mimi nataka mechi ijayo vs Everton; Andre schurrle aanzie benchi; tumuanzishe Willian..willian anaufundi mwingi wa mpira kuliko Andre. Vijana wa Everton watatoa upinzani mkali sana jumamosi ijayo.
Willian anakaa na mpira, msumbufu, mbunifu, king'ang'anizi..yaani kama Hazard. Ila tofauti ni kwamba Willian ana kasi na maamuzi ya haraka.
Kama ikiwezekana..Oscar pia aanzie benchi kwa sababu amechoka sna na kombe la dunia. Mohamed Salah acheze pembeni; Willian acheze jukumu la Oscar.
Oscar na Schurrle waingie kipindi cha pili; iwe isiwe tutafikisha pointi 9 jumamosi.
kama kawaida yetu; one match at a time..