Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

article-0-000FCDD500000258-491_224x423.jpg

CHELSEA LEGEND

steve clarke, amekuwa mchezaji na baadaye akawa kocha msaidizi chini ya Jose Mourinho Part 1.
 
mkuu osokonoi naomba nitoe malalamiko yangu unifikishie kwa ndugu zako wa Liverpool. nilikuwa huko leo; nikotoa ka-mchango kangu ka mawazo lakini jamaa hawana uungwana aisee kwa wageni. lakini naelewa ndo ushabiki ulivyo.sasa ndo unaona watu wanaogopa kutembea kwa watu..lakini sisi watu wa amani mkuu! uwe huru kuvinjari hapa.

Malalamiko yako nimeyafanyia kazi na nafikiri umeona what I’ve addressed…

Wanaliverpool ni kati ya watu wastaarabu sana. Nafikiri wewe mwenyewe, mentor na Ntuzu wanalifahamu hilo…walioghafilika ni wasikivu nani waelewa…

Nashukuru sana kwa kunikaribisha...Michezo ni urafiki, amani na upendo
 
Ni kweli kabisa tutaniane, tushindane, tuchekane lakini tusitukanane..

safi sana mkuu osokonoi..
cc.Ntuzu, Mentor na 'waziri wa ulinzi wa thread' Viol.

Malalamiko yako nimeyafanyia kazi na nafikiri umeona what I've addressed…

Wanaliverpool ni kati ya watu wastaarabu sana. Nafikiri wewe mwenyewe, mentor na Ntuzu wanalifahamu hilo…walioghafilika ni wasikivu nani waelewa…

Nashukuru sana kwa kunikaribisha...Michezo ni urafiki, amani na upendo
 
ha ha ha JUMAMOSI tuna mechi nzuri vs LEICISTER CITY..nyumbani darajani. itakuwa mechi nzuri maana hawa mabwana wanajua mpira huwa wanasumbua sana wakicheza na Chelsea..ni 'vipinzani' kimtindo..
ila kama kawaida ushindi ni lazima kwa sasa..
ni wabishi ila wakifungwa wanachanganyikiwa,kinachofaa ni kanuni ya jana,kufunga mawili then kuwaenjoy kama wataweza kusawazisha
 
Next weekend tutakua na points 6 na goli za kumwaga!

#KTBFFH
mkuu nilikuwa sijakusoma fb,kwa hiyo ishara ya red nimekusoma,kumbe mi na wewe ni friends fb kwa kuunganishwa na group ya chelsea Tanzania.

Swali linakuja wakuu,kwakuwa now big 4 ni chelsea,man city,arsenal na liverpool,je hizo timu zinaweza kupoteza mechi zao kwa timu kama zipi?wakuu ni maswali tu sisi kwa sisi.
 
Wachezaji wengi sana wa Chelsea FC wanaipenda sana Chelsea hata Cole akiambiwa arudi atarudi tu. Lampard wote hao wanaipenda Chelsea.
Cole haiwezekani alikuwa Arsenal ila hajawahi onesha akiangalia mpira wa Arsenal ila pamoja na kuondoka Chelsea bado jana aliangalia mechi yao
 
mkuu nilikuwa sijakusoma fb,kwa hiyo ishara ya red nimekusoma,kumbe mi na wewe ni friends fb kwa kuunganishwa na group ya chelsea Tanzania.

Swali linakuja wakuu,kwakuwa now big 4 ni chelsea,man city,arsenal na liverpool,je hizo timu zinaweza kupoteza mechi zao kwa timu kama zipi?wakuu ni maswali tu sisi kwa sisi.

Aha!

Msimu uliopita tulitoka Sare OT na Man Utd na aliopokuja Darajani tulimpiga!

Arsenal Emirates tulitoka are darajani tukampiga!

Man City na Liverpool tuliwapiga kwao na kwetu!

Msimu huu tunaendeleza ubabe huo huo!

Hizo timu kushinda kwao kwetu iwe kwao au kwetu ni droo! Lkn kichapo kwao kiko hapo hapo!
 
Ntuzu nimekuelewa but my aim point ni kwamba je hizo timu za big four udhaifu wao upo kwa timu gani ndgo?lazima wakikutana tuone hawa majamaa wanakamatwa,kwetu chelsea tumwekuwa tukisumbuliwa na sunderland na west ham united,je kwao

?
 
Last edited by a moderator:

Ukiangalia game za msimu uliopita ata kwa timu ndogo kulikua na sababu maalum! Either kadi nyekundu kwa timu yetu au penalty au Refa kutoa goli la utata! Hayo ndio mazingira yaliyofanya tukawa tunapoteza lkn kwa statics za mpira zilikua sisi tuko vzr! Na kustahili kushinda ata km tulipoteza!

Ukija kwa hizo timu zingine udhaifu wao kwa timu zingine siwezi ongelea lkn km tunakutana nao uso kwa uso lazima tuwapige!
 
Last edited by a moderator:
ha aha ha TORRES hahitajiki eeh?

Petr Cech amefanya mengi; na CHELSEA FC imemfanyia mengi Petr Cech kama itabidi aende; si mbaya maisha yataendelea.

But kufikia sasa TUNAMSHUKURU SANA PETR CECH kwa mchango wake muhimu katika mataji makubwa ...

Huku salama .
Cech kuna uwezekano akachukuliwa na either Monaco au PSG
Source goal.com

Hivi mbona sijasikia timu ikimtaka Torres hata kwa mkopo,
 
Kwa sababu kama Chelsea itamweka sokoni Petr Cech na Torres inaweza kupata hata angalau paundi milioni 25 kwa wote wawili. si mbaya kuliko wakae bila kutumiwa..:A S-eek:
 
Msimu ulopita hizo timu zilitusumbua kwa sababu ya 'udhaifu' kwenye ushambuliaji maana tulikuwa tunatengeneza nafasi nyingi sana za kufunga lakini Torres anazipoteza.

Pia kwenye kiungo Matic na Fabregas watasaidia sana kuimarisha eneo hilo; sasa kina Hazard watakuwa huru kufanya mambo yao..
Tuko sawa sana msimu huu..huenda tukavunja rekodi ya Arsenal mwaka 2004 au tukavunja rekodi yetu ya mwaka 2005 kuvuka pointi 95.

Ntuzu nimekuelewa but my aim point ni kwamba je hizo timu za big four udhaifu wao upo kwa timu gani ndgo?lazima wakikutana tuone hawa majamaa wanakamatwa,kwetu chelsea tumwekuwa tukisumbuliwa na sunderland na west ham united,je kwao

?
 
inabdidi aende tu; kwa sababu si vizuri yeye ashindanie namba na dogo wa miaka 22.
kitu cha pili tayari Chelsea imemsainisha Thibaut mkatapa mpya wa miaka 5.

sasa hata wakiwa pamoja maana yake kila mtu atacheza mechi chache jambo ambalo si zuri kwa uimara wa kipa.
Mark Schwerzer anatosha kuwa kipa namba 2.

Petr ataheshimiwa kam Lampard, Drogba na Cole daima hata kama ataoondoka..ni vema aende mapema kuliko akichelewa alaf ionekane kwamba kweli dogo amemzidi heshima; itakuwa mbaya.:A S-eek:

Ila Cech hakupenda na hapendi aondoke pale Chelsea FC, ila inabidi aondoke sababu hatapata nafasi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom