelsea, bado kidogo tu mtamfanya kuwa mteja wenu wa kudumu.
 
Ha!ha!ha!...Hongereni wazee wa darajani......! hongera Masa, Mvina et al!.....Subirini Aston Villa....!
 
Ha!ha!ha!...Hongereni wazee wa darajani......! hongera Masa, Mvina et al!.....Subirini Aston Villa....!

N L yaani we unatupa hongera kwavile tumeshinda jana au kwavile tulifungwa na Villa? Game lijalo hawa madogo watakuja darajani ni lazima tuwazibe kidomodomo.Pamoja sana wakuu!
 
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=XMiy_UsrPDs[/ame]

Hii ni kwa ajili ya wapenzi wa Chelsea. Kwa ushindi wa jana. Nimewaletea kipande mahsusi maana kwa namna moja au nyingine kinahusika na Chelsea. Naona Invisible na Ab-Tichaz wanakenua pale..

BTW, Nashindwa kuelewa hivi Ashley aliwezaje kumcheat huyu binti malaika, tena anaonekana hana dhambi hata ya kusingiziwa.. eeh? mrembo, portable, dimples ..(mipaka yangu ya 'ufafanuzi' inaishia hapo).

Nways, mie sina la ziada.
 
http://www.youtube.com/watch?v=XMiy_UsrPDs

Ahsante mkuu kwa kutupa mambo ya "shemeji".
 
Thanx mzee kwa burudani ila uwe unatuletea na vile vizuri unavyokula wewe ili ule na ndugu zako hapa.
 
Chelsea fans, hongereni sana!..Japo niliumia kweli kufungwa na nyie..mmh! but Man always for life na juuu!!!
 
IT'S SAINT DROGBA
Chelsea striker Didier Drogba has pledged £3million to build a hospital in the Ivory Coast, the Daily Mail reports. The money will come from the fee Drogba is set to receive when he becomes the new face of Pepsi. There is also expected to be a donation - that could match Drogba's - from Chelsea chairman Roman Abramovich to show support. The Mail reports: "The project in the Ivory Coast, Drogba's homeland, will shock those who consider Drogba the unacceptable face of the Premier League."

SAFI sana Drogba.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom