Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

mkuu Gwamahala habari za siku nyingi mkuu?

sisi tuko pale juu kabisa.. ha haha nimemtuma Ntuzu aje atoe hizo pongezi kwenu..karibu sn hapa kwetu.


Sijaona kadi yako ya congratulations kule kwetu...! Tafadhali nenda ukahani msiba wa Londoners wenzako huko.
 
remy-signs.img.png
 
Kaka siwezi Dharau na wala sijadharau mtu Maishani mwangu, Kutokuwa na michango mingi hakunifanyi kuwa mimi sio Chelsea, naandika mara chache sana ninapoona watu wanachambua Kikosi cha Chelsea kwenye 2D badala ya 3D, na hii yote inasababishwa na ushabiki tu bila kuangalia +ve na -ve za Team

anyway nilikasirika ulipokuwa unaniwekea masharti kuwa nisiingie humu na kwamba ntakusabababishia BAN, Kaka kumbuka kuwa humu ndani ya hii Thread hatuwezi kubadirisha kitu chochote pale Stanford Bridge, tuko mbali sana na uongozi wa Blues, hapa ni kuelimishana na end of the day kila mtu anakuwa happy,

Maisha ni mafupi sana ndugu yangu kukasirika kwa vitu ambavyo havina maana sio vizuri
 
inaeleweka mkuu hapa ni nyumba ya amani...usiwe na hofu.

watu wote walikuwa kwenye furaha baada ya ushindi wa 6-3; sasa haukuwa wakati muafaka wa kukosoa mkuu.au we mwenzetu unaonaje?

alaf mambo ya kutaja 2d au 3d analysis inategemea unataka nini? maana hata official chelsea website haiwezi kuandika habari -ve kuhusu Chelsea, hata wachambuzi nguli wa chelsea kama vile Pat Nevin mara chache sana utakuta anaandika -ve about the Team.

kuna wakati wa kukosoa, lakini inapaswa kuwa mara chache..sisi hatuko vibaya kiasi cha kushinda tunakosoana mkuu Kituko..

we leading..

CHELSEA FC - FOREVER BLUE.



Kaka siwezi Dharau na wala sijadharau mtu Maishani mwangu, Kutokuwa na michango mingi hakunifanyi kuwa mimi sio Chelsea, naandika mara chache sana ninapoona watu wanachambua Kikosi cha Chelsea kwenye 2D badala ya 3D, na hii yote inasababishwa na ushabiki tu bila kuangalia +ve na -ve za Team

anyway nilikasirika ulipokuwa unaniwekea masharti kuwa nisiingie humu na kwamba ntakusabababishia BAN, Kaka kumbuka kuwa humu ndani ya hii Thread hatuwezi kubadirisha kitu chochote pale Stanford Bridge, tuko mbali sana na uongozi wa Blues, hapa ni kuelimishana na end of the day kila mtu anakuwa happy,

Maisha ni mafupi sana ndugu yangu kukasirika kwa vitu ambavyo havina maana sio vizuri
 
kaka siwezi dharau na wala sijadharau mtu maishani mwangu, kutokuwa na michango mingi hakunifanyi kuwa mimi sio chelsea, naandika mara chache sana ninapoona watu wanachambua kikosi cha chelsea kwenye 2d badala ya 3d, na hii yote inasababishwa na ushabiki tu bila kuangalia +ve na -ve za team

anyway nilikasirika ulipokuwa unaniwekea masharti kuwa nisiingie humu na kwamba ntakusabababishia ban, kaka kumbuka kuwa humu ndani ya hii thread hatuwezi kubadirisha kitu chochote pale stanford bridge, tuko mbali sana na uongozi wa blues, hapa ni kuelimishana na end of the day kila mtu anakuwa happy,

maisha ni mafupi sana ndugu yangu kukasirika kwa vitu ambavyo havina maana sio vizuri


it's over..let's move forward towards the trophy.

One love chelsea,
 
1409527817160_wps_24_Chelsea_FC_via_Press_Asso.jpg



Kuna dalili huyu kijana wetu MARCO VAN GINKEL ataenda kwa mkopo MILAN..

ngoja tusubiri tuone..
 
kuna fununu pia kwamba huenda PETR CECH akaenda PSG pamoja na kocha wetu wa makipa.
ngoja tusubiri tuone.. itakavyokuwa..

but hata kama kocha wa makipa ataondoka na Petr Cech, basi SILIVINHO LOURO "SL" atarudi kwenye majukumu yake ya awali. maana kwa sasa ni kocha msaidizi.



 
Loic, welcome to Chelsea. How do you feel to be here?
‘I feel very happy and very proud to have signed for Chelsea. They are one of the best clubs in the world and I can't wait to get started, training and playing with my new team-mates, when I get back from international duty with France.'
Was the opportunity to play in the Champions League an important factor in your decision to move?
‘To be honest I wanted to play in the Champions League this season so yes, that was another of my motivations for coming here. I know that Chelsea can win the Champions League this season because there is so much quality in the squad. The first thing to aim for is winning titles.'
You've played at Stamford Bridge once before, for Marseille back in 2010…
‘It was amazing. The stadium was completely full and the fans made a lot of noise, shouting and screaming all game. The fans and the atmosphere from that game is a very good memory for me. I can't wait to play my first game at Stamford Bridge now.'
Have you spoken with the manager, and what did he say to you?
‘Yeah, I spoke with him. He is very clever and he knows exactly what he wants. He has targets for me and I know I have a target for myself as well.

‘Everybody wants the best so the discussion was really good. I know he can get the best out of a player and I'm looking forward to working with him.'
You join an illustrious list of French players to have pulled on the Chelsea shirt over the years…
‘I'm very proud and I'm going to try to follow these French guys. There have been so many famous French players at Chelsea that have done really well. I don't say I want to be a legend like some of them but I'm going to do my best. I think the supporters are going to enjoy watching me and we can have some good moments together.'
What is your preferred position?
‘I'm a striker but the thing is I can adapt myself for any situation. I have played on the left and the right side in the past, so I know I can play anywhere in the attacking positions. It's up to the manager where he decides to put me.'
We have already scored many goals this season. How excited are you to link up with the attacking players we have in the squad?
‘I think it's normal when you play for a big team like Chelsea to have many good opportunities as an attacking player. We have two great strikers here already and I don't have a choice if I want to be in the team - I have to play at a very high level.'







 

Similar Discussions

Back
Top Bottom