Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

mkuu osokonoi naomba nitoe malalamiko yangu unifikishie kwa ndugu zako wa Liverpool. nilikuwa huko leo; nikotoa ka-mchango kangu ka mawazo lakini jamaa hawana uungwana aisee kwa wageni. lakini naelewa ndo ushabiki ulivyo.sasa ndo unaona watu wanaogopa kutembea kwa watu..lakini sisi watu wa amani mkuu! uwe huru kuvinjari hapa.

Mkuu najua wewe siyo mchoyo wa pongezi ila kule kwetu sijakuona kabisa...
 
Mkuu umepewa tayari; nilikupendekeza umsaidie Ntuzu kwenye hicho kitengo cha kuchangamsha jukwaa. tena kwa majibu yako nadhani tumepata mtu sahihi kwa kazi sahihi..
Mimi na Mentor tutajikita kwenye mapicha. na uchambuzi mbalimbali ila wote tutashirikiana..ukiwa na kitu chema au mchango kwa ajili ya CFC..unawasilisha tunajadili kwa kina na kwa umoja.

Nipeni chance niwe najibu hoja za wapinzani,mpinzani akija lazima atatamani ardhi ipasuke.
 
Sasa nadhani wakuu mmeona faida za kugawana majukumu inaleta umoja na mshikamano..
sasa tuendelee hivi hivi.
cc.Mentor, Ntuzu, Viol, Kalou, kunguru mjanja, kijana wa mbagala[Grand PA] na wengine wote..kama umesahaulika kwenye kugawana majukumu sema mapema kabla chombo hakijachanganya..
 
10603406_1140081676032047_7233113551324192935_n.jpg
 
Mkuu umepewa tayari; nilikupendekeza umsaidie Ntuzu kwenye hicho kitengo cha kuchangamsha jukwaa. tena kwa majibu yako nadhani tumepata mtu sahihi kwa kazi sahihi..
Mimi na Mentor tutajikita kwenye mapicha. na uchambuzi mbalimbali ila wote tutashirikiana..ukiwa na kitu chema au mchango kwa ajili ya CFC..unawasilisha tunajadili kwa kina na kwa umoja.
naona kama mechi zinachelewa,maana chelsea zamu hii tunawapiga wote,yaani radi,tetemeko na mvua kwa mpigo
 
ha ha ha JUMAMOSI tuna mechi nzuri vs LEICISTER CITY..nyumbani darajani. itakuwa mechi nzuri maana hawa mabwana wanajua mpira huwa wanasumbua sana wakicheza na Chelsea..ni 'vipinzani' kimtindo..
ila kama kawaida ushindi ni lazima kwa sasa..

naona kama mechi zinachelewa,maana chelsea zamu hii tunawapiga wote,yaani radi,tetemeko na mvua kwa mpigo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom