Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

wadau wa CHELSEA FC

RATIBA YA MSIMU MZIMA HII HAPA..TUTAKUWA
TUNAKUMBUSHANA KILA MECHI INAPOKARIBIA.

kama mods wangetupa ruhusu tuiweke kuwa bango la kudumu hapo juu.{cc.Invisible}

bqz3tyncmaaqju1.jpg
 
5cf2b3d12d736a75e6629622f5ef5062.jpg


Enzi hizo ndo Garry Cahill alikuwa amesajiliwa kutoka Bolton si muda mrefu.
hapa wakati Elvis Muamba alipokuwa mgonjwa mahututi hospitalini..

siku hiyo Garry Cahill alifunga goli; alipofunga ndo ikawa hivi.

Duh mkuu una kumbukumbu. Naikumbuka hii siku...ila sikuwa nakumbuka tulicheza na nani!

Uko vizuri mkuu!!!!!
 
FUNUNU.

MATTIA DESTRO MIAKA 23, KUTOKA AS ROMA.

kuna uwezekano tukampata huyu; kuna mikakati inaendelea chini kwa chini kwamba El Nino Torres aende Roma alaf sisi tumchukue huyu kijana..
ngoja tusubiri tuone.:A S-eek:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom