Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

OUR UPCOMING FIXTURES
August 30: Everton (A)

September 13: Swansea (H)
September 20: Manchester City (A)
September 27: Aston Villa (H)
October 4: Arsenal (H)
October 18: Crystal Palace (A)
October 25:Manchester United (A)
November 1: Queens Park Rangers (H)
November 8: Liverpool (A)
November 22: West Bromwich Albion (H)
November 29: Sunderland (A)
December 3: Tottenham (H)
December 6: Newcastle (A)
December 13: Hull (H)
December 20: Stoke (A)
December 26: West Ham (H)
December 28: Southampton (A)
January 1: Tottenham (A)
January 10: Newcastle (H)
January 17: Swansea (A)
January 31: Manchester City (H)
February 7: Aston Villa (A)
February 11: Everton (H)
February 21: Burnley (H)
February 28: Leicester (A)
March 3: West Ham (A)
March 14: Southampton (H)
March 21: Hull (A)
April 4: Stoke (H)
April 11: Queens Park Rangers (A)
April 18: Manchester United (H)
April 25: Arsenal (A)
May 2: Crystal Palace (H)
May 9: Liverpool (H)
May 16: West Bromwich Albion (A)
May 24: Sunderland (H)



 
Faida ya Willian kuanza ni kwamba mabeki akina Distin watachoka sana tena mapema; wamkabe Hazard, wamkabe costa..sasa anapokuja kuingia Schurrle wanakuwa wameshachoka; sasa inakuwa rahisi kwa Cesc kupiga zile pasi za kuchungulia kwa mbali. na Schurrle bila ajizi si unajua mbio zake?



Mkuu unachosema ni kweli! Ukimuangalia Willian ana vitu vya ziada kuliko Schurrle lkn kwa mimi nionavyo yoyote akianza na akatoka baada ya muda na mwingine kuingia mambo yatakwenda vzr tu!

Everton last season walitufunga kule kwao na tukawafunga darajani lkn safari hii tunawafunga game zote! Na ihisi hasira ya Jose Mourinho juu ya Everton! Mkakati uliopo ni kushinda game zamwanzoni zote iwe kubwa au ndogo! Na hawa Everton lazima wakae ata walete upinzani kiasi gani!
 
960.jpg
 
Blanislav Ivanovic; man of the match jana.

Namkubali sana huyu jamaa; yaani naona yeye ni kapteni msaidiz kabisa na anastahili sana kuchukua hicho cheo. kuliko hata Petr Cech.

Yaani ni mpambanaji sana huyu jamaa.:wacko:



 
tukishinda mechi 10 mfululizo itakuwa poa sana..wachezaji watajiamini na tena timu itakuwa imara. nataka tupige 10 out of 10 alaf tutaongea baada ya hapo. ubingwa kama kawaida mwezi wa 4 mwakani.

Mkuu unachosema ni kweli! Ukimuangalia Willian ana vitu vya ziada kuliko Schurrle lkn kwa mimi nionavyo yoyote akianza na akatoka baada ya muda na mwingine kuingia mambo yatakwenda vzr tu!

Everton last season walitufunga kule kwao na tukawafunga darajani lkn safari hii tunawafunga game zote! Na ihisi hasira ya Jose Mourinho juu ya Everton! Mkakati uliopo ni kushinda game zamwanzoni zote iwe kubwa au ndogo! Na hawa Everton lazima wakae ata walete upinzani kiasi gani!
 
natoka kidogo..:hungry:

cc. Ntuzu, Viol, andybird314, mentor..

CHELSEA FC FOREVER BLUE.
 
Hata yeye sasa anaamini kwa Mourinho yuko sahihi kumpiga benchi Torres..
maana unajua Costa ni usajili wa mOurinho ..lakini Torres aliletwa na ushabiki wa mtoto wa Roman.

sasa mambo yanaonekana wazi kwamba Jose Mourinho the special one.



Safari hii Don kawa mpole hamuingilii sn Manager wake ktk utendaji wake kz! Inapendeza sn kuona Abromoney amekuwa na hekima na kuacha Jose afanye kz yake ipasavyo!
 
Narudia tena .. ubingwa wa Premir league tutatangaza mwezi wa 4.

ubingwa wa Capitol one cup pia tunautaka; kwenye hizo mechi Mikel Obi ndo atakuwa kapteni.

Zouma na Andres mabeki wa kati; kipa Mark Schwezer au Jamal Blackman..ha haha.




Hahahaaaaa

Mkuu agosti 8 jirani zetu wa London hayo ndio makombe yao kwa first team yao!
 
Last edited by a moderator:
OUR UPCOMING FIXTURES
August 30: Everton (A)

September 13: Swansea (H)
September 20: Manchester City (A)
September 27: Aston Villa (H)
October 4: Arsenal (H)
October 18: Crystal Palace (A)
October 25:Manchester United (A)
November 1: Queens Park Rangers (H)
November 8: Liverpool (A)
November 22: West Bromwich Albion (H)
November 29: Sunderland (A)
December 3: Tottenham (H)
December 6: Newcastle (A)
December 13: Hull (H)
December 20: Stoke (A)
December 26: West Ham (H)
December 28: Southampton (A)
January 1: Tottenham (A)
January 10: Newcastle (H)
January 17: Swansea (A)
January 31: Manchester City (H)
February 7: Aston Villa (A)
February 11: Everton (H)
February 21: Burnley (H)
February 28: Leicester (A)
March 3: West Ham (A)
March 14: Southampton (H)
March 21: Hull (A)
April 4: Stoke (H)
April 11: Queens Park Rangers (A)
April 18: Manchester United (H)
April 25: Arsenal (A)
May 2: Crystal Palace (H)
May 9: Liverpool (H)
May 16: West Bromwich Albion (A)
May 24: Sunderland (H)




tukishinda mechi 10 mfululizo itakuwa poa sana..wachezaji watajiamini na tena timu itakuwa imara. nataka tupige 10 out of 10 alaf tutaongea baada ya hapo. ubingwa kama kawaida mwezi wa 4 mwakani.



Mkuu agosti 8 ukiangalia ratiba aliyoleta Ligend fungi game yetu ya kumi itakua tarehe moja november dhidi ya QPR lkn hapa katikati tutapita ktk machinjio ya Etihad na Old Trafford na kuwakaribisha Majirani zetu Arsenal! Nikiangalia vzr uwezo wa kushinda hizi game ni mkubwa sn!


Ushindi wa game kumi za mwanzo hizi ni muhimu sn!
 
Last edited by a moderator:
Faida ya Willian kuanza ni kwamba mabeki akina Distin watachoka sana tena mapema; wamkabe Hazard, wamkabe costa..sasa anapokuja kuingia Schurrle wanakuwa wameshachoka; sasa inakuwa rahisi kwa Cesc kupiga zile pasi za kuchungulia kwa mbali. na Schurrle bila ajizi si unajua mbio zake?




Ni kweli mkuu!

Watatuheshimu tu safari hii!
 
Everton kwa uzembe waliofanya jana wakikutana na chelsea wataumia maana wanajisahau sana na pia hawana mbio ivyo inapelekea mashambulizi ya mojamoja ila ya haraka na yenye madhara yatakayo wagharim sana watakapo.kutana na Blues
 
Hivi hawa mods ndio wametuchunia kabisa ombi letu! kuhusu kumpa agosti 8 usimamizi wa hii thread, huyo jamaa anayehusika na hii thread naona ana mwaka hajaingia JF .......... picha hapo juu zinahitajika kubadilishwa, kuwekwe kikosi cha sasa cha chelsea. na updates nyingine.

cc. Invisible
 
Last edited by a moderator:
Man U ndo keshaaga tayari nina hakika hatutadondosha hizi point 5 zetu. Nilisema na nitaendelea sema kuwa Chelsea ndio mshindi
 
Asante, naona wapinzani wetu wa zamani wanapigwa nyundo afu wanafanya usajili wa kutisha kwa Di Maria

Hahaha majiran zetu wanateketea tuwasaidiaje asee m naona bora wangempa mkataba Loga aliyetimuliwa Simba hahahhaah
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom