Kuna mahali nilisoma maelezo ya hiyo picha: "Have you ever been bored by your team's tactics you wanted to strangle yourself to death?"
kuna fununu kwamba kuna mbinu Mourinho anataka kuitumia kumtoa Torres kimtindo..yaani atakuwa hampangi katika kipindi hiki cha usajili ..ili dogo apate hasira aondoke. Ngoja tuone maana tayari juzi kwenye mechi vs madogo hakucheza; ngoja tuone jumamosi kama pia hatacheza nitaamini.
baada ya hapo lazima El Nino atamsumbua wakala wake amtafutie timu ya kwenda.
nilichogundua morinho mpaka amchoke mtu ni ngumu,ila Tores anazingua wakuu,mechi ya urafki wiki iliyopita kakosa goli la wazi,na sio mara ya kwanzakuna fununu kwamba kuna mbinu Mourinho anataka kuitumia kumtoa Torres kimtindo..yaani atakuwa hampangi katika kipindi hiki cha usajili ..ili dogo apate hasira aondoke. Ngoja tuone maana tayari juzi kwenye mechi vs madogo hakucheza; ngoja tuone jumamosi kama pia hatacheza nitaamini.
baada ya hapo lazima El Nino atamsumbua wakala wake amtafutie timu ya kwenda.
ila Mourinho si anataka sriker watatu....
nilichogundua morinho mpaka amchoke mtu ni ngumu,ila Tores anazingua wakuu,mechi ya urafki wiki iliyopita kakosa goli la wazi,na sio mara ya kwanza
Moses tayari kasepa On loan Stoke City.
Sasa Angalau akacheze kwa muda mrefu na yeye. Huyu Torres tumpeleke hata QPR kwa nguvu akajifunze kufunga huko bana maana inakuwa kero analipwa hela za bure kabisa
Vijana wa LEICESTER CITY FOOTBALL CLUB tunakutana nao jumamosi saa 11 jioni.{saa za afrika mashariki}.
Vijana hawa tumewahi kuwachapa 5-2 msimu wa mwisho walipokuwa ligi kuu.
Sasa mechi ya j'mosi itakuwa mwafaka kwa ajili ya kuendeleza ubabe wetu.
Mechi ya kwanza hawa vijana wa LCFC walitoka sare na Everton.{2-2}..
![]()