Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

HUYU MDAU ANAYEITWA KITUKO?

hakuna kitu kama hicho hapa CHELSEA FC. wachezaji wetu wanapangwa kulingana na adui..RAMIRES alicheza jana kwa sababu alihitajika kupasua ukuta imara wa kiungo cha EVERTON ..

Kipa alicheza vizuri..Everton ni timu nzuri lakini bado ina pointi 2.
Liverpool pia ina pionti 3.

sasa hizi timu za mji mmoja ukijumlisha pointi zao hazifiki kwa CHELSEA...hata ukiongeza na pointi 2 za MAN - UROJO bado hazifiki.

MAN UTD = POINTI 2.
EVERTON = POINTI 2.
LIVERPOOL=POINTI 3.
TOTAL POINTS = 7.

:A S-eek::A S-eek::A S-eek::A S-eek:

Nimeona kuna mdau anatoa hoja ya Petr kucheza game ijayo na sion sababu ya kufanya hvyo.
 
1409425730598_wps_52_Chelsea_s_Diego_Costa_cel.jpg

Kitu kingine nlichomkubali Diegoal ni "unyama" ukizingua anakuzingua ni mtu sahihi kukochiwa na watu jamii ya Mou au Simeone sio maaskofu ka Anchelot.
 
kocha anamweka cech benchi ili kama anataka kwenda aende..na kama anataka kubaki abaki.

Sisi huwa hatulazimishi mtu kubaki..muulize juan mata. Alilia kwenda kwa mashetani..tukamwacha aende. Sisi tukala mahela yee sasa anaungua na jua tu.

kipa wote ni wazuri ata huyu dogo ni mzuri na cech pia ni mzuru ila kinachofanyika ni kumpumzisha cech kwa sasa maana katumika sn.

Btw tuko na mashindano km manne hivi ambayo tunashiriki epl cl na fa na super cup. Kwahiyo tunahitaji kwa kila nafasi kua na mbadala mzuri na mwenye uwezo km mwingine.

Safari hii kz wanayo!
 
kitu kingine nlichomkubali diegoal ni "unyama" ukizingua anakuzingua ni mtu sahihi kukochiwa na watu jamii ya mou au simeone sio maaskofu ka anchelot.

kweli..costa hapendi mazoea, madogo walikuwa wanataka kumzoea jana akawazingua kidogo alaf magoli yakaanza kumwagika kwa kasi ya ajabu.
 
HUYU MDAU ANAYEITWA KITUKO?

hakuna kitu kama hicho hapa CHELSEA FC. wachezaji wetu wanapangwa kulingana na adui..RAMIRES alicheza jana kwa sababu alihitajika kupasua ukuta imara wa kiungo cha EVERTON ..

Kipa alicheza vizuri..Everton ni timu nzuri lakini bado ina pointi 2.
Liverpool pia ina pionti 3.

sasa hizi timu za mji mmoja ukijumlisha pointi zao hazifiki kwa CHELSEA...hata ukiongeza na pointi 2 za MAN - UROJO bado hazifiki.

MAN UTD = POINTI 2.
EVERTON = POINTI 2.
LIVERPOOL=POINTI 3.
TOTAL POINTS = 7.

:A S-eek::A S-eek::A S-eek::A S-eek:

Hahaaaaaaa mkuu wanazi wa hizo timu watakua hawapiti ktk nyumba yetu hii kutusalimia!

Uko juu mkuu wewe ni zaidi ya Viol kwa maneno.

Imekaa poa sn hiyo mkuu
 
Last edited by a moderator:
HUYU MDAU ANAYEITWA KITUKO?

hakuna kitu kama hicho hapa CHELSEA FC. wachezaji wetu wanapangwa kulingana na adui..RAMIRES alicheza jana kwa sababu alihitajika kupasua ukuta imara wa kiungo cha EVERTON ..

Kipa alicheza vizuri..Everton ni timu nzuri lakini bado ina pointi 2.
Liverpool pia ina pionti 3.

sasa hizi timu za mji mmoja ukijumlisha pointi zao hazifiki kwa CHELSEA...hata ukiongeza na pointi 2 za MAN - UROJO bado hazifiki.

MAN UTD = POINTI 2.
EVERTON = POINTI 2.
LIVERPOOL=POINTI 3.
TOTAL POINTS = 7.

:A S-eek::A S-eek::A S-eek::A S-eek:

kaka tunaipenda Chelsea, lakini kwenye udhaifu lazima tusema, defence jana haikuwa makini kaka, na hiyo ni alert / warning sign, ndio tumewafunga goal sita, lakini tumepigwa tatu na si kawaida ya Chelsea kufungwa goli za kihivyo, kuna kujisahau au kupoteza concentration kwa mabeki wetu jana, Goal la Etoo liliniuma sana jana

Azip ni mzuri lakini sijuhi kwa nini Mou hajatafuta competent fulbackleft anayetumia mguu wa kushoto, tuna mashindano mengi, mechi nyingi kwa back inavyoenda bila kuwa na umakini na kuachia magoli ya kizembe tutakuja lia humu
 
Kwa mpira wa jana lazima makosa madogo madogo yajitokeze lkn lazima yafanyiwe kz. Mpira wa jana ulijengwa ktk mbinu ya kushambulia. Na siku zote ukiwa unashambulia sn lazima na wewe wakuadhibu kidogo.

Bado sioni hoja ya kua na wasiwasi kwa beki zetu ata huyo beki wa kushoto ni mzuri sn kiasi kwamba haiitajiki kutafuta beki mwenye kuchezea mguu wa kushoto.

Utakuja kuamini haya nayosema.
 
Tupa kule timu la wazee.

FACT:Liverpool is the youngest team in EPL
Mignolet (26),Manquillo(20),Moreno(22),Lovren(26)Sakho(23),Dan(26),Hendo(24),Sterling (23),Lallana(23),Markovic(22),Balo(24),Can(21)

Cahil na Terry hata kuruka hawawezi vikongwe wale!Ivanovic ana 30,Fabr ana 28 daaah team ya vikongwe hiyo
 
Ukongwe wa wachezaji siku zote ni chachu ya Umakini moja ya sababu za kushindwa kwa LFC ni kua na vitoto kule mbele visivyokua na umakini wowote.

Ktk game yenu na Man City Daniel Sturidge alikosa magoli ya wazi kwa kutokua makini kwakwe. Alikua anachezea mpira pasina kua sababu yoyote mpk city wanajipanga na kupora mpira.

Rahim alichemka mpk wakamtoa anakimbia tu hovyo km yuko kwenye riadha.

Allen na Coutinho wote hawa walichemka na kumuacha babu Stive Gerrad kuhangaika peke yake kuwazuia viungo wa City.

Siku zote mvinyo unavyozidi kuenda umri mkubwa ndio unazidi kua bora zaidi.

Hahahaaaaaaa pole.
 
The weaknesses of Chelsea's back-line have been exposed!Baloteli kama anacheka tu angani home and away

Mkuu sidhani kama upo serious na unachokisema ama unatania. Maana najua unajua ni timu gani ina ukuta mgumu katika EPL, ila kutokana na maneno yako najua unajifariji kwa sasa ila kumbuka kocha ni Mourinho.....ambaye mlikuwa na hadi leo mnamlalamikia kwa kubaki basi......

Kwahiyo usijipe moyo sana maana ile walitereza tu kidogo na nikuambie haiwezi kutokea tukicheza na Liverpool..
 
FACT:Liverpool is the youngest team in EPL
Mignolet (26),Manquillo(20),Moreno(22),Lovren(26)Sakho(23),Dan(26),Hendo(24),Sterling (23),Lallana(23),Markovic(22),Balo(24),Can(21)

Cahil na Terry hata kuruka hawawezi vikongwe wale!Ivanovic ana 30,Fabr ana 28 daaah team ya vikongwe hiyo

Ha ha ha ha ha!!!! Sawa timu ya watoto kwa sasa ina points ngapi?....na hiyo unayosema timu ya vikongwe ina points ngapi?

Na hiyo timu unayosema ya vikongwe kwenye mechi 3 wamefungwa magoli mangapi?......halafu na timu yako ya vitoto kwenye mechi 2 wamefungwa magoli mangapi?....
 
Mkuu sidhani kama upo serious na unachokisema ama unatania. Maana najua unajua ni timu gani ina ukuta mgumu katika EPL, ila kutokana na maneno yako najua unajifariji kwa sasa ila kumbuka kocha ni Mourinho.....ambaye mlikuwa na hadi leo mnamlalamikia kwa kubaki basi......

Kwahiyo usijipe moyo sana maana ile walitereza tu kidogo na nikuambie haiwezi kutokea tukicheza na Liverpool..

Jose Mourinho mzee wa kupaki bus leo ana ukuta mbovu?!!!!!!! Mkuu huyo jamaa wa Lfc hana hoja huyo.

Binadamu hawakosi la kusema.
 
Ha ha ha ha ha!!!! Sawa timu ya watoto kwa sasa ina points ngapi?....na hiyo unayosema timu ya vikongwe ina points ngapi?

Na hiyo timu unayosema ya vikongwe kwenye mechi 3 wamefungwa magoli mangapi?......halafu na timu yako ya vitoto kwenye mechi 2 wamefungwa magoli mangapi?....

Mkuu ukiona mtu anatoa mpk vihoja vya umri ujue kafilisika.

Wamekosa la kusema na wamebakiza kusema kitu kumoja tu ni kututangaza mabingwa!
 
Mkuu hawa watu ni kwel wameishiwa hoja, sasa kilichobaki ni kutafuta vihoja vidogo vidogo vya kujifariji navyo.

Et umri au wamesahau kuwa Mourinho ni mtu wa kuchukua wachezaji wakubwa wanaojielewa waangalie timu aliyoiacha Chelsea ilikuwa na umri gani........halafu wakaangalie timu aliyoiacha International Milan ilikuwa na umri gani........kisha ndo waanze kumjaji Mourinho na umri wawachezaji......
 
Nimeridhishwa na kiwango walicho onyesha vjana hasa spirit ya ushambuliaji ilikua juu sn, swala la kurusu goli 3 cna wacwac na MOH atalishughulikia ipasavyo!

Good.......! Hilo ndio muhimu kudeal nalo!
 
Mkuu hawa watu ni kwel wameishiwa hoja, sasa kilichobaki ni kutafuta vihoja vidogo vidogo vya kujifariji navyo.

Et umri au wamesahau kuwa Mourinho ni mtu wa kuchukua wachezaji wakubwa wanaojielewa waangalie timu aliyoiacha Chelsea ilikuwa na umri gani........halafu wakaangalie timu aliyoiacha International Milan ilikuwa na umri gani........kisha ndo waanze kumjaji Mourinho na umri wawachezaji......

Hawa hawanipi tabu kwasababu wamekosa hoja mkuu.

Kuna kipindi Ac Milan ilikua ktk pick ya juu sn na wachezaji ambao walikua kwa Milan wakati huo walikua wakubwa sn kiumri wakiongozwa na Paulo Mardin na Nesta. Lkn timu za ulaya zilikua zinapigwa sn na hawa wakongwe. Sasa namshangaa huyu kuishiwa hoja na kuanza kuhoji viswala vya umri.

Alafu Chelsea Fc ina chipukizi wengi sn na wengine wako kwa mkopo ktk timu zingine na tunafatilia maendeleo yao.

Msimu uliopita kuna dogo mmoja Kalas aliziba no ya Terry vzr sn na kuwaweka mfukoni kina Suarez a. k. a Zombi au Vampire mzee wa kuuma na huyo dogo tumemtoa kwa mkopo kwenda kukuza kiwango.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom