Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

The weaknesses of Chelsea's back-line have been exposed!Baloteli kama anacheka tu angani home and away

Uzaifu wa beki huja kutokana na viungo wakabaji. Sasa katika hawa viungo wa kati niambie sasa nani ni zaifu, Matic, Ramires na Obi? Au unaongea tu huku ukiwa umesahau wajibu wa viungo wakabaji ktk kuimarisha beki?
 
kaka all in all tuna shida kidogo nyuma, Mourinho katengeneza timu vizuri sana attacking midfields na striking force, lakini alijisahau kidogo kuimarisha ukuta kama kawaida yake, kwa mtazamo wangu mimi kila siku naona Cahill na Terry ni mtu mmoja, yaani wote ni wachezaji wa mwisho na hawako compatible kabisa ila uzoefu tu, Chelsea ilipaswa kutafuta beki namba nne ili Libelo awe Terry au Cahill,

Azip ni mzuri lakini pia sio reliable sana kwenye hiyo namba, yeye ni natural fulback right Ok tunacheza vizuri lakini precaution ni muhimu sana

hope next game Petre Czech atachezeshwa

Bado sioni km ktk upande wa beki kuko na shida kwasababu siku zote Jose hujenga timu kwa kuanzia nyuma kwenda mbele.
 
Mtalala mkiamini ipo siku Chelsea itadondosha point ila mtasubiri sana kama mtu asubiriaye Ndege Ubungo Bus Terminal
 
Mkuu hiyo nafasi ya Tano unaiongelea Liverpool au Chelsea hii hii ya Morinho?
Chelsea ni kitu kingine ndugu subiria siku tukikutana uje uonges hapa baada ya Costa kumaliza kazi

Hawa jamaa ni km upepo tu usiokua na uelekeo.

Siku za hapo nyuma walikua wanamsifia sn kocha wa BR km ni kocha mzuri na wengine walidiriki mpk kumlinganisha na Jose. Lkn juzu walivyochapwa na Man City kila mmoja alitoka na lake. BR walimponda sn. Na kuna mdau mmoja anaitwa The Magnificent anaombea LFC msimu huu iwe nafasi ya saba kutoka na ubovu wa kocha. Sasa namshangaa huyu jamaa anaota mchana kweupe wakati msimu huu ata hiyo nafasi 5 wao wataikosa.

Ngoja tuwaone leo na Spurs ndio tutaongea.
 
Last edited by a moderator:
Tarehe 13 twacheza na Swansea hapo tutachukua point zetu tatu ili tuwaache wao nyuma sasa huyo Man U na wenzake wajipange sana. Mi napenda msimu huuu tusipoteze point na tufikishe 100+ tuongeze record.
Kuna timj fulani hivi ina record mbaya mbaya tokea msimu uliopita na msimu huu Mechi tatu point 2 tena wamezitafuta kwa mbinde
 
wewe ni CHELSEA au?

kaka all in all tuna shida kidogo nyuma, Mourinho katengeneza timu vizuri sana attacking midfields na striking force, lakini alijisahau kidogo kuimarisha ukuta kama kawaida yake, kwa mtazamo wangu mimi kila siku naona Cahill na Terry ni mtu mmoja, yaani wote ni wachezaji wa mwisho na hawako compatible kabisa ila uzoefu tu, Chelsea ilipaswa kutafuta beki namba nne ili Libelo awe Terry au Cahill,

Azip ni mzuri lakini pia sio reliable sana kwenye hiyo namba, yeye ni natural fulback right Ok tunacheza vizuri lakini precaution ni muhimu sana

hope next game Petre Czech atachezeshwa
 
CHELSEA FC imecheza 100% kwa usahihi kabisa.

1. tumekuwa tunachelewa kuanza mashambulizi. lakini jana dakika 3 tu zilitosha kufunga magoli 2.

2. tumekuwa tunapata shida sana tukicheza na Everton; sasa jana walikuwa kama mkate lainiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.

3. Magoli waliyofunga wangefunga pia kama tungeamua kubaki nyuma na kukaba wangetufunga mechi ya jana.
kuwashambulia muda wote tumeonyesha sisi ni timu ya ubingwa. bingwa anashinda kwa mbinu zozote zile hata kama hali ni ngumu kama nilivyosema mepema kabla ya mechi.

4. Cesar Azpilicueta ni bonge la mchezaji, ni mchezaji wa timu. Terry, Cahill na Ivanovic well done lads.
5. Kipa alifanya vizuri hasa alipookoa hatari ambapo walitaka wapate goli la 4.

6. Ilikuwa safi sana Ramires na Willian kucheza mechi ya jana. na kwa kweli sasa nashawishika kusema hii ndo timu ya ubingwa.

kama adui anafunga goli 4 sisi tutafunga 5, kama atafunga 9 sisi tutafunga 10...napenda hii SPIRIT ya chelsea..

CHELSEA FC - FOREVER BLUE.
 
Hiyo timu tumeiacha kwa gape ya point 7 na kwa mantiki hiyo basi hiyo timu sio mshindani wetu katika kuwania ubingwa wa EPL.

CHELSEA FC imecheza 100% kwa usahihi kabisa.

1. tumekuwa tunachelewa kuanza mashambulizi. lakini jana dakika 3 tu zilitosha kufunga magoli 2.

2. tumekuwa tunapata shida sana tukicheza na Everton; sasa jana walikuwa kama mkate lainiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.

3. Magoli waliyofunga wangefunga pia kama tungeamua kubaki nyuma na kukaba wangetufunga mechi ya jana.
kuwashambulia muda wote tumeonyesha sisi ni timu ya ubingwa. bingwa anashinda kwa mbinu zozote zile hata kama hali ni ngumu kama nilivyosema mepema kabla ya mechi.

4. Cesar Azpilicueta ni bonge la mchezaji, ni mchezaji wa timu. Terry, Cahill na Ivanovic well done lads.
5. Kipa alifanya vizuri hasa alipookoa hatari ambapo walitaka wapate goli la 4.

6. Ilikuwa safi sana Ramires na Willian kucheza mechi ya jana. na kwa kweli sasa nashawishika kusema hii ndo timu ya ubingwa.

kama adui anafunga goli 4 sisi tutafunga 5, kama atafunga 9 sisi tutafunga 10...napenda hii SPIRIT ya chelsea..

CHELSEA FC - FOREVER BLUE.

Msimu huu watake wasitake watatutangaza mabingwa wenyewe tena kabla ya December watakuja hapa ktk nyumba yetu na kusema sisi ni mabingwa.

Vitendo vinaongea.

Costa game 3 goals 4 pesa imeenda halali.
 
final-whistle-verdict--anything-is-possible.img.png
 
kaka all in all tuna shida kidogo nyuma, Mourinho katengeneza timu vizuri sana attacking midfields na striking force, lakini alijisahau kidogo kuimarisha ukuta kama kawaida yake, kwa mtazamo wangu mimi kila siku naona Cahill na Terry ni mtu mmoja, yaani wote ni wachezaji wa mwisho na hawako compatible kabisa ila uzoefu tu, Chelsea ilipaswa kutafuta beki namba nne ili Libelo awe Terry au Cahill,

Azip ni mzuri lakini pia sio reliable sana kwenye hiyo namba, yeye ni natural fulback right Ok tunacheza vizuri lakini precaution ni muhimu sana

hope next game Petre Czech atachezeshwa

Kipa bora aendelee huyo huyo kipa ukishampa no. 1 halaf kuanza kubadilibadili ni kumfanya apoteane na apoteze kujiamini hasa kwa umri kama wa Courtouis na everton si wa kubeza hata Jose anasema jumatano karibu saa 1.30 walifanyia mazoez kona na faulo kwa sababu aliona uimara wa everton uko wapi lakini ndo hvyo.
 
nani anamlaumu kipa?

unapocheza na timun nzuri, unajua lazima watafunga magoli; lakini la maana ni sisi kufunga mengi zaidi.
wakifunga 3 sisi tutafunga 6, wakifunga 6 sisi tutafunga 9, wakifunga 9 sisi tutafunga 12..waleteni hao wenzao; cc Liverpool, Man city, Man utd, Arsenal, Spurs..

mwaka huu..narudia tena mwaka huu!!!:wacko:

sawa huenda hujapenda alivyocheza. lakini leo hiyo ndo ilikuwa game plan, hata HAZARD hakuwa na makali..game plan ya leo ilikuwa kupitishia mashambulizi katikati. kwa sababu kupita pembeni Everton wana mabeki wazuri wa pembeni. lakini kina Hazard na Willian walikuwa wanajitahidi kuwazuia kina Baines na Coleman walipande kama kawaida yao.

timu ni nzuri sana kwa sasa. kila mchezaji ni mzuri. tufurahie ushindi kwanza.alaf tujipange kwa ajili ya mabata maji. SWANSEA..tarehe 13....

CHELSEA FC - FOREVER BLUE.

ila leo cjapenda jinsi willian alivyocheza/ alikuwa chini ya kiwango kabisa. next match ule upande ataanza drogba au salah mambo yatanoga sn
 
nani anamlaumu kipa?

unapocheza na timun nzuri, unajua lazima watafunga magoli; lakini la maana ni sisi kufunga mengi zaidi.
wakifunga 3 sisi tutafunga 6, wakifunga 6 sisi tutafunga 9, wakifunga 9 sisi tutafunga 12..waleteni hao wenzao; cc Liverpool, Man city, Man utd, Arsenal, Spurs..

mwaka huu..narudia tena mwaka huu!!!:wacko:

Nimeona kuna mdau anatoa hoja ya Petr kucheza game ijayo na sion sababu ya kufanya hvyo.
 
liverpool past tense iko nje ya top 10.

Ha haha h ha ha mzee malafyale uwe unatulia kidogo, tukiwajibu kwa ukali mnaaza kulia.

Wewe ulifungwa 3 na man city.
Sisi tumefungwa 3 lakini tumeshinda 6.

Kwa hiyo wewe liverpool huna mabeki na pia huna washambuliaji.
Tupa kule timu la wazee.

huwezi ukawemo hata kwenye top 4 kwa beki urojo kama hizi!goli la kwanza beki chelsea imezidiwa nguvu angani;goli la 2 ndiyo easiest one kwa one-two backline inakodoa macho tu!

Goli la eto'o hata yanga wangeokoa kapiga free header!chelsea ni majanga
 
Nimeona kuna mdau anatoa hoja ya Petr kucheza game ijayo na sion sababu ya kufanya hvyo.

Kipa wote ni wazuri ata huyu dogo ni mzuri na Cech pia ni mzuru ila kinachofanyika ni kumpumzisha Cech kwa sasa maana katumika sn.

BTW tuko na Mashindano km manne hivi ambayo tunashiriki Epl Cl na Fa na super Cup. Kwahiyo tunahitaji kwa kila nafasi kua na mbadala mzuri na mwenye uwezo km mwingine.

Safari hii kz wanayo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom