truegooner
JF-Expert Member
- Apr 23, 2014
- 779
- 339
Fabregas na Costa, mmepata majembe. Hongereni. Ningekuwa Wenger, ningekuwa tayari kumchukua Cesc na kumbench Ozil. Jamaa akiinua shingo tu kutazama, ujue kuna madhara!! Dah!!
![]()
fa cup final 2007..
goli la ushindi la Didier Drogba ndani ya Wembley Stadium
Costa cleared fit to face Everton!!
Mna bahati sana maana team yenu ilivyo depleted angeumia huyu mngekuwa wa 5 May 15
Udhaifu wa Chelsea utauona leo pale Goodson Park
Yaani Chelsea huu msimu ni wake kabisa kabisa
Timu zote zimekosa mabeki yaani piga Nikupigie..kama rede
THANK YOU CHELSEA
KAMA NILIVYOSEMA KWAMBA LEO TUNGESHINDA ZAIDI YA MAGOLI 2 IMETIMIA KABISA.
DIEGO COSTA IS BETTER THAN SANCHEZ OF ARSENAL.
CC.Mentor, Ntuzu, viol, all chelsea fans.
Huwezi ukawemo hata kwenye top 4 kwa beki urojo kama hizi!Goli la kwanza beki Chelsea imezidiwa nguvu angani;goli la 2 ndiyo easiest one kwa one-two backline inakodoa macho tu!
Goli la Eto'o hata Yanga wangeokoa kapiga free header!Chelsea ni majanga
Kwa beki hizi Chelsea atakuwa wa 5!
leo chama langu lime nifurahisha sana!mashetani nayaombea njaa tu.
Hahahaaaaaa
Uliyokua ukiombea hayajatimia sasa umebaki kupiga kekele tu.
Juzi ulipokua Etihad beki zako zilivurunda kabisa za kati na za pembeni mpk mkapigwa goli tatu.
Na bado leo uko na Spurs lazima upigwe nikuache point 6 km mwenzako Man Utd nilivyo muacha point 7 yani tayari mmeshajishusha wenye kabla sijakutana na nyie. Yani hamnipi tabu ktk mbio za kuwania ubingwa mpk.
Mi namfiikiria Man City na Arsenal lkn so LFC na Man Utd
Haha subiri dawa iwaingie nyie.
Mtaomba poo msimu huu
Kwa beki hizi Chelsea atakuwa wa 5!