Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

10629736_1151988328174715_3347145325362708978_n.jpg
 
umesema vizuri mkuu Mourinho;
lakini mimi bado nina imani sana na Terry.
makosa yaliyotokea ni ya 'idara nzima' si ya Terry peke yake. goli la kwanza la Everton ilipigwa krosi na Cahill akachelewa kuruka. Mirralas akamzidi ujanja cahill akapiga kichwa.

goli la pili ni penetration pass ilianzia kwa Ramires akafanya makosa madogo wakapiga pasi kwa Naismith fasta dogo akatupia wavuni.

la tatu ni kosa la idara nzima; mpira wa adhabu wa Baines, na tena kabla ya mechi nilizungumzia hatari ya Baines na Coleman.. lakini niseme kwamba kama tungeamua kukaba ni kweli madogo wasingeweza kutufunga hata goli moja. lakini pia tusingeshinda ile mechi kwa magoli mengi huenda ingekuwa droo.

CHELSEA ilikuwa sahihi kushambulia mwanzo mwisho..
Kuhusu Mikel uko sahihi ndo maana kocha hajamtoa kwenye kikosi. Mikel ana vitu ambavyo matiki hana. Mikel ni mbabe na ana nguvu zaidi kuliko Matic. Uzuri wa Matic ni pasi zake..

ngoja nipate msosi nitarudi tuongee.:hungry:

Me bukheri wa afya Mkuu, amani kule Turin itarudi dirisha la usajiri litakapofungwa, bado nina kitete hapa.
Match yenu na Everton ilikua poa with unusual scores na mlikua na kwikwi kwenye defense, Azpilicueta kama kadrop form na JT umri umeanza kucatch with him. Napenda siku moja kuona back four ya Azplicueta (RB) Luis (LB) Cahill na Brana wapige kati, halafu kwenye match tafu kama ya juzi mnamuhitaji sana Mikel kumsaidia Matic kwenye shughuli za ulinzi. So far Brana, Matic, Ramires na Costa walikua na game nzuri sana against The Toffees
 
Wana wa Darajani!!

Wakuu it has been announced officially that mwaka huu mpinzani wetu mpya ni Man U baada ya kuja Falcao!!
kwa hiyo title race ni Majogoo wa Anfield,Man City na Man U

Nyie mtagombea na Arsenal nafasi ya 4 lkn nawapa nyie chapuo kuchukua nafasi hiyo kwa goal difference
agosti 8 Ntuzu

Hahahaaaaa
Malafyale nimemzidi Man Utd point 7 na wewe na na Man City nimewazi pont 3 na goli goli kazaa alafu unajifariji kua nyie ndio mabingwa!!!! Unaota kweli wewe.
 
Last edited by a moderator:
mkuu Viol; Mo Salah alikuwepo kwenye mipango ya kocha. hata jumamosi tulipoenda kufanya fujo pale kwa Everton alikaa benchi. inamaanisha kwamba kocha bado ana mipango naye.

jambo la pili ni kwamba huyu kijana alisajiliwa na Mou mwenyewe, kama tu Schurrle. wachezaji ambao Mou anasajili mwenyewe huwa hawatupi.

Nikupe mfano: Essien alimsajili mwenyewe..ndo maana alipofulia alimchukua akawa anamtumia pale Real Madrid kama beki wa kulia.
Didier Drogba alimsajili mwenyewe..

yeye Mourinho akikuamini akakusajili..basi utulie utapata namba. Lakini kama hatakuwa na uhakika wa kumpanga anaweza kumpeleka kwa mkopo. lakini sijasikia popote kwamba SALAH ataondoka...jamaa ni mchezaji muhimu sana kwa CHELSEA FC.

salahsub.png

Mkuu uko sawa kabisa, Salah ni mchezaji muhimu sn kwa game muhimu-sijui naeleweka nikisema hivi wakuu?

Nitatoa mfano kidogo, kuna wachezaji km wanne hivi wanafanana ktk uchezaji wao na nafasi zao wanazocheza, ni Hazard, Willian, Schurrle na Salah na hawa wote wana sifa ya kudrive mpira kwa kasi sn na kwa mfumo wa counter attack hawa ni wazuri sn kutumika.

Tunashiriki mashindano manne kwahiyo ni vema kua na mbadala wa wachezaji wawili wawili wazuri.

Salah hawezi kupelekwa popote pale ata kwa mkopo.
 
Me bukheri wa afya Mkuu, amani kule Turin itarudi dirisha la usajiri litakapofungwa, bado nina kitete hapa.
Match yenu na Everton ilikua poa with unusual scores na mlikua na kwikwi kwenye defense, Azpilicueta kama kadrop form na JT umri umeanza kucatch with him. Napenda siku moja kuona back four ya Azplicueta (RB) Luis (LB) Cahill na Brana wapige kati, halafu kwenye match tafu kama ya juzi mnamuhitaji sana Mikel kumsaidia Matic kwenye shughuli za ulinzi. So far Brana, Matic, Ramires na Costa walikua na game nzuri sana against The Toffees

Kulikua na umuhimu wa kumchezesha Ramires ile juzi km pacha wa Matic kwasababu Ramires ni Box to box midfielder. Kwahiyo kuwepo kwake kulisaidia kupeleka mashambulizi mbele na kusaidia ulinzi nyuma. Kwahiyo mkuu kwa game ya juzi kulikua na umuhimu wa kufanya hivyo hasa kutokana na mfumo tuliocheza wa kushambulia.
 
jamal blackman ------> middlesbrough kw mkopo
huyu jamaa blackman anafananaje? namckia tu ........ agosti 8

Grand PA
 
Last edited by a moderator:
Me bukheri wa afya Mkuu, amani kule Turin itarudi dirisha la usajiri litakapofungwa, bado nina kitete hapa.
Match yenu na Everton ilikua poa with unusual scores na mlikua na kwikwi kwenye defense, Azpilicueta kama kadrop form na JT umri umeanza kucatch with him. Napenda siku moja kuona back four ya Azplicueta (RB) Luis (LB) Cahill na Brana wapige kati, halafu kwenye match tafu kama ya juzi mnamuhitaji sana Mikel kumsaidia Matic kwenye shughuli za ulinzi. So far Brana, Matic, Ramires na Costa walikua na game nzuri sana against The Toffees

Thanks Kaka, kama na wewe uliliona hilo, Chelsea tumeshinda lakini tulipokuwa weak lazima tupafanyie comments, onc unapoweka comments kama hizo unaonekana upo negatives na Chelsea,

Najua tuna wachezaji wazuri sana wa Defence, japokuwa mechi za mwanzo tulicheza vizuri, binafsi pia niliizungumzia mechi yetu na Everton, kulikuwa na weakness na lack of concentration kwa baadhi ya wachezaji wa Nyuma, hivyo nikasema hiyo ni Alert na warning sign na its time now Mou aanze kumrudisha kila mtu kwenye Natural position yake,

Lakini anakuja mtu kama mossad anakwambia we ni chizi, Kaka mossad najua kuna wachezaji gani Chelsea na wako capable kiasi gani, please kubali weakness yetu ya defence kwa mechi ya Everton,
 
Last edited by a moderator:
images

Kwani Steven Gerrard ameacha amepona
ugonjwa wake wa KUANGUKA ANGUKA?

sina shaka nyie hata mfike wapi lakini najua
kama kawaida yenu tutawapiga na tena
msimu huu mtateleza sana tu.:wacko:

Wana wa Darajani!!

Wakuu it has been announced officially that mwaka huu mpinzani wetu mpya ni Man U baada ya kuja Falcao!!
kwa hiyo title race ni Majogoo wa Anfield,Man City na Man U

Nyie mtagombea na Arsenal nafasi ya 4 lkn nawapa nyie chapuo kuchukua nafasi hiyo kwa goal difference
agosti 8 Ntuzu
 
Thanks Kaka, kama na wewe uliliona hilo, Chelsea tumeshinda lakini tulipokuwa weak lazima tupafanyie comments, onc unapoweka comments kama hizo unaonekana upo negatives na Chelsea,

Najua tuna wachezaji wazuri sana wa Defence, japokuwa mechi za mwanzo tulicheza vizuri, binafsi pia niliizungumzia mechi yetu na Everton, kulikuwa na weakness na lack of concentration kwa baadhi ya wachezaji wa Nyuma, hivyo nikasema hiyo ni Alert na warning sign na its time now Mou aanze kumrudisha kila mtu kwenye Natural position yake,

Lakini anakuja mtu kama mossad anakwambia we ni chizi, Kaka mossad najua kuna wachezaji gani Chelsea na wako capable kiasi gani, please kubali weakness yetu ya defence kwa mechi ya Everton,

mechi ya EVERTON haikuwa na weakness yoyote kwenye defense..yale ni matokeo ya kushambulia muda wote. ukishambulia maana yake unakuwa rahisi pia kushambuliwa.
msimu uliopita MAN CITY walishinda vs arsenal 6-3 na watu hawakuongea na hata sijui kama wewe pia ulilaumu jambo hilo.

naona watu wanaanza kuogopa CHELSEA hii ambayo inaweza kumfunga mtu magoli 6 nyumbani kwake. watu wanaogopa huyu Costa ambaye anafunga kila mechii. kwa sababu sidhani kwamba CHELSEA FC inahitaji kufundishwa kukaba wakati ndo jadi yetu.

Mechi ya Everton ilikuwa maalum na usidhani kwamba mechi zote itakuwa hivyo. kumbuka kwamba ni CHELSEA NA SWANSEA pekee yake ambazo zimecheza mechi 3 na kushinda zote 3. sasa kama ni lawama au kukosoa kama kweli lengo ni kuelimishana nadhani ungeanza na majirani zetu ambao wanasajili lakini bado pointi zao ni sawa na magoli ya IVANOVIC.{man urojo}

watu wa chelsea hapa wameridhika na hali ya sasa. acha kwanza tufurahie mafanikio..kama mechi zingine tena itakuwa hivi tutajadili.

Kulikua na umuhimu wa kumchezesha Ramires ile juzi km pacha wa Matic kwasababu Ramires ni Box to box midfielder. Kwahiyo kuwepo kwake kulisaidia kupeleka mashambulizi mbele na kusaidia ulinzi nyuma. Kwahiyo mkuu kwa game ya juzi kulikua na umuhimu wa kufanya hivyo hasa kutokana na mfumo tuliocheza wa kushambulia.

Kaka huko sahihi sana, kwenye Midfields timu ilikuwa iko active sana kwenye kuattack na kusupport ulinzi, kiukweli hizo ndio mechi sahihi sana kwa mtu kama Ramires,
 
Thanks Kaka, kama na wewe uliliona hilo, Chelsea tumeshinda lakini tulipokuwa weak lazima tupafanyie comments, onc unapoweka comments kama hizo unaonekana upo negatives na Chelsea,

Najua tuna wachezaji wazuri sana wa Defence, japokuwa mechi za mwanzo tulicheza vizuri, binafsi pia niliizungumzia mechi yetu na Everton, kulikuwa na weakness na lack of concentration kwa baadhi ya wachezaji wa Nyuma, hivyo nikasema hiyo ni Alert na warning sign na its time now Mou aanze kumrudisha kila mtu kwenye Natural position yake,

Lakini anakuja mtu kama mossad anakwambia we ni chizi, Kaka mossad najua kuna wachezaji gani Chelsea na wako capable kiasi gani, please kubali weakness yetu ya defence kwa mechi ya Everton,

Unajua mimi nashindwa kuwaelewa hasa mnapolishikilia hili la UDHAIFU wa beki kwa makosa yaliyotokea ktk game ya majuzi.

Nina swali hapa kidogo na nitaomba mnijibu.

Hivi kwanini Jose alimpanga Ramires ktk hiyo game awe pacha wa Matic badala ya Obi?
 
Last edited by a moderator:
mechi ya EVERTON haikuwa na weakness yoyote kwenye defense..yale ni matokeo ya kushambulia muda wote. ukishambulia maana yake unakuwa rahisi pia kushambuliwa.
msimu uliopita MAN CITY walishinda vs arsenal 6-3 na watu hawakuongea na hata sijui kama wewe pia ulilaumu jambo hilo.

naona watu wanaanza kuogopa CHELSEA hii ambayo inaweza kumfunga mtu magoli 6 nyumbani kwake. watu wanaogopa huyu Costa ambaye anafunga kila mechii. kwa sababu sidhani kwamba CHELSEA FC inahitaji kufundishwa kukaba wakati ndo jadi yetu.

Mechi ya Everton ilikuwa maalum na usidhani kwamba mechi zote itakuwa hivyo. kumbuka kwamba ni CHELSEA NA SWANSEA pekee yake ambazo zimecheza mechi 3 na kushinda zote 3. sasa kama ni lawama au kukosoa kama kweli lengo ni kuelimishana nadhani ungeanza na majirani zetu ambao wanasajili lakini bado pointi zao ni sawa na magoli ya IVANOVIC.{man urojo}

watu wa chelsea hapa wameridhika na hali ya sasa. acha kwanza tufurahie mafanikio..kama mechi zingine tena itakuwa hivi tutajadili.

nimekusoma kaka hapo kwenye nyekundu
 
Unajua mimi nashindwa kuwaelewa hasa mnapolishikilia hili la UDHAIFU wa beki kwa makosa yaliyotokea ktk game ya majuzi.

Nina swali hapa kidogo na nitaomba mnijibu.

Hivi kwanini Jose alimpanga Ramires ktk hiyo game awe pacha wa Matic badala ya Obi?

Alafu hii kitu mnaita udhaifu kwa chelsea mimi sijawahi ona. Sijui nyie mna macho ya 4D mpk muone?
 
CHELSEA FC.
mechi tatu = magoli ya kufunga 11.
mechi tatu = magoli ya kufungwa 4.

tofauti ya magoli ya kufungwa na ya kufunga = 7.{the highest up to now}

Wafungaji wa CHELSEA.

1.Diego Costa{mshambuliaji} = 4.
2.Blanislav Ivanovic{beki} = 2.
3.Andre schurrle{kiungo/mshambuliaji} =1.
4.Matic{kiungo mkabaji} = 1.
4.Ramires{kiungo box to box} = 1.
5.Hazard{kiungo mshambuliaji} = 1.
6.Coleman alimsaidia Hazard....:A S-eek: = goli 1.

ukitazama chati hiyo ya wafungaji utagundua jambo moja.

chelsea ni timu kamili. maana yangu ni kwamba; mabeki wanafunga, viungo wanafunga, na washambuliaji wanafunga.

CHELSEA FC FOREVER BLUE...karibuni SWANSEA...pointi 12 naziona kiulainiii..:wof:
2.
 
kaka kuna watu wana matatizo; tukiwa na ulinzi mkali wanasema eti tunapaki mabasi.
tukiwashambulia eti wanasmea hatuna ulinzi...

achana nao hawa watu..hawatusaidii kitu. acha sisi tushinde mechi zetu. kama mfano ikitokea tuemshinda mechi zote kwa matokeo ya 6-3 hatuwi mabingwa?

lengo la muhmu ni kombe..sisi tunataka kombe si nafasi ya 4, sisi ni CHELSEA FC siyo Arsenal au Spurs au Everton..

sisi ni CHELSEA FC.:flame:

Alafu hii kitu mnaita udhaifu kwa chelsea mimi sijawahi ona. Sijui nyie mna macho ya 4D mpk muone?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom