palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,463
Duuu yaani huyu diego anaendelea kuwajiziba watu midomo
sekunde ya 30 Diego Costa
chelsea 1 verton 0
sekunde ya 30 Diego Costa
chelsea 1 verton 0
HAHAHA wakuu sitoi updates ngoja nifungue bia kwanza,kitu mwake
Huyu jamaa kawa Striker? Hatari.Dk ya 3 Branislav Ivanovic
chelsea 2 everton 0
Huyu jamaa kawa Striker? Hatari.
bia ya pili sijafungua kitu mwake tena.hahahahahaha ongeza nyingine tena
bia ya pili sijafungua kitu mwake tena.
Leo man city dawa imetuingia ngoja tulale tu
Wazirudishe kwanza,hahahahahahahahahah mkuu acha kabisa yaaani amani ameanza ndani ya dk 5 za mwanzo.
Man city toka lini mkuu??