Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kuna wapambe wake husafiri huku na kule duniani kuangalia wacheza ambao wanastahili kuangaliwa kwa macho mengine mawili kabla ya kusajiliwa. Naona 3 points zinanukia leo. Huyo kipa kifaa sana.

mkuu mpaka najiuliza Morinho alimjuaje,kaokoa dah
 
Ni wa kutoka Belgium

640px-Thibaut_Courtois_-_02.jpg
 
Kuna wapambe wake husafiri huku na kule duniani kuangalia wacheza ambao wanastahili kuangaliwa kwa macho mengine mawili kabla ya kusajiliwa. Naona 3 points zinanukia leo. Huyo kipa kifaa sana.
bonge la kipa,ile goli ya pili aliyookoa how can you imagine asingeweka mguu kule ukagusa mpira ingekwaje
 
hahahahaha lol!!!! huo uchokozi sasa Mkuu zumbemkuu....wenyewe wa jukwaa hili wanaweza wakaanzisha varangati nawe kwa kumfananisha mlinda mlango wao na participants wa Miss World.

Kama mrembo wa miss world
 
Last edited by a moderator:
As it stands Chelsea are the leaders of the table, hivyo sisi ndio washindi mwanzo mwisho na Costa kila mechi yeye anafunga,, atakuwa mfungaji bora
 
hahahahaha lol!!!! huo uchokozi sasa Mkuu zumbemkuu....wenyewe wa jukwaa hili wanaweza wakaanzisha varangati nawe kwa kumfananisha mlinda mlango wao na participants wa Miss World.

Tunamsubiri kwa hamu huyo mrembo pale anfield
 
Last edited by a moderator:
welldone chelsea bado naiheshimu scoutteama ya chelsea thibault courter is the best keeper at the moment in chelsea squad
 
Tunamsubiri kwa hamu huyo mrembo pale anfield

sasa nyie ndio hamna kitu! CR7 ameshindwa kumfunga huyo dogo!" Foward yako etoo ndio itaweza kumfunga ........... kocha wenu hana akili!" eti amemuuza suarez umemnunua etoo!" akili au matope.

Grand PA
 
Mkuu Ntuzu
Kwa hiyo unashangilia kumfunga Lec?Team ambayo pundits wanasema itashuka daraja?
Hakika mechi ya kwanza EPL ni Jumatatu na majogoo watawika huko huko mitaa ya kwenu

....waambie bana,
It's only Burnley na Leicester City,
Teams from lower league, sasa EPL ndio inaanza.

#MosKwito !
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mbu hivi vitimu vilivyopanda si vya kudharau hata kidogo, vikicheza na timu zenye majina huwa vinagangamara kupita kiasi, Chelsea washukuru kipa wao mzuri sana maana wangeweza kuwa chini kwa 2-0, na hivi vitimu vikiwa mbele basi ni balaa...Mechi ingeweza kuwa 2-2 au matokeo tofauti.

....waambie bana,
It's only Burnley na Leicester City,
Teams from lower league, sasa EPL ndio inaanza.

#MosKwito !
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom