Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

man utd hawamo...

ha ha ha ha kweli yametimia.

10548832_10152442267428598_6796614549689990638_o.jpg

kwenye hilo grupu letu tunaondoka na points zote haki ya nani!" ............

Grand PA
 
Colombia-Radamel-Falcao.jpg

Kuna fununu za chini kwa chini kwamba huenda tukampata huyu mshambuliaji.
Ngoja tusubiri tuone itakavyokuwa..

kama 'ikiwezekana' tuwe na mafadha 3 kule mbele..itakuwa balaa msimu huu.
 
Mkuu fungi ondoa hofu.

jana nilisema kwamba hizo ni 'fununu' tu; unaweza kupata taarifa zangu za jana kwenye ukurasa uliopita.
pia kumbuka kwamba kama Chelsea Fc hawajatoa taarifa rasmi maanake shida ya Costa si kubwa kama inavyoenezwa na baadhi ya vyombo vya habari.
na jambo la tatu ni kwamba tuna 'madaktari' wazuri sana CHELSEA FC kuliko timu yoyote ya EPL{sitanii}..
kwa uchapakazi wa dokta Eva Carneiro bila shaka Costa atakuwa poa ndani ya siku chache.

Hii habari imekaaje wadau maana nimetembelea Official page zote na official website ya chelsea lakini sijaona chochote
 
Benchi la ufundi la CHELSEA FC liko taiti sana..hakuna mamluki pale.

kuna wakati 'chelsea legend' Steve Clarke alifanya kazi Liverpool Fc akiwa msaidizi wa Ken D.{sasa hapo ndo unasema kuna mamluki}

Au wakati Benitez kocha wa muda wa Chelsea fc hatukuweza kuifunga LFC, tuliambulia 'droo' tu.

Mind games za Morinho hizo Everton watashangaa maana hadi sasa hawajui watacheza na Chelsea ikiwa na striker yupi.
Labda wawe na spy ndani ya bench la ufundi
 
article-2551199-1B2E06FE00000578-859_634x426.jpg

jose mourinho vs manuel pellegrin.
hapa baada ya IVANOVIC kutupia goli pekee la ushindi.
Matokeo yalikuwa Chelsea fc 1 - 0 Man City.
 
TAARIFA RASMI KUTOKA CHELSEA FC KUHUSU KUUMIA KWA DIEGO COSTA.

[h=1]Newsflash: Diego Costa a big doubt[/h]
News 25 minutes
Jose Mourinho says he will have to wait until after today's training session to see if Diego Costa can feature in our game at Everton tomorrow.
The striker has a minor muscular injury and the manager gave an update on his fitness.
‘In this moment I can't say much,' said Mourinho. 'We are trying everything for him to play tomorrow. He didn't train for the last two days, but today is the last day and we must make a decision to select him or not.
'He has to try a light training session to see if the reaction is positive. If it is we take him to Everton to play or be on the bench; if the reaction is not positive today then obviously we don't select him.
'What matters now is the match tomorrow and not the match in three weeks' time. For tomorrow he is a big doubt. Let's see.'
More to follow...
 
Kwa hiyo wadau wa CHELSEA FC hakuna haja ya kuwa na hofu; hata kama DIEGO COSTA asipocheza kesho; la muhimu ni kwamba jamaa hajaumia vibaya sana kama 'majirani' wetu walivyokuwa wameanza kueneza..

atakuwa fiti muda si muda..

TAARIFA RASMI KUTOKA CHELSEA FC KUHUSU KUUMIA KWA DIEGO COSTA.

Newsflash: Diego Costa a big doubt

News 25 minutes
Jose Mourinho says he will have to wait until after today's training session to see if Diego Costa can feature in our game at Everton tomorrow.
The striker has a minor muscular injury and the manager gave an update on his fitness.
‘In this moment I can't say much,' said Mourinho. 'We are trying everything for him to play tomorrow. He didn't train for the last two days, but today is the last day and we must make a decision to select him or not.
'He has to try a light training session to see if the reaction is positive. If it is we take him to Everton to play or be on the bench; if the reaction is not positive today then obviously we don't select him.
'What matters now is the match tomorrow and not the match in three weeks' time. For tomorrow he is a big doubt. Let's see.'
More to follow...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom