Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea vs Everton baadhi ya matukio katika picha
 
Attachments

  • 1409496397052.jpg
    1409496397052.jpg
    51.5 KB · Views: 108
  • 1409496411911.jpg
    1409496411911.jpg
    40.8 KB · Views: 102
  • 1409496425672.jpg
    1409496425672.jpg
    54.8 KB · Views: 97
  • 1409496447136.jpg
    1409496447136.jpg
    59.2 KB · Views: 101
  • 1409496467961.jpg
    1409496467961.jpg
    63.6 KB · Views: 102
  • 1409496488184.jpg
    1409496488184.jpg
    38.4 KB · Views: 97
  • 1409496502245.jpg
    1409496502245.jpg
    60.2 KB · Views: 99
  • 1409496526993.jpg
    1409496526993.jpg
    61.2 KB · Views: 94
  • 1409496546431.jpg
    1409496546431.jpg
    43.6 KB · Views: 93
  • 1409496580521.jpg
    1409496580521.jpg
    77.2 KB · Views: 96
  • 1409496596926.jpg
    1409496596926.jpg
    47.4 KB · Views: 101
Ntuzu agosti 8
Majogoo yamewika London!
Sisi ndiyo sisi,sisi ndiyo Liverpool
Kwa beki yako ya jana huyu Baloteli anakufunga kiurahisi

Hhahhahahahahahah umefurahisha kwel inamaana balotel kaja atakuwa beki wenu au vp? Maana mlichezea kichapo kwa Man city na Beki yenu pia ni mbovu ila kaa ukijua kuwa Beki ya chelsea siyo mbovu jana ilikuwa kwa ajili ya mashambulizi I wish tukikutana na huyo jogoo la shamba lazima tumle bila uoga na bila hata kumnyonyoa
 
Last edited by a moderator:
mkuu Ntuzu, nimerudi kwa muda mfupi kabla sijaenda kuangalia mechi ya SPURS v LIVERPOOL naomba jambo moja.

CHELSEA FC THREAD isilale njaa; kwa hali hii ya ushindi wa kishindo jukwaa litaendelea kuchangamka.
Nimefurahi kwamba MOURINHO ananielewa..Oscar na Schurrle wamepumzika lakini mechi ijayo wakirudi watarudi kwa kishindo kizito sana. Mabata wa Swansea watajuta kutujua..

CHELSEA FC timu hii imetimia aisee...:hail:

Nasikia harufu ya kushinda goli kumi na Costa kupiga tatu zake za kwanza kwa chelsea.

Timu zote zitabadilisha mbinu sasa hasa zikija darajani kukutana na chelsea zitakua zinapaki Bus
 
kaka all in all tuna shida kidogo nyuma, Mourinho katengeneza timu vizuri sana attacking midfields na striking force, lakini alijisahau kidogo kuimarisha ukuta kama kawaida yake, kwa mtazamo wangu mimi kila siku naona Cahill na Terry ni mtu mmoja, yaani wote ni wachezaji wa mwisho na hawako compatible kabisa ila uzoefu tu, Chelsea ilipaswa kutafuta beki namba nne ili Libelo awe Terry au Cahill,

Azip ni mzuri lakini pia sio reliable sana kwenye hiyo namba, yeye ni natural fulback right Ok tunacheza vizuri lakini precaution ni muhimu sana

hope next game Petre Czech atachezeshwa

unavyoandika unajifanya analytical kumbe kanjanja tu...toka lini cahill akacheza ka namba 5 mkuu!?labda ungesema phase yake cahill or both (plus terry)zimeshuka but sio iyo hoja ya namba 5 n 4.... tafakari tena about hili...
ilo la cesar naweza kukusupport kisogo but currently kwa beki za pembeni azpi ni among ka sio wa juu kabisa wanaopewa rating kubwa...wat can be do ni kumrudisha yeye namba 2....felipe aanze 3 n ivanovic asubiri au uchezeshwe namba 4 alongside terry(ii najua u will be happy with it japo unaweza subiri msimu mzima usilione likifanyika)

afu u better start tryn 4rget about cech ka we ni chelsea fan(about startng in first xi...)if u not one then go to hell
 
Hakuna tatizo ktk safu ya ulinzi wa chelsea hasa kwa mfumo wa juzi tulivyocheza.

mkuu Ntuzu kweli beki ni nzuri,ila kwa jinsi magoli yalivyokuwa yanarudishwa ndani ya sekunde mi nafikiri beki ililega kidogo. Na kuhusu azp kucheza kushoto huyo dogo anapiga kazi kushinda hata original left back "respect" ..........

Grand PA
 
Last edited by a moderator:
ukitaka kushambulia muda wote lazima magoli mengine yataponyoka tu mkuu Grand PA, lakin timu yetu ni nzuri sana...

mkuu Ntuzu kweli beki ni nzuri,ila kwa jinsi magoli yalivyokuwa yanarudishwa ndani ya sekunde mi nafikiri beki ililega kidogo. Na kuhusu azp kucheza kushoto huyo dogo anapiga kazi kushinda hata original left back "respect" ..........

Grand PA
 
unavyoandika unajifanya analytical kumbe kanjanja tu...toka lini cahill akacheza ka namba 5 mkuu!?labda ungesema phase yake cahill or both (plus terry)zimeshuka but sio iyo hoja ya namba 5 n 4.... tafakari tena about hili...
ilo la cesar naweza kukusupport kisogo but currently kwa beki za pembeni azpi ni among ka sio wa juu kabisa wanaopewa rating kubwa...wat can be do ni kumrudisha yeye namba 2....felipe aanze 3 n ivanovic asubiri au uchezeshwe namba 4 alongside terry(ii najua u will be happy with it japo unaweza subiri msimu mzima usilione likifanyika)

afu u better start tryn 4rget about cech ka we ni chelsea fan(about startng in first xi...)if u not one then go to hell

Well said mkuu..huyu kituko ana ajenga yake binafsi..:A S-eek::A S-eek::A S-eek:
 
ukitaka kushambulia muda wote lazima magoli mengine yataponyoka tu mkuu Grand PA, lakin timu yetu ni nzuri sana...

Mkuu hichi kitu nimekisema hapo nyuma kwamba ukiwa unashambulia sn lazima na wewe mazara yakukute. Lkn naona watu hawaelewi.

Kwa game ya juzi tulikua na kusudi la kushambulia sn na ndio yote yaliyotokea hayo.
 
wewe ni chelsea wa enzi gani? acha dharau..kama wee nimtu wa chelsea huwezi kudharau enz hizi za miaka 10 iliyopita. labda kama ni mshabiki wa kukodiwa..

2014-2009 = miaka 5 posti zako chache sasa ulikuwa unafanyeje humu?

alaf kumbuka CHELSEA FC imekuwepo kabla ya JAMII FORUMS..mtu akija akakukuta si sababu ya wee kufanya fujo eti kisingizio wa zamani..

tulia kituko..kama wewe ni chelsea fc, sisi pia ni chelsea fc..kila mahali pana ustaarabu wake..acha kudharau wenzako.

cc.Ntuzu, Mentor, Viol..:wacko:

Kaka huwezi kunizuia kuja humu, nilianza kuingia humu kabla yako, na nina uhuru wa kusema ninachokiona, nisiwatafutie Ban wewe na nani?, mkiitaji kukosolewa wewe na nani?,

kupanga majumu ya kuendesha hii thread ndio nini?, mbona una mambo ya kitoto kwenye kitu cha Jumuiya, hivi kweli unaweza kumwambia mtu asiingie humu kwa sababu yuko against na wewe?

Chelsea Mou (Fly Emirates na Samsung) utawajua tu, hakuna mtu wa Darajani hasa mwenye itikadi kama yako
 
sijaelewa ajenda ya mkuu Kituko; yeye ni shabiki wa timu hii au yeye ni mkosoaji tu? sielewi hata kidogo lengo lake..

ajabu sana.:A S-eek:

Mkuu hichi kitu nimekisema hapo nyuma kwamba ukiwa unashambulia sn lazima na wewe mazara yakukute. Lkn naona watu hawaelewi.

Kwa game ya juzi tulikua na kusudi la kushambulia sn na ndio yote yaliyotokea hayo.
 
sijaelewa ajenda ya mkuu Kituko; yeye ni shabiki wa timu hii au yeye ni mkosoaji tu? sielewi hata kidogo lengo lake..

ajabu sana.:A S-eek:

Ktk timu kuna mambo mengi sn. Nitatoa mfano, wiki iliyopita ilijulikana Costa kaumia na atakua nje kwa wiki 6. Lkn juzi kacheza km so mind game ni nini ilikua juu ya Costa? Leo hii Mourinho kuonakena kutokufurahishwa na beki zake ni mind game tu coz mfumo wa chelsea siku zote ni kujilinda kwanza. Mpira una contain mambo mengi sn.
 
Sijaona kadi yako ya congratulations kule kwetu...! Tafadhali nenda ukahani msiba wa Londoners wenzako huko.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom