kaka tunaipenda Chelsea, lakini kwenye udhaifu lazima tusema, defence jana haikuwa makini kaka, na hiyo ni alert / warning sign, ndio tumewafunga goal sita, lakini tumepigwa tatu na si kawaida ya Chelsea kufungwa goli za kihivyo, kuna kujisahau au kupoteza concentration kwa mabeki wetu jana, Goal la Etoo liliniuma sana jana
we jamaa kweli kituko...kila unapoiongelea chelsea na wewe unajiinclude...whats wrong with u!?
Azip ni mzuri lakini sijuhi kwa nini Mou hajatafuta competent fulbackleft anayetumia mguu wa kushoto, tuna mashindano mengi, mechi nyingi kwa back inavyoenda bila kuwa na umakini na kuachia magoli ya kizembe tutakuja lia humu