Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hazard-Rabona-Mar-14-ARTICLE.jpg

mtaalam wa 'rabona'..hata jana alipiga moja matata sana..huyu naye atakuwa moto wa kuotea mbali!
 
Daaah real i'm happyyyy!

Chelsea hii inavyocheza naikumbuka chelsea ileee ya akina Ballack, Makelele n.k it was so fantastic team ofcoz!

Wakuu Ntuzu, agosti 8 na wengineo tuendelee kusheherekea kwa kweli, hakuna wakutuzuia!
 
Last edited by a moderator:
mkuu ila hamkunielewa labda mwanzoni.

nilisema kabisa kuwa Diego sikuona mechi zake nyingi zaidi ya ile ya uefa ambayo ATM walitufunga na kwenye kombe la dunia ambayo hajafunga goli wala kutisha(ingawa mchezaji mzuri utamgundua position anazotafuta na kukaa ndo sifa aliyonayo Diego kombe la dunia),na baada ya kuona mechi za chelsea hizi za friendship nilipoona goli zake na assist pia nilikuja kupost humu kwamba jamaa anajua kaniprove wrong,....Sanchez nilikuwa namfaham kwenye mechi za barca,nadhani hata wengi wanaangalia mechi za barca kwa vile tu ina jina au imeingia kwenye michuano mingi.
Hata hivo hiyo haikua hoja yangu kupingana na nye maana nilishakubali baada ya kumwona diego,hoja iliyozua haya ni kwamba niliposema Drogba anajua kukwepa mabeki au kutafuta position kuliko Diego,hiyo ndo iliyoleta ubishani ila kuhusu diego na sanchez mlirefer back kwamba ulishasema hivi,bila kuona post yangu niliyosema diego kaniprove wrong akiwa hapa chelsea,so nilishacancel siku nyingi kwamba sanchez ni bora (nishakubali na nimeona kiwango chake kwenye mecho za kirafiki mpaka hii ya jana nilikuwa simjui vizuri).hiyo ya sanchez vs Diego naomba tuache maana nimeshamkubali jamaa.

Ila hoja iliyosababisha haya ni ile kwamba drogba anajua kukwepa mabeki na kujiweka position ambayo utashangaa mpira umemkuta bila kutegemea na mara mnaona kafanya madhara,zaidi ya Diego,(hoja yangu ilikuwa kati ya hao majamaa kukwepa mabeki, but wote nawakubali now.
wakuu Peace & love.
Mkuu Ntuzu naomba maoni yako kwenye paragraph ya mwisho.

Mkuu Viol Drogba so Striker wa kukimbia mabeki! Hiyo kwanza napingana na wewe!

Ktk striker ambae hua anafunga akiwa chini ya beki wawili tena wakiwa wanamsumbua ni Drogba!

Drogba ni bigman ambae akisimama katikati beki wanapata shida! Na hii usaidia ata km yeye asipofunga basi hawa watoto kina Oscar na Costa etc lazima awawezeshe wafunge!

Msimu huu tuko na bigman pale mbele tutakua tunacheza mifumo yote! Kumbuka miaka ile Drogba alipokuwepo na Mourinho kina Lampard Jo Coly na wengine walikua wanafunga sn!
 
Last edited by a moderator:
Well said Ntuzu;
na niseme kwamba lengo la haya si kumdharau yeyote. Sote tunaelimishana au vipi wakuu?
cc.Viol,kunguru mjanja, mentor...

ONE LOVE CHELSEA.

Mkuu Viol Drogba so Striker wa kukimbia mabeki! Hiyo kwanza napingana na wewe!

Ktk striker ambae hua anafunga akiwa chini ya beki wawili tena wakiwa wanamsumbua ni Drogba!

Drogba ni bigman ambae akisimama katikati beki wanapata shida! Na hii usaidia ata km yeye asipofunga basi hawa watoto kina Oscar na Costa etc lazima awawezeshe wafunge!

Msimu huu tuko na bigman pale mbele tutakua tunacheza mifumo yote! Kumbuka miaka ile Drogba alipokuwepo na Mourinho kina Lampard Jo Coly na wengine walikua wanafunga sn!
 
Mkuu nkuwi; neema inakuja..msimu huu tutavunja ile rekodi ya Arsenal 2004. haa ha wenyewe wanaitegemea sana ile rekodi watachukia sana.

Daaah real i'm happyyyy!

Chelsea hii inavyocheza naikumbuka chelsea ileee ya akina Ballack, Makelele n.k it was so fantastic team ofcoz!

Wakuu Ntuzu, agosti 8 na wengineo tuendelee kusheherekea kwa kweli, hakuna wakutuzuia!
 
Wakuu tuweni kitu kimoja; maana huu msimu wa kushangilia ushindi tu. Chonde chonde msiende mbali na jukwaa hili.
Umoja ni nguvu.
cc. Ntuzu, Mentor, FUSO, kunguru mjanja, Grand PA, na wengine wote CHELSEA FANS. :grouphug:

Mkuu agosti 8 hilo so la kusema!

Nimesharudi nyumbani! Humu mie nikulala na kushinda humu!

Hii ni nyumba yetu mkuu! Kz ya jana ilikua nzuri sn! Nafikiri Costa huu msimu atakua mfungaji bora!

Msimu huu tutachukua ubingwa kwa record ya points nyingi na magoli mengi sn!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu nkuwi; neema inakuja..msimu huu tutavunja ile rekodi ya Arsenal 2004. haa ha wenyewe wanaitegemea sana ile rekodi watachukia sana.

Mkuu Agosti 8, sio record Yao tu tutavunja na zile za kwetu za magoli mengi na kuchukua ubingwa na points nyingi
 
wakuu mie nina hoja;
jukwaa kwa sababu linaendelea vizuri sana; tungegawana majukumu. mfano:
Kuwa ni idara ya NEWS,
Kuwe na idara ya KUJIBU MASWALI [ufundi wa mpira wa chelsea na falsafa nzima ya Chelsea fC]
kuwe na idara ya MAPICHA YA CHELSEA.
kuwe na idara ya mashabiki wote kwa ujumla humu humu ndani.

naona kama hiyo italeta umoja ndani ya jukwaa na pia jukwaa litachangamka sana. sijui maoni yetu wakuu.
cc.Viol, Ntuzu, FUSO, kunguru mjanja, Grand PA, Mentor, nkuwi, na wengine wote..

TOENI MAONI YETU..

Mkuu agosti 8 hilo so la kusema!

Nimesharudi nyumbani! Humu mie nikulala na kushinda humu!

Hii ni nyumba yetu mkuu! Kz ya jana ilikua nzuri sn! Nafikiri Costa huu msimu atakua mfungaji bora!

Msimu huu tutachukua ubingwa kwa record ya points nyingi na magoli mengi sn!
 
MFANO; tunaweza kumpa MENTOR au NTUZU au yeyote yule; jukuma la kuhakikisha kwamba picha zote zinazohusu CHELSEA FC kila inapocheza au inapojitayarisha zinapatikana kwa wakati. Na mwingine akawa msimamizi wa kitengo cha kufafanua mbinu na misimamo ya timu ya CHELSEA. na mwingine[au wengine] wakawa wasimamizi wa kuhakikisha jukwaa linachangamka kwa kuleta habari motomoto.

sasa wale wengine ambao si mashabiki wa kila siku hata wanapoingia jamvini wanakuta pako live!

naomba kuwasilisha..kila mtu atoe mapendekezo yake kuhusu jambo hili.
cc.Invisible.
 
duh hapo mmewafunga burnley....je mngewafunga ATLETICO MADRID na kuchukua kombe sijui ingekuwaje! mwaka huu kazi tunayo haya 'sing when ur winning' i hope mwaka wenu huu.
 
MFANO; tunaweza kumpa MENTOR au NTUZU au yeyote yule; jukuma la kuhakikisha kwamba picha zote zinazohusu CHELSEA FC kila inapocheza au inapojitayarisha zinapatikana kwa wakati. Na mwingine akawa msimamizi wa kitengo cha kufafanua mbinu na misimamo ya timu ya CHELSEA. na mwingine[au wengine] wakawa wasimamizi wa kuhakikisha jukwaa linachangamka kwa kuleta habari motomoto.

sasa wale wengine ambao si mashabiki wa kila siku hata wanapoingia jamvini wanakuta pako live!

naomba kuwasilisha..kila mtu atoe mapendekezo yake kuhusu jambo hili.
cc.Invisible.

Mkuu agosti 8 mawazo yako ni mazuri sn na mimi nayaunga mkono na kwa kuanza mimi ningepende nigawe majukumu kwa wadau wetu! Mentor anaweza kuleta picha hilo jukumu linamfaa na anaweza kuleta ata mambo mengine motomoto!

Pili wewe @ agosti 8 unafaa ktk jukumu la uchambuzi wa mifumo na kuleta habari motomoto na picha

Mimi binafsi ningependa kusima km SpiderMan Matic kuhakikisha napiga debe na kukabiliana na mburukenge wowote watakaoingia ktk nyumba yetu hii wenye hoja zisizo na mashiko kwa timu yetu na kuhakikisha uzi wetu unakua moto na pia ata nyinyi hili jukumu mnaliweza sn nafikiri kwa namna moja au ingine kufanya kz kwa pamoja ni vema sn,!

Ni hayo tu kwa sasa,,!
 
Last edited by a moderator:
wakuu mie nina hoja;
jukwaa kwa sababu linaendelea vizuri sana; tungegawana majukumu. mfano:
Kuwa ni idara ya NEWS,
Kuwe na idara ya KUJIBU MASWALI [ufundi wa mpira wa chelsea na falsafa nzima ya Chelsea fC]
kuwe na idara ya MAPICHA YA CHELSEA.
kuwe na idara ya mashabiki wote kwa ujumla humu humu ndani.

naona kama hiyo italeta umoja ndani ya jukwaa na pia jukwaa litachangamka sana. sijui maoni yetu wakuu.
cc.Viol, Ntuzu, FUSO, kunguru mjanja, Grand PA, Mentor, nkuwi, na wengine wote..

TOENI MAONI YETU..

Mimi naunga mkono pia swala hilo maana, litafanya jukwaa liwe very active kwa sababu Kila mtu atakuwa busy na kitengo chake (japo Kila mtu anaweza kusaidia wenzake kama akiona wana-delay kidogo).

Mkuu Agosti 8, wewe unaweza tu ukapanga vitengo halafu Kila mtu atasema kama kinamfaa au la

Hayo ni maoni yangu tu, wadau mnaweza kuendelea kutoa maoni yenu.
 
Naunga mkono hoja! kwa hiyo majukumu yangu na ya mentor yanafanana kwenye mambo ya 'mapicha' eeh?
safi sana.. sasa wasaidizi mbona hujaweka?

Mkuu agosti 8 mawazo yako ni mazuri sn na mimi nayaunga mkono na kwa kuanza mimi ningepende nigawe majukumu kwa wadau wetu! Mentor anaweza kuleta picha hilo jukumu linamfaa na anaweza kuleta ata mambo mengine motomoto!

Pili wewe @ agosti 8 unafaa ktk jukumu la uchambuzi wa mifumo na kuleta habari motomoto na picha

Mimi binafsi ningependa kusima km SpiderMan Matic kuhakikisha napiga debe na kukabiliana na mburukenge wowote watakaoingia ktk nyumba yetu hii wenye hoja zisizo na mashiko kwa timu yetu na kuhakikisha uzi wetu unakua moto na pia ata nyinyi hili jukumu mnaliweza sn nafikiri kwa namna moja au ingine kufanya kz kwa pamoja ni vema sn,!

Ni hayo tu kwa sasa,,!
 
Kunguru mjanja, Viol, Grand PA na FUSO mtamsaidia Ntuzu...mnasemaje?
Mimi naunga mkono pia swala hilo maana, litafanya jukwaa liwe very active kwa sababu Kila mtu atakuwa busy na kitengo chake (japo Kila mtu anaweza kusaidia wenzake kama akiona wana-delay kidogo).

Mkuu Agosti 8, wewe unaweza tu ukapanga vitengo halafu Kila mtu atasema kama kinamfaa au la

Hayo ni maoni yangu tu, wadau mnaweza kuendelea kutoa maoni yenu.
 
NAANZA KAZI ...
mfumo wa jana CHELSEA FC vs BURNLEY.

Chelsea Fc ilitumia mfumo 'wetu' maarufu; 4-2-3-1.
kwa hiyo. Mabeki 4; ivanovic-cahill-terry-azpilicueta.

viungo 2. Matic na Fabregas.
viungo washambuliaji 3. hazard-oscar-schurrle.

mshambuliaji:[lone striker] Diego Costa.

lakini kama kawaida; huyu kijana Oscar alikuwa anabadilishana majukumu na Fabregas, kutegemea na mchezo ulivyokuwa ukienda. mfano; goli la pili Fabregas alikuwa nje tu ya 18 ndo akatoa ile 'assist' ya goli la Schurrle; hapo alikuwa anacheza jukumu la Oscar.

KIPINDI CHA PILI. alipoingia John Obi Mikel kiungo cha kati kiliimarika kiasi kwa sababu yeye ana nguvu kuliko Matic, ile faida ya Matic huwa ni pasi zake nyingi huwa anapiga za kwenda mbele. Ilhali Mikel anapiga sana square passes.

Sasa Mikel alipoingia akacheza namba 8, Matic 6, na Cesc 'the maestro' akaenda kucheza # 10.
Didier Drogba "simba mzee" alipoingia akacheza kama mbele, Diego akasogea kwa pembeni kidogo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom