Peasant
JF-Expert Member
- Sep 27, 2007
- 3,949
- 699
CHELSEA FC - FOREVER BLUE.
Watu wa mpira; tarehe 18 jumatatu tunacheza mechi ya kwanza kwenye PREMIER LEAGUE 2014/2015.
Tunacheza na vijana wa BARNSLEY FC...
timu hii ilianzishwa mwaka 1887 ikijulikana kwa jina la BARNSLEY ST.PETERS.
Katika rekodi za CHELSEA vs BARNSLEY tumecheza nao jumla ya mechi 32.
Barnsley imeshinda 11.
Chelsea Fc tumeshinda 16.
Drawa mechi 5.
Mara ya mwisho tumecheza na Barnsley kwenye FA Cup msimu wa 2007-2008. tulipoteza mechi ile kwa kufungwa 1-0.
![]()
Msimu wa 1997/1998 CHELSEA Fc tuliifunga Barnsley Fc magoli 6-0!
Jaribu kusoma kabla haujapost. BARNSLEY FC haichezi Premier League, iko League One. Umechanganya na Burnley FC.