Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kaka huko sahihi sana, kwenye Midfields timu ilikuwa iko active sana kwenye kuattack na kusupport ulinzi, kiukweli hizo ndio mechi sahihi sana kwa mtu kama Ramires,

Hatukucheza Defensive game that day, tuliattack sn km njia ya kumzuia adui na ndio maana goli zikapatikana nyingi. Lkn km tungecheza defensive game basi tungeshinda goli moja au mbili na Everton wasingepata kitu na hapo ungemuona Obi ndani ya nyumba na Winger mmoja tu.
 
azpilicueta--testament-to-the-team.img.png

THE CHAMPIONS..:hail:
 
images

Kwani Steven Gerrard ameacha amepona
ugonjwa wake wa KUANGUKA ANGUKA?

sina shaka nyie hata mfike wapi lakini najua
kama kawaida yenu tutawapiga na tena
msimu huu mtateleza sana tu.:wacko:
watu kwanini wanajifariji hivi wakati kwao imekuwa ngumu hata kumtoa Swansea pale namba mbili
 
mechi ya EVERTON haikuwa na weakness yoyote kwenye defense..yale ni matokeo ya kushambulia muda wote. ukishambulia maana yake unakuwa rahisi pia kushambuliwa.
msimu uliopita MAN CITY walishinda vs arsenal 6-3 na watu hawakuongea na hata sijui kama wewe pia ulilaumu jambo hilo.

naona watu wanaanza kuogopa CHELSEA hii ambayo inaweza kumfunga mtu magoli 6 nyumbani kwake. watu wanaogopa huyu Costa ambaye anafunga kila mechii. kwa sababu sidhani kwamba CHELSEA FC inahitaji kufundishwa kukaba wakati ndo jadi yetu.

Mechi ya Everton ilikuwa maalum na usidhani kwamba mechi zote itakuwa hivyo. kumbuka kwamba ni CHELSEA NA SWANSEA pekee yake ambazo zimecheza mechi 3 na kushinda zote 3. sasa kama ni lawama au kukosoa kama kweli lengo ni kuelimishana nadhani ungeanza na majirani zetu ambao wanasajili lakini bado pointi zao ni sawa na magoli ya IVANOVIC.{man urojo}

watu wa chelsea hapa wameridhika na hali ya sasa. acha kwanza tufurahie mafanikio..kama mechi zingine tena itakuwa hivi tutajadili.

Mkuu kuna haja kubwa sn ya kutoa elimu juu ya namna kikosi kinavyopongwa hasa kutokana na adui unaekutana nae.

Watu wanabaki kulaumu tu huku hawajui km ukiwa unashambulia sn na wewe unajiweka ktk hatari ya kushambuliwa.

Hebu nitoe mfano wa mchezo wa ngumi yaani Box

Mwishoni mwa mwaka juzi Manny Parqiao yule bondia raia wa Philipines alipigwa mbaya na Mmexcana mmoja hivi Marquez ktk game ambayo kimtazamo Manny alikua ameanza kuishika na kujenga kujiamini kwa kushambulia sn huku akisahau kuwa na tahadhari ya kujirinda. Lkn wote tunafahamu yaliyomkuta Manny. Alikula BOMBA MOJA TU NA GAME IKAWA OVER NA KUMUACHA MKEWE MANNY AKILIA HOVYO AKIDHANI MUMEWE KAZURIKA SN.

Kwahiyo hivyo hivyo na kwenye mpira jamani.

Kwahiyo wakuu kila mchezo uko na matokeo yake ktk kile ulichopanga na unachofanya.
 
CHELSEA FC.
mechi tatu = magoli ya kufunga 11.
mechi tatu = magoli ya kufungwa 4.

tofauti ya magoli ya kufungwa na ya kufunga = 7.{the highest up to now}

Wafungaji wa CHELSEA.

1.Diego Costa{mshambuliaji} = 4.
2.Blanislav Ivanovic{beki} = 2.
3.Andre schurrle{kiungo/mshambuliaji} =1.
4.Matic{kiungo mkabaji} = 1.
4.Ramires{kiungo box to box} = 1.
5.Hazard{kiungo mshambuliaji} = 1.
6.Coleman alimsaidia Hazard....:A S-eek: = goli 1.

ukitazama chati hiyo ya wafungaji utagundua jambo moja.

chelsea ni timu kamili. maana yangu ni kwamba; mabeki wanafunga, viungo wanafunga, na washambuliaji wanafunga.

CHELSEA FC FOREVER BLUE...karibuni SWANSEA...pointi 12 naziona kiulainiii..:wof:
2.

Kilichobaki na kitakachokuja kutokea hapo mbele tukikutana na timu km Man city na Man Utd na Arsenal na Liverpool mfumo watakao aplly hizo timu dhidi yetu ni kupaki basi na kubaki kutuvizia...... Nauliza nani anaweza kutuzuia kwa sasa? Iwe away au home?
 
Man u sijaona hao waliosajili,hebu tusubiri mechi zao sijazo ila liverpool pale hamna kitu mabeki wazito sana,sturidge na sterring wakiwekewa gogo lazima wakatike.
 
kaka kuna watu wana matatizo; tukiwa na ulinzi mkali wanasema eti tunapaki mabasi.
tukiwashambulia eti wanasmea hatuna ulinzi...

achana nao hawa watu..hawatusaidii kitu. acha sisi tushinde mechi zetu. kama mfano ikitokea tuemshinda mechi zote kwa matokeo ya 6-3 hatuwi mabingwa?

lengo la muhmu ni kombe..sisi tunataka kombe si nafasi ya 4, sisi ni CHELSEA FC siyo Arsenal au Spurs au Everton..

sisi ni CHELSEA FC.:flame:

Msimu huu tunakwenda kuchukua makombe matatu yani hii ata kwa nguvu yoyote lazima tuchukue.

Sisi chelsea tuko kimataifa zaidi tunaangalia Real Madrid na Fc Barc wanafanya nini, Psg wanafanya nini, B Munich na B Dortmund wanafanya nini, Ac Milan. Yani sisi hatuko kumfikiria Man City au Man Urojo au Looserfool au ile timu ya Striker Sanogo-hahahaaaaa hawako serious Gunners.

Sisi ni chelsea bhana true blue the champion, team with special spirit
 
Man u sijaona hao waliosajili,hebu tusubiri mechi zao sijazo ila liverpool pale hamna kitu mabeki wazito sana,sturidge na sterring wakiwekewa gogo lazima wakatike.

Mkuu watafurukuta tu lkn mwisho lazima wapigwe. Man city, arsenal na hizo zingine tutazipiga km mwaka jana tulivyofanya.
 
[h=2]Season: 2014-2015[/h][TABLE="class: contentTable, width: 3"]
[TR]
[TH="colspan: 6"]Saturday 13 September 2014[/TH]
[/TR]
[TR="class: alt"]
[TD="class: calendar, align: center"] [/TD]
[TD="class: time, align: center"]15:00[/TD]
[TD="class: clubs"]Chelsea v Swansea[/TD]
[TD="class: location"]Stamford Bridge[/TD]
[TD="class: tickets"] [/TD]
[TD="class: broadcasters, align: center"] [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentTable, width: 3"]
[TR]
[TH="colspan: 6"]Sunday 21 September 2014[/TH]
[/TR]
[TR="class: alt fixturechangerow"]
[TD="class: calendar, align: center"] [/TD]
[TD="class: time, align: center"]16:00[/TD]
[TD="class: clubs"]Man City v Chelsea[/TD]
[TD="class: location"]Etihad Stadium[/TD]
[TD="class: tickets"] [/TD]
[TD="class: broadcasters, align: center"] [/TD]
[/TR]
[TR="class: alt"]
[TD="class: fixturechange, colspan: 6"]This fixture was previously scheduled on Saturday 20 September 2014 at 18:00 but was rescheduled due to live broadcasting on Sky Sports[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentTable, width: 3"]
[TR]
[TH="colspan: 6"]Saturday 27 September 2014[/TH]
[/TR]
[TR="class: alt"]
[TD="class: calendar, align: center"] [/TD]
[TD="class: time, align: center"]15:00[/TD]
[TD="class: clubs"]Chelsea v Aston Villa[/TD]
[TD="class: location"]Stamford Bridge[/TD]
[TD="class: tickets"] [/TD]
[TD="class: broadcasters, align: center"] [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentTable, width: 3"]
[TR]
[TH="colspan: 6"]Sunday 5 October 2014[/TH]
[/TR]
[TR="class: alt fixturechangerow"]
[TD="class: calendar, align: center"] [/TD]
[TD="class: time, align: center"]14:05[/TD]
[TD="class: clubs"]Chelsea v Arsenal[/TD]
[TD="class: location"]Stamford Bridge[/TD]
[TD="class: tickets"] [/TD]
[TD="class: broadcasters, align: center"] [/TD]
[/TR]
[TR="class: alt"]
[TD="class: fixturechange, colspan: 6"]This fixture was previously scheduled on Saturday 4 October 2014 at 18:00 but was rescheduled due to live broadcasting on Sky Sports[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentTable, width: 3"]
[TR]
[TH="colspan: 6"]Saturday 18 October 2014[/TH]
[/TR]
[TR="class: alt"]
[TD="class: calendar, align: center"] [/TD]
[TD="class: time, align: center"]15:00[/TD]
[TD="class: clubs"]Crystal Palace v Chelsea[/TD]
[TD="class: location"]Selhurst Park[/TD]
[TD="class: tickets"] [/TD]
[TD="class: broadcasters, align: center"] [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentTable, width: 3"]
[TR]
[TH="colspan: 6"]Sunday 26 October 2014[/TH]
[/TR]
[TR="class: alt fixturechangerow"]
[TD="class: calendar, align: center"] [/TD]
[TD="class: time, align: center"]16:00[/TD]
[TD="class: clubs"]Man Utd v Chelsea[/TD]
[TD="class: location"]Old Trafford[/TD]
[TD="class: tickets"] [/TD]
[TD="class: broadcasters, align: center"] [/TD]
[/TR]
[TR="class: alt"]
[TD="class: fixturechange, colspan: 6"]This fixture was previously scheduled on Saturday 25 October 2014 at 18:00 but was rescheduled due to live broadcasting on Sky Sports[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentTable, width: 3"]
[TR]
[TH="colspan: 6"]Saturday 1 November 2014[/TH]
[/TR]
[TR="class: alt"]
[TD="class: calendar, align: center"] [/TD]
[TD="class: time, align: center"]15:00[/TD]
[TD="class: clubs"]Chelsea v QPR[/TD]
[TD="class: location"]Stamford Bridge[/TD]
[TD="class: tickets"] [/TD]
[TD="class: broadcasters, align: center"] [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentTable, width: 3"]
[TR]
[TH="colspan: 6"]Saturday 8 November 2014[/TH]
[/TR]
[TR="class: alt fixturechangerow"]
[TD="class: calendar, align: center"] [/TD]
[TD="class: time, align: center"]12:45[/TD]
[TD="class: clubs"]Liverpool v Chelsea[/TD]
[TD="class: location"]Anfield[/TD]
[TD="class: tickets"] [/TD]
[TD="class: broadcasters, align: center"] [/TD]
[/TR]
[TR="class: alt"]
[TD="class: fixturechange, colspan: 6"]This fixture was previously scheduled on Saturday 8 November 2014 at 19:00 but was rescheduled due to live broadcasting on BT Sport[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentTable, width: 3"]
[TR]
[TH="colspan: 6"]Saturday 22 November 2014[/TH]
[/TR]
[TR="class: alt"]
[TD="class: calendar, align: center"] [/TD]
[TD="class: time, align: center"]15:00[/TD]
[TD="class: clubs"]Chelsea v West Brom[/TD]
[TD="class: location"]Stamford Bridge[/TD]
[TD="class: tickets"] [/TD]
[TD="class: broadcasters, align: center"] [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentTable, width: 3"]
[TR]
[TH="colspan: 6"]Saturday 29 November 2014[/TH]
[/TR]
[TR="class: alt fixturechangerow"]
[TD="class: calendar, align: center"] [/TD]
[TD="class: time, align: center"]17:30[/TD]
[TD="class: clubs"]Sunderland v Chelsea[/TD]
[TD="class: location"]Stadium of Light[/TD]
[TD="class: tickets"] [/TD]
[TD="class: broadcasters, align: center"] [/TD]
[/TR]
[TR="class: alt"]
[TD="class: fixturechange, colspan: 6"]This fixture was previously scheduled on Saturday 29 November 2014 at 19:00 but was rescheduled due to live broadcasting on Sky Sports[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentTable, width: 3"]
[TR]
[TH="colspan: 6"]Wednesday 3 December 2014[/TH]
[/TR]
[TR="class: alt"]
[TD="class: calendar, align: center"] [/TD]
[TD="class: time, align: center"]19:45[/TD]
[TD="class: clubs"]Chelsea v Spurs[/TD]
[TD="class: location"]Stamford Bridge[/TD]
[TD="class: tickets"] [/TD]
[TD="class: broadcasters, align: center"] [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentTable, width: 3"]
[TR]
[TH="colspan: 6"]Saturday 6 December 2014[/TH]
[/TR]
[TR="class: alt"]
[TD="class: calendar, align: center"] [/TD]
[TD="class: time, align: center"]15:00[/TD]
[TD="class: clubs"]Newcastle v Chelsea[/TD]
[TD="class: location"]St. James' Park[/TD]
[TD="class: tickets"] [/TD]
[TD="class: broadcasters, align: center"] [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentTable, width: 3"]
[TR]
[TH="colspan: 6"]Saturday 13 December 2014[/TH]
[/TR]
[TR="class: alt"]
[TD="class: calendar, align: center"] [/TD]
[TD="class: time, align: center"]15:00[/TD]
[TD="class: clubs"]Chelsea v Hull[/TD]
[TD="class: location"]Stamford Bridge[/TD]
[TD="class: tickets"] [/TD]
[TD="class: broadcasters, align: center"] [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentTable, width: 3"]
[TR]
[TH="colspan: 6"]Saturday 20 December 2014[/TH]
[/TR]
[TR="class: alt"]
[TD="class: calendar, align: center"] [/TD]
[TD="class: time, align: center"]15:00[/TD]
[TD="class: clubs"]Stoke v Chelsea[/TD]
[TD="class: location"]Britannia Stadium[/TD]
[TD="class: tickets"] [/TD]
[TD="class: broadcasters, align: center"] [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentTable, width: 3"]
[TR]
[TH="colspan: 6"]Friday 26 December 2014[/TH]
[/TR]
[TR="class: alt"]
[TD="class: calendar, align: center"] [/TD]
[TD="class: time, align: center"]15:00[/TD]
[TD="class: clubs"]Chelsea v West Ham[/TD]
[TD="class: location"]Stamford Bridge[/TD]
[TD="class: tickets"] [/TD]
[TD="class: broadcasters, align: center"] [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentTable, width: 3"]
[TR]
[TH="colspan: 6"]Sunday 28 December 2014[/TH]
[/TR]
[TR="class: alt"]
[TD="class: calendar, align: center"] [/TD]
[TD="class: time, align: center"]15:00[/TD]
[TD="class: clubs"]Southampton v Chelsea[/TD]
[TD="class: location"]St. Mary's Stadium[/TD]
[TD="class: tickets"] [/TD]
[TD="class: broadcasters, align: center"] [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentTable, width: 3"]
[TR]
[TH="colspan: 6"]Thursday 1 January 2015[/TH]
[/TR]
[TR="class: alt"]
[TD="class: calendar, align: center"] [/TD]
[TD="class: time, align: center"]15:00[/TD]
[TD="class: clubs"]Spurs v Chelsea[/TD]
[TD="class: location"]White Hart Lane[/TD]
[TD="class: tickets"] [/TD]
[TD="class: broadcasters, align: center"] [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentTable, width: 3"]
[TR]
[TH="colspan: 6"]Saturday 10 January 2015[/TH]
[/TR]
[TR="class: alt"]
[TD="class: calendar, align: center"] [/TD]
[TD="class: time, align: center"]15:00[/TD]
[TD="class: clubs"]Chelsea v Newcastle[/TD]
[TD="class: location"]Stamford Bridge[/TD]
[TD="class: tickets"] [/TD]
[TD="class: broadcasters, align: center"] [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentTable, width: 3"]
[TR]
[TH="colspan: 6"]Saturday 17 January 2015[/TH]
[/TR]
[TR="class: alt"]
[TD="class: calendar, align: center"] [/TD]
[TD="class: time, align: center"]15:00[/TD]
[TD="class: clubs"]Swansea v Chelsea[/TD]
[TD="class: location"]Liberty Stadium[/TD]
[TD="class: tickets"] [/TD]
[TD="class: broadcasters, align: center"] [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentTable, width: 3"]
[TR]
[TH="colspan: 6"]Saturday 31 January 2015[/TH]
[/TR]
[TR="class: alt"]
[TD="class: calendar, align: center"] [/TD]
[TD="class: time, align: center"]15:00[/TD]
[TD="class: clubs"]Chelsea v Man City[/TD]
[TD="class: location"]Stamford Bridge[/TD]
[TD="class: tickets"] [/TD]
[TD="class: broadcasters, align: center"] [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentTable, width: 3"]
[TR]
[TH="colspan: 6"]Saturday 7 February 2015[/TH]
[/TR]
[TR="class: alt"]
[TD="class: calendar, align: center"] [/TD]
[TD="class: time, align: center"]15:00[/TD]
[TD="class: clubs"]Aston Villa v Chelsea[/TD]
[TD="class: location"]Villa Park[/TD]
[TD="class: tickets"] [/TD]
[TD="class: broadcasters, align: center"] [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentTable, width: 3"]
[TR]
[TH="colspan: 6"]Wednesday 11 February 2015[/TH]
[/TR]
[TR="class: alt"]
[TD="class: calendar, align: center"] [/TD]
[TD="class: time, align: center"]19:45[/TD]
[TD="class: clubs"]Chelsea v Everton[/TD]
[TD="class: location"]Stamford Bridge[/TD]
[TD="class: tickets"] [/TD]
[TD="class: broadcasters, align: center"] [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentTable, width: 3"]
[TR]
[TH="colspan: 6"]Saturday 21 February 2015[/TH]
[/TR]
[TR="class: alt"]
[TD="class: calendar, align: center"] [/TD]
[TD="class: time, align: center"]15:00[/TD]
[TD="class: clubs"]Chelsea v Burnley[/TD]
[TD="class: location"]Stamford Bridge[/TD]
[TD="class: tickets"] [/TD]
[TD="class: broadcasters, align: center"] [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentTable, width: 3"]
[TR]
[TH="colspan: 6"]Saturday 28 February 2015[/TH]
[/TR]
[TR="class: alt"]
[TD="class: calendar, align: center"] [/TD]
[TD="class: time, align: center"]15:00[/TD]
[TD="class: clubs"]Leicester v Chelsea[/TD]
[TD="class: location"]King Power Stadium[/TD]
[TD="class: tickets"] [/TD]
[TD="class: broadcasters, align: center"] [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentTable, width: 3"]
[TR]
[TH="colspan: 6"]Tuesday 3 March 2015[/TH]
[/TR]
[TR="class: alt"]
[TD="class: calendar, align: center"] [/TD]
[TD="class: time, align: center"]19:45[/TD]
[TD="class: clubs"]West Ham v Chelsea[/TD]
[TD="class: location"]Boleyn Ground[/TD]
[TD="class: tickets"] [/TD]
[TD="class: broadcasters, align: center"] [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentTable, width: 3"]
[TR]
[TH="colspan: 6"]Saturday 14 March 2015[/TH]
[/TR]
[TR="class: alt"]
[TD="class: calendar, align: center"] [/TD]
[TD="class: time, align: center"]15:00[/TD]
[TD="class: clubs"]Chelsea v Southampton[/TD]
[TD="class: location"]Stamford Bridge[/TD]
[TD="class: tickets"] [/TD]
[TD="class: broadcasters, align: center"] [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentTable, width: 3"]
[TR]
[TH="colspan: 6"]Saturday 21 March 2015[/TH]
[/TR]
[TR="class: alt"]
[TD="class: calendar, align: center"] [/TD]
[TD="class: time, align: center"]15:00[/TD]
[TD="class: clubs"]Hull v Chelsea[/TD]
[TD="class: location"]The KC Stadium[/TD]
[TD="class: tickets"] [/TD]
[TD="class: broadcasters, align: center"] [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentTable, width: 3"]
[TR]
[TH="colspan: 6"]Saturday 4 April 2015[/TH]
[/TR]
[TR="class: alt"]
[TD="class: calendar, align: center"] [/TD]
[TD="class: time, align: center"]15:00[/TD]
[TD="class: clubs"]Chelsea v Stoke[/TD]
[TD="class: location"]Stamford Bridge[/TD]
[TD="class: tickets"] [/TD]
[TD="class: broadcasters, align: center"] [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentTable, width: 3"]
[TR]
[TH="colspan: 6"]Saturday 11 April 2015[/TH]
[/TR]
[TR="class: alt"]
[TD="class: calendar, align: center"] [/TD]
[TD="class: time, align: center"]15:00[/TD]
[TD="class: clubs"]QPR v Chelsea[/TD]
[TD="class: location"]Loftus Road Stadium[/TD]
[TD="class: tickets"] [/TD]
[TD="class: broadcasters, align: center"] [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentTable, width: 3"]
[TR]
[TH="colspan: 6"]Saturday 18 April 2015[/TH]
[/TR]
[TR="class: alt"]
[TD="class: calendar, align: center"] [/TD]
[TD="class: time, align: center"]15:00[/TD]
[TD="class: clubs"]Chelsea v Man Utd[/TD]
[TD="class: location"]Stamford Bridge[/TD]
[TD="class: tickets"] [/TD]
[TD="class: broadcasters, align: center"] [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentTable, width: 3"]
[TR]
[TH="colspan: 6"]Saturday 25 April 2015[/TH]
[/TR]
[TR="class: alt"]
[TD="class: calendar, align: center"] [/TD]
[TD="class: time, align: center"]15:00[/TD]
[TD="class: clubs"]Arsenal v Chelsea[/TD]
[TD="class: location"]Emirates Stadium[/TD]
[TD="class: tickets"] [/TD]
[TD="class: broadcasters, align: center"] [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentTable, width: 3"]
[TR]
[TH="colspan: 6"]Saturday 2 May 2015[/TH]
[/TR]
[TR="class: alt"]
[TD="class: calendar, align: center"] [/TD]
[TD="class: time, align: center"]15:00[/TD]
[TD="class: clubs"]Chelsea v Crystal Palace[/TD]
[TD="class: location"]Stamford Bridge[/TD]
[TD="class: tickets"] [/TD]
[TD="class: broadcasters, align: center"] [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentTable, width: 3"]
[TR]
[TH="colspan: 6"]Saturday 9 May 2015[/TH]
[/TR]
[TR="class: alt"]
[TD="class: calendar, align: center"] [/TD]
[TD="class: time, align: center"]15:00[/TD]
[TD="class: clubs"]Chelsea v Liverpool[/TD]
[TD="class: location"]Stamford Bridge[/TD]
[TD="class: tickets"] [/TD]
[TD="class: broadcasters, align: center"] [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentTable, width: 3"]
[TR]
[TH="colspan: 6"]Saturday 16 May 2015[/TH]
[/TR]
[TR="class: alt"]
[TD="class: calendar, align: center"] [/TD]
[TD="class: time, align: center"]15:00[/TD]
[TD="class: clubs"]West Brom v Chelsea[/TD]
[TD="class: location"]The Hawthorns[/TD]
[TD="class: tickets"] [/TD]
[TD="class: broadcasters, align: center"] [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentTable, width: 3"]
[TR]
[TH="colspan: 6"]Sunday 24 May 2015[/TH]
[/TR]
[TR="class: alt"]
[TD="class: calendar, align: center"] [/TD]
[TD="class: time, align: center"]15:00[/TD]
[TD="class: clubs"]Chelsea v Sunderland[/TD]
[TD="class: location"]Stamford Bridge[/TD]
[TD="class: tickets"] [/TD]
[TD="class: broadcasters, align: center"] [/TD]
[/TR]
[/TABLE]

.
 
Mkuu watafurukuta tu lkn mwisho lazima wapigwe. Man city, arsenal na hizo zingine tutazipiga km mwaka jana tulivyofanya.

MAN CITY..ngoja niwajadili kidogo.

MAN CITY - UDHAIFU.

1. Man City kama ilivyokuwa Everton ina udhaifu kwenye ulinzi. Mabeki wa kati Vincent Kompany ni beki mzuri lakin mara nyingi huwa anafanya maamuzi ya kukurupuka na kupaniki. Mfano kwenye mechi ya LFC v MCFC alibutua mpira bila kuangalia na ukamkuta Courtinho ambaye aliwamaliza na matokeo yakawa 3-2.{najua mnakumbuka}
Beki mwingine ambaye kocha Manuel Pellegrin anampenda ni Dimichelis..huyu 'babu' amecheza muda mrefu na sasa naona anachoka, hana mbio ni rahisi kumpiga machenga ya hatari{hazard atamchosha sana siku hiyo}
Mabeki wa pembeni: Zabaletta na Clich au Kolarov ni wazuri wakati timu inashambulia..lakini watapata shida sana kutushambulia na kujilinda kwa haraka.

Viungo wa kati: Juzi kwneye mechi yao vs Stoke city..Yaya alichoka sana. .alisumbulia na vijana wa Stoke 'warefu' kama yeye akina Nzonzi..na alipongia Adams ndo kabisa Yaya akatulizwa..

Udhaifu mwingine wa city hawana plan B, ukiwazuia kuingia ndani ya boksi basi wanabaki wanazunguka-zunguka tu hapo nje.

Washambuliaji wao Jovetic na Dzeko ni wazuri wa mipira ya juu..lakini kama watazuiwa hawana namna. .
 
MAN CITY - UIMARA.

1. man city wanapenda kushambulia..itabidi tuwadhibiti kwneye mashambuilzi yao; alaf tutumie sana 'counter' mara kwa mara ili kuwachosha.
2. man city wanapenda kushambulia kutoka pembeni, kupitia kwa Zabaletta na hata kupitia kwa Clichy au Kolarov..
3. man city wana washambuliaji makini na hatari; Dzeko-Jovetic-Aguerro..ambao hawachelewi kuleta madhara.
4. Man city wana kikosi kikubwa..mfano akitoka Nasri anaingia Navas, akitoka Dzeko anaingia Jovetic, akitoka Fernando anaingia Fernandinho,..

CHELSEA FC kama kawaida inapocheza na MAN CITY itahitaji kuziba mianya yote..na kupiga mpira wa maana kama ule wa Everton, formation ya 4-3-3 ndo mwisho wa matatizo..hakai mtu nyuma...kila mtu kwenye goli la adui. Lakini pia tunaposhambuliwa ila mtu nyumbani..golini kwenye mechi hii THIBAUT COURTOIS
 
MAN CITY..ngoja niwajadili kidogo.

MAN CITY - UDHAIFU.

1. Man City kama ilivyokuwa Everton ina udhaifu kwenye ulinzi. Mabeki wa kati Vincent Kompany ni beki mzuri lakin mara nyingi huwa anafanya maamuzi ya kukurupuka na kupaniki. Mfano kwenye mechi ya LFC v MCFC alibutua mpira bila kuangalia na ukamkuta Courtinho ambaye aliwamaliza na matokeo yakawa 3-2.{najua mnakumbuka}
Beki mwingine ambaye kocha Manuel Pellegrin anampenda ni Dimichelis..huyu 'babu' amecheza muda mrefu na sasa naona anachoka, hana mbio ni rahisi kumpiga machenga ya hatari{hazard atamchosha sana siku hiyo}
Mabeki wa pembeni: Zabaletta na Clich au Kolarov ni wazuri wakati timu inashambulia..lakini watapata shida sana kutushambulia na kujilinda kwa haraka.

Viungo wa kati: Juzi kwneye mechi yao vs Stoke city..Yaya alichoka sana. .alisumbulia na vijana wa Stoke 'warefu' kama yeye akina Nzonzi..na alipongia Adams ndo kabisa Yaya akatulizwa..

Udhaifu mwingine wa city hawana plan B, ukiwazuia kuingia ndani ya boksi basi wanabaki wanazunguka-zunguka tu hapo nje.

Washambuliaji wao Jovetic na Dzeko ni wazuri wa mipira ya juu..lakini kama watazuiwa hawana namna. .

Sahihi kabisa mkuu.

Alafu Toure ameshachoka anahitaji kupumzishwa lkn City kila game lazima wampange sasa km anakutana na mafundi km Matic na Faby na Ramires na Obi anapotea kabisa. Sasa akipotea Toure vile vyenzake vidogo vikina Fenandinho ndo vinapotea kabisa
 
SWANSEA VS CHELSEA - MATAYARISHO.

HISTORIA YA SWANSEA v CHELSEA.

Wakuu hii timu ya Swansea City inatoka kwenye mji wa Swansea, kama mnavyojua hii ni timu pekee msimu huu inayotoka nje ya ENGLAND. .Swansea wanatoka 'WALES' ni sehemu ya UINGEREZA..kwa sababu WALES huwa wanashiriki PREMIER LEAGUE.

sasa hawa vijana katika misimu 2 iliyopita yaani: msimu wa 2012/2013 na 2013/2014..tumekutana mara 4 kwenye PREMIER LEAGUE.

katika mechi hizo 4 sisi CHELSEA FC tumeshinda mechi 3. na tumedroo mechi 1. kwa hiyo katika Premier League kwa misimu 2 iliyopita vijana wa Swansea hawajawahi kutufunga.

mwaka 1984 tumewahi kuwafunga 6-1 hii ni rekodi ya idadi kubwa zaidi ya magoli kati ya CHELSEA FC vs Swansea.

SWANSEA CITY - UIMARA WAO.

kama mnavyojua SWANSEA CITY na CHELSEA FC ni timu pekee ambazo zimepata 100% kwenye mechi za ligi mwezi wa NANE.

Wao pia wana pointi 9 lakini tunawazidi kwa sababu sisi tuna GD nzuri kuliko wao..

Garry Monk alikuwa beki wa Swansea, na kwa kweli ameifanya hii timu kuwa imara sana. Kapteni wa timu hii ambaye ni beki wao tegemeo 'bonge la mtu' Ashley Williams ni beki mzuri..

wanacheza mpira mzuri sana kwenye kiungo na ushambuliaji, tena washambuliaji wao ni kama 'viungo' pia. akaina Nathan Dyer, na Bony...

Swansea wanafanana kidogo kama Everton au kama Arsenal. Kwa nini nasema hivyo? kwa sababu wao pia wanacheza mpira wakiwa karibu karibu..hawapanui uwanja kama TOTTENHAM HOTSPURS...au LIVERPOOL..

Swansea pia wanajitahidi sana kushambulia kwa kasi. Nakumbuka mechi ya msimu uliopita{mechi ya mwisho} tuliwafunga, mfungaji akiwa Demba BA, lakini kama mjuavyo hatukuwa na washambuliaji wazuri; ile mechi ilikuwa ngumu.

wakuu; nitarudi baadaye kidogo..tuendelee na matayarisho ya mechi hizo mbili muhimu sana.
ngoja nipate msosi..:hungry:
 
SWANSEA VS CHELSEA - MATAYARISHO.

HISTORIA YA SWANSEA v CHELSEA.

Wakuu hii timu ya Swansea City inatoka kwenye mji wa Swansea, kama mnavyojua hii ni timu pekee msimu huu inayotoka nje ya ENGLAND. .Swansea wanatoka 'WALES' ni sehemu ya UINGEREZA..kwa sababu WALES huwa wanashiriki PREMIER LEAGUE.

sasa hawa vijana katika misimu 2 iliyopita yaani: msimu wa 2012/2013 na 2013/2014..tumekutana mara 4 kwenye PREMIER LEAGUE.

katika mechi hizo 4 sisi CHELSEA FC tumeshinda mechi 3. na tumedroo mechi 1. kwa hiyo katika Premier League kwa misimu 2 iliyopita vijana wa Swansea hawajawahi kutufunga.

mwaka 1984 tumewahi kuwafunga 6-1 hii ni rekodi ya idadi kubwa zaidi ya magoli kati ya CHELSEA FC vs Swansea.

Hatuwezi kua sawa kipoint na hawa Bata, weekend hii tutakua na point 12 na wao kubaki na 9 hizo hizo.

Mfumo watakao utumia hawa Bata ni kujirinda zaidi na si kushambulia sn.
 
Well said Ntuzu..
nitarudi..nakuachia kiti...:hungry:

Sahihi kabisa mkuu.

Alafu Toure ameshachoka anahitaji kupumzishwa lkn City kila game lazima wampange sasa km anakutana na mafundi km Matic na Faby na Ramires na Obi anapotea kabisa. Sasa akipotea Toure vile vyenzake vidogo vikina Fenandinho ndo vinapotea kabisa
 
watashuka niamini..
kaama nilivyosema mapema kabla ya mechi ya Everton..

pointi 12 na Costa ataendelea kuongoza kwa ufungaji..:flame:

Hatuwezi kua sawa kipoint na hawa Bata, weekend hii tutakua na point 12 na wao kubaki na 9 hizo hizo.

Mfumo watakao utumia hawa Bata ni kujirinda zaidi na si kushambulia sn.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom