Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

10592905_809612829097634_3058274866026576979_n.jpg
 
unavyoandika unajifanya analytical kumbe kanjanja tu...toka lini cahill akacheza ka namba 5 mkuu!?labda ungesema phase yake cahill or both (plus terry)zimeshuka but sio iyo hoja ya namba 5 n 4.... tafakari tena about hili...
ilo la cesar naweza kukusupport kisogo but currently kwa beki za pembeni azpi ni among ka sio wa juu kabisa wanaopewa rating kubwa...wat can be do ni kumrudisha yeye namba 2....felipe aanze 3 n ivanovic asubiri au uchezeshwe namba 4 alongside terry(ii najua u will be happy with it japo unaweza subiri msimu mzima usilione likifanyika)

afu u better start tryn 4rget about cech ka we ni chelsea fan(about startng in first xi...)if u not one then go to hell

Pole Kaka kama nimekukwaza, Tuyaache hayo na tuangalie yajayo, lakini siku zote uwe unaangalia na mapungufu pia,
nilishawahi kuandika humu kuhusu David Luis kuwa Chelsea imuuze tu, na watu walinipinga na kusema yeye ndio future Captain, lakini mwisho wote walikubali maamuzi aliyoyafanya Mou.

Cahill na Azip ni wachezaji wazuri sana kaka, lakini wancheza kwenye nafasi sio zao,
hapo kwenye Nyekundu ndio naposimamia mimi,
anyway tusiwatoe watu kwenye kilele cha kushereekea goli sita na 100% record na pia kujiandaa na jinsi gani ya kuwachinja Bata (Swansea)
 
Man utd imefunga jumla ya magoli 2 katika mechi 3 za ligi hadi sasa. IVANOVIC pia amefunga magoli 2. tena ivanovic anacheza namba 2 na anavaa jezi namba 2. hi hi hi hi hi h ih i h i mwaka mzuri sana huu.:A S-eek:
 
kiungo mshambuliaji wa Arsenal; ALEXIS SANCHEZ amefunga goli 1 katika mechi 3 alizocheza.

Blanislav IVANOVIC beki wa CHELSEA FC amefunga magoli 2.{anamzidi Sanchez} kwa kufunga magoli.

alaf kuna watu watasema CHELSEA inapaki mabasi.ha haha haha
 
Wana wa Darajani!!

Wakuu it has been announced officially that mwaka huu mpinzani wetu mpya ni Man U baada ya kuja Falcao!!
kwa hiyo title race ni Majogoo wa Anfield,Man City na Man U

Nyie mtagombea na Arsenal nafasi ya 4 lkn nawapa nyie chapuo kuchukua nafasi hiyo kwa goal difference
agosti 8 Ntuzu
 
Last edited by a moderator:
wee unasema kutangazwa wakati sisi tunafanya mambo uwanjani?
mpira wa kwenye magazeti tena mnaleta hapa?

ha haha MAN UTD hata walete MESSI..

ni kweli wee na man utd lenu moja 'imebakia' historia tu.

Wana wa Darajani!!

Wakuu it has been announced officially that mwaka huu mpinzani wetu mpya ni Man U baada ya kuja Falcao!!
kwa hiyo title race ni Majogoo wa Anfield,Man City na Man U

Nyie mtagombea na Arsenal nafasi ya 4 lkn nawapa nyie chapuo kuchukua nafasi hiyo kwa goal difference
agosti 8 Ntuzu
 
sikujua kwamba wewe ni mshabiki wa MAN UTD pia!:A S 109:

sasa wee mtu mwenyewe umeanza kwa kufungwa unataka kushindana na mie?

vile viatu vya kuteleza GERRARD bado anavyo? sasa hao MAN UTD wanatengeneza body la gari wanasahau injini? mabeki wenyewe kina Evans na Jones na yule dogo black?

mnachekesha sana nyie..eti Man city, Liverpool, Man Urojo!!!:A S 109::A S 109::A S 109:

subirini..MAN CITY tunacheza nae baada ya SWANSEA CITY..
unakaribishwa kushangilia MAN CITY.:spit:

Wana wa Darajani!!

Wakuu it has been announced officially that mwaka huu mpinzani wetu mpya ni Man U baada ya kuja Falcao!!
kwa hiyo title race ni Majogoo wa Anfield,Man City na Man U

Nyie mtagombea na Arsenal nafasi ya 4 lkn nawapa nyie chapuo kuchukua nafasi hiyo kwa goal difference
agosti 8 Ntuzu
 
Majogoo wa Anfield, ha haaha haha

Z

Wana wa Darajani!!

Wakuu it has been announced officially that mwaka huu mpinzani wetu mpya ni Man U baada ya kuja Falcao!!
kwa hiyo title race ni Majogoo wa Anfield,Man City na Man U

Nyie mtagombea na Arsenal nafasi ya 4 lkn nawapa nyie chapuo kuchukua nafasi hiyo kwa goal difference
agosti 8 Ntuzu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom