mkuyati og
JF-Expert Member
- Apr 19, 2011
- 821
- 589
costa isijekuwa kama yale ya atletico mwishoni mwa msimu ulioisha,, kama ana majeruhi mi nadhani asicheze ili kumuepusha na uwezekano wa kuumia zaidi. tulinde wachezaji wetu
Leo twaua Ndugu zake fulani fulani. Costa fit.
Torres ndo kapelekwa Milan Mazima kwani kufikia hiyo miaka miwili mkataba wake nao ndo utakuwa waisha
Karibu tu uwe mshabiki mwenzeti wa CHELSEA FC mkuu Malafyale, milango iko wazi karibu sana.
CHELSEA FC - FOREVER BLUE.
Over my dead body labda!
Siwezi kuwa shabiki wa team ambayo haina fan base duniani na imetwaa tukombe hata meza haijai!
Liverpool's Manager Boby Pleasey alone collects trophies more than all Chelsea Manager combined!!
Bill Shanky?
King Daglish?
Benitez?
Liverpool yatosha
Over my dead body labda!
Siwezi kuwa shabiki wa team ambayo haina fan base duniani na imetwaa tukombe hata meza haijai!
Liverpool's Manager Boby Pleasey alone collects trophies more than all Chelsea Manager combined!!
Bill Shanky?
King Daglish?
Benitez?
Liverpool yatosha
According to the data, inaonekana kama Loic Remy ana some long standing medical issues.
Mwaka 2010 alijiunga na Marseille baada uhamisho kusutasuta kutokana na medical issues.
Kwenye press conference ya kumtambulisha, Marseille walisema wakati akifanyiwa medical, vipimo vilionyesha kuwa kuna uwezekano wa Remy kuwa na tatizo moyo.
Remy alikosa mechi na vipimo zaidi vilichukuliwa ili kujua kama hilo tatizo linaweza kuathiri kazi yake kama footballer.
Hata hivyo, baada ya vipimo zaidi kuchukuliwa, madaktari wa Marseille na maspecialist wa moyo waliokuwa consulted walidhibitisha kuwa Remy alikuwa fit kufanya mazoezi na kucheza soka katika level ya juu kabisa.
July mwaka huu Liverpool walitaka kumsajili Remy lakini waka-pull out baada ya kushindwa kwenye medical. Liverpool hawakusema tatizo lilikuwa nini ni hasa lakini inadaiwa akaa siku nyingi na timu ya madaktari wa Liverpool na kuwa alikutwa na tatizo la moyo. Baada ya majadiliano ya kina, Liverpool waliamua ku-pull out. Kwa hiyo, haijulikani kama Liverpool walikuta tatizo la moyo wake limeongezeka au waliogopa tuu vipimo vya awali vya Marseille.
Hii imenifanya nimkumbuke Ruud van Nestelrooy. Madaktari wa Man Utd walidai kuwa alikuwa na tatizo kwenye goti lake na kwamba lilikuwa hatarini kuvunjika. Na kweli lilivinjika aliporudi Holland. Alifanyiwa operesheni na kujiunga na Mau Utd mwaka mmoja baadae. Lakini tatizo la moyo ni serious zaidi kulinganisha na goti.
Outside of the pitch, alipohamia QPR, Remy alikamatwa mwaka jana pamoja na wanaume wengine wawili maeneo ya London kwa tuhuma za gang rape. Hata hivyo, mwezi February 2014, aliachiwa bila mashtaka.
Kwani game saa ngapi wakuu? Maana huku kwetu Tanesco wameshatutenda na mie nilikuwa natagemea auto tune muda ukifika.
Naombeni updates tafadhali
Game ya Everton vs Chelsea saa 7:30. (Saa moja na nusu jion, muda wa kitanzania)
Uzaifu wa Chelsea bado hujaonekana ila timu nyingi kubwa zikifungwa game angalau moja au mbili watu ndio wanajifanya wanaona Uzaifu mpaka sasa EPL ni Chelsea tu ndio Uzaifu siuoni japo City imeshinda zote ata Arsenal wanacheza vizuri ila kidogo Kama itatokea timu mapema kuipeleka speed Chelsea Pengine Uzaifu unaweza kuonekana ila kwa sasa siwezi kupingana na ukweli Uzaifu bado sijauona hasa Kipa na Mabeki wake na middle za kuchezesha striker Sema ukitoa Costa nafikiri Hazard anatakiwa ajirekebishe katika kufunga magoli iwe 50/50 kwake Kama anavyo tengeneza magoli naamini Hazard akiweza Kuwa mfungaji Mzuri basi uwezo wa Kuwa PFA player msimu huu anao ila ufungaji magoli ndio Hazard unamuangusha.