Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Eurosport.com
Chelsea striker Fernando Torres will join Milan on loan, the Premier League club announced.

The Spain international will join Milan on a two-season loan deal, which would take him to the end of the five-and-a-half year contract he signed with Chelsea in January 2011.

"The move is now subject to Fernando agreeing personal terms with AC Milan and passing a medical examination," Chelsea added in a statement
 
BwOn5nXIMAEIBV6.jpg

Kila la kheri
 
Habari kutoka gazeti la Dailmaily.


Chelsea striker Diego Costa has been passed fit to play against Everton on Saturday.

The £32million signing from Atletico Madrid-was a doubt after sustaining a hamstring injury in training earlier this week.-

He hasn't trained at the club's Cobham HQ over the last few days - but came through Friday's session unscathed and will travel to Goodison Park.

It had been feared that Costa, who has scored in two in two games for Chelsea so far, could miss six weeks.

But those fears have now been allayed, with the Spaniard due to battle it out with Didier Drogba for a starting role against the Toffees.--
 
vigezo vya medical ni kama nini?

Varies from club to club na vile vile bei ya mchezaji. Lakini tokea Muamba apate heart attack uwanjani club zimekuwa makini zaidi kucheki kama kuna walakini wowote kwenye moyo.

Clabu nyingine huwa zinaangalia afya ya macho, usikivu, na hata meno (Liverpool na Suarez?)

Vitu vingine vya kuangalia ni sehemu za viungo, misuli muhimu, fitness (body fat) ya mchezaji

Kama ni golikipa anaweza kuagaliwa mikoni, shoulders, vidole, n.k
 
Nadhani hapo tutakuwa pia tumetimiza sharti la kupunguza nchezaji mmoja wa kigeni!!!

Hili dili la "mkopo" la Torres, kama Chelsea wanacheza na akili za watu.

Chelsea wanadai kuwa Torres anaenda Milan on a two year loan.

Lakini Torres amebakisha miaka miwili tuu kwenye mkataba wake na Chelsea.

Officially Torres amejiunga na AC Milan on loan lakini sidhani kama atarudi tena Chelsea.

Hii ni kwa sababu press release ya Chelsea haisemi kuwa wana right ya kum-recall Torres.

Chelsea wanaweza wakawa wame-save money in terms of his huge wages, lakini ukweli ni kwamba wamemkubali aende Milan for free.




 
According to the data, inaonekana kama Loic Remy ana some long standing medical issues.

Mwaka 2010 alijiunga na Marseille baada uhamisho kusutasuta kutokana na medical issues.

Kwenye press conference ya kumtambulisha, Marseille walisema wakati akifanyiwa medical, vipimo vilionyesha kuwa kuna uwezekano wa Remy kuwa na tatizo moyo.

Remy alikosa mechi na vipimo zaidi vilichukuliwa ili kujua kama hilo tatizo linaweza kuathiri kazi yake kama footballer.

Hata hivyo, baada ya vipimo zaidi kuchukuliwa, madaktari wa Marseille na maspecialist wa moyo waliokuwa consulted walidhibitisha kuwa Remy alikuwa fit kufanya mazoezi na kucheza soka katika level ya juu kabisa.

July mwaka huu Liverpool walitaka kumsajili Remy lakini waka-pull out baada ya kushindwa kwenye medical. Liverpool hawakusema tatizo lilikuwa nini ni hasa lakini inadaiwa akaa siku nyingi na timu ya madaktari wa Liverpool na kuwa alikutwa na tatizo la moyo. Baada ya majadiliano ya kina, Liverpool waliamua ku-pull out. Kwa hiyo, haijulikani kama Liverpool walikuta tatizo la moyo wake limeongezeka au waliogopa tuu vipimo vya awali vya Marseille.

Hii imenifanya nimkumbuke Ruud van Nestelrooy. Madaktari wa Man Utd walidai kuwa alikuwa na tatizo kwenye goti lake na kwamba lilikuwa hatarini kuvunjika. Na kweli lilivinjika aliporudi Holland. Alifanyiwa operesheni na kujiunga na Mau Utd mwaka mmoja baadae. Lakini tatizo la moyo ni serious zaidi kulinganisha na goti.

Outside of the pitch, alipohamia QPR, Remy alikamatwa mwaka jana pamoja na wanaume wengine wawili maeneo ya London kwa tuhuma za gang rape. Hata hivyo, mwezi February 2014, aliachiwa bila mashtaka.
 
Costa cleared fit to face Everton!!
Mna bahati sana maana team yenu ilivyo depleted angeumia huyu mngekuwa wa 5 May 15

Aisee kweli wewe hukijui vyema kikosi chetu.

Ndo habari ya mujini hiyo.

If not, watamsajili striker gani ambaye siyo foreigner?

Au strikers watakuwa wawili tuu?

Chelsea open talks with Loic Remy after Fernando Torres agrees to join AC Milan on two-year deal - Telegraph

Mimi natamani tu achukue dogo mmoja kutoka youth team then amtumie na Schurlle mara mojamoja kama striker!!!
 
Leo twaua Ndugu zake fulani fulani. Costa fit.
Torres ndo kapelekwa Milan Mazima kwani kufikia hiyo miaka miwili mkataba wake nao ndo utakuwa waisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom