Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

we nawe kweli mamluki kama anavyosema mdau. huyo Sanchez hawez kumfikia Diego wala hata kumkaribia kwa ubora. Hao Arsenal wako sijaona walichosajili kumshinda chelsea.
Hii ya kukubali wachezaji wa timu pinzani ipo lakini siyo huyo Sanchez kw Costa atasubiri sana.Arsenal wangekua wamemsajili Suarez kweli ningesema wamejitahidi ...........

Grand PA
Kalale huna hoja na hiyo avatar yako umevaa chupi,mwanaume anayejielewa hawezi weka avatar akiwa na chupi tu kama si wale wenye injini nyuma yaani Volkswagen,kwahiyo rudi kujibu hoja ukiwa unajielewa.
 
ndio mm mkuu, nilijivua gamba. huko kwnye majukwaa ya watu ban ziliniandama sana. ndio nimetoka kifungoni jana.

Grand PA
acha unafki,unajivua gamba na kujirudisha gamba,weka kwanza avatar ya heshima si hiyo umevaa chupi lazima nikuone hujielewi
 
Kwa hiyo kumbe target yako ni kuongeza post kwenye jukwaa la Chelsea ,hapa Jf post zinaongezwa na mashabiki wa timu pinzani.Waalike kina Mbu Wacha1 rubaman Pazi MosDef boss Nzi RRONDO mfarisayo BAK watakusaidia
Mkuu kumbe umeliona hilo!we mjanja,ngoja kuna thread nilianzia kuhusu chelsea kama timu yangu,huyo huyo Agost akaja kuniquote kule kwamba kwanini usingeweka kwenye ile thread letu la chelsea ije juu,kumbe anapost au kuponda watu ili thread ili ije juu,umehakikisha alivyoshindwa kujibu hoja zangu na kujibu bla blaa tu,kumbe anasogeza thread juu kisa kwa unafki anaandika we unataka tuendelea page zifike....,halafu anasema nani hanijui mi chelsea watakuja kuonyesha,na kweli mashabiki mandazi bila kusoma hoja lazima wamsifie.........udhaifu gani wa hoja ya Agost,mi kusema Drogba anajua kukwepa Defenders akasema sijui na simfuatiliiaji wa chelsea(hanijui hata),akasema Vialli ni zaidi ya drogba,nikaleta clip ya video ya Vialli na kumwambia angalia jamaa anachenga mabeki ila Drogba huwa anakwepa mabeki,anakaa sehemu akasahaulika,akipata mpira madhara,na ushahidi nikaweka,jamaa akaanza kuniponda tu,na nikamwambia tena,akaenda kuchukua post yangu niliyosema Sanchez waliyomsajili Arsenal anajua kuliko Diego,akaanza kuonyesha mi arsenal,(nikamwonyeshea post yangu nikisema "nilikuwa sijamwona Diego vizuri akiwa mbali na chelsea na nimwona now anafanya vizuri''bado akawa analazimisha point mi sio chelsea.

Nikadhani huyu Agosti hanielewi,nikaweka mfano,(rudi page moja au mbili nyuma),nikasema mfano simba wakamsajili Messi,halafu Yanga wakamsajili Samata,Nikisema Simba wamefanya usajili mzuri Kumsajili Messi ambaye ni mchezaji wa dunia kuliko Yanga waliomsajili Samata,Je hapo mi ni msaliti wa Yanga kisa nimesema simba wamefanya usajili mzuri kumsajili Messi kuliko Samata? agosti 8 unafanya unafki na hata wanaokusupport wanakupumbaza kukupa kampani tu kwamba usionekane upo empty.,.

NARUDIA MFANO:Simba wamemleta Messi toka Barcelona na kumsajili,Yanga wakamleta Samata na kumsajili,Mi ambaye ni Yanga nikasema ;Daah Simba wamemleta Messi,wametisha na wamefanya usajili wa ukweli(ila mi yanga),halafu wewe ukaanza ooh,Viol mamluki hamsifii Samata,.......

Yaani kwa hiyo point we ndo unasema mi mamluki.
C.C@Belo
 
kwa hiyo baada ya maelezo yote haya unataka tukuone unajua kuchambua kuliko mwezi wa nane ?
 
anataka kufunika jua kwa ungo, ha haha yeye haoni ajabu kwa nini watu wa Chelsea hawamuungi mkono? wanaomsapoti ni watani zetu tu.

agosti 8 ni agosti 8 tu.

WAKUU; JANA CHELSEA 2 - 1 MAN CITY (CHINI YA UMRI WA MIAKA 21) MWANZO MZURI HUUU!!!!

under-21s-report--chelsea-2-man-city-1.img.png

kwa hiyo baada ya maelezo yote haya unataka tukuone unajua kuchambua kuliko mwezi wa nane ?
 
Mkuu kumbe umeliona hilo!we mjanja,ngoja kuna thread nilianzia kuhusu chelsea kama timu yangu,huyo huyo Agost akaja kuniquote kule kwamba kwanini usingeweka kwenye ile thread letu la chelsea ije juu,kumbe anapost au kuponda watu ili thread ili ije juu,umehakikisha alivyoshindwa kujibu hoja zangu na kujibu bla blaa tu,kumbe anasogeza thread juu kisa kwa unafki anaandika we unataka tuendelea page zifike....,halafu anasema nani hanijui mi chelsea watakuja kuonyesha,na kweli mashabiki mandazi bila kusoma hoja lazima wamsifie.........udhaifu gani wa hoja ya Agost,mi kusema Drogba anajua kukwepa Defenders akasema sijui na simfuatiliiaji wa chelsea(hanijui hata),akasema Vialli ni zaidi ya drogba,nikaleta clip ya video ya Vialli na kumwambia angalia jamaa anachenga mabeki ila Drogba huwa anakwepa mabeki,anakaa sehemu akasahaulika,akipata mpira madhara,na ushahidi nikaweka,jamaa akaanza kuniponda tu,na nikamwambia tena,akaenda kuchukua post yangu niliyosema Sanchez waliyomsajili Arsenal anajua kuliko Diego,akaanza kuonyesha mi arsenal,(nikamwonyeshea post yangu nikisema "nilikuwa sijamwona Diego vizuri akiwa mbali na chelsea na nimwona now anafanya vizuri''bado akawa analazimisha point mi sio chelsea.

Nikadhani huyu Agosti hanielewi,nikaweka mfano,(rudi page moja au mbili nyuma),nikasema mfano simba wakamsajili Messi,halafu Yanga wakamsajili Samata,Nikisema Simba wamefanya usajili mzuri Kumsajili Messi ambaye ni mchezaji wa dunia kuliko Yanga waliomsajili Samata,Je hapo mi ni msaliti wa Yanga kisa nimesema simba wamefanya usajili mzuri kumsajili Messi kuliko Samata? agosti 8 unafanya unafki na hata wanaokusupport wanakupumbaza kukupa kampani tu kwamba usionekane upo empty.,.

NARUDIA MFANO:Simba wamemleta Messi toka Barcelona na kumsajili,Yanga wakamleta Samata na kumsajili,Mi ambaye ni Yanga nikasema ;Daah Simba wamemleta Messi,wametisha na wamefanya usajili wa ukweli(ila mi yanga),halafu wewe ukaanza ooh,Viol mamluki hamsifii Samata,.......

Yaani kwa hiyo point we ndo unasema mi mamluki.
C.C@Belo
upotoshaji wa makusudi kabisa Viol;

ulisema hujaona mtu anayekwepa mabeki kama Drogba, ukasema kama yupo utajiwe; nikataja sasa wapi niliposema kwamba Drogba hana maana?
Au ulitaka nisema hakuna anayefanya kama Drogba? Acha ujinga Viol, ..leta comment ambayo mimin lisema kwamba Vialli anamzidi Drogba, video yako uliyoweka inaonyesha wazi kwamba the Big number 9, vialli pia alikuwa mjanja wa kukwepa mabeki maana magoli yake yalikuwa so simple.

By the way..huwezi kuwa Chelsea loyal kama unapuuza mchango wa kocha mchezaji, G.Vialli. Vialli alileta makombe makubwa Chelsea Fc, mtu anayejua mpira hawezi kujaribu kupoteza ukweli kama huo.

We should respect the legends..
-Frank Lampard.
-John Terry.
-Drogba
-Pat Nevin
-Bob Tamblin
-Makelele
-Petr Cech
-Denis Wise
-Ashley Cole
-and many others.

CHELSEA FC - FOREVER BLUE.
 
Viol anapost hoja nyepesi nyepesi sana; ndo maana member wa JF tangu 2009 lakini angalia idadi ya posti zake, maelfu kwa maelfu lakini LIKES hazifiki hata 1000!:A S-eek::A S-eek:

Tofautisha na memba wenye mchango wa maana hapa CHELSEA FC kama Ntuzu, Mentor, na wengine wengi tu hata wewe mkuu una LIKE za kutosha kuliko huyu mkongwe Viol; ambaye anakaa humu kukwaza Chelsea Fans..:angry::angry:

kwa hiyo baada ya maelezo yote haya unataka tukuone unajua kuchambua kuliko mwezi wa nane ?
 
Mkuu kumbe umeliona hilo!we mjanja,ngoja kuna thread nilianzia kuhusu chelsea kama timu yangu,huyo huyo Agost akaja kuniquote kule kwamba kwanini usingeweka kwenye ile thread letu la chelsea ije juu,kumbe anapost au kuponda watu ili thread ili ije juu,umehakikisha alivyoshindwa kujibu hoja zangu na kujibu bla blaa tu,kumbe anasogeza thread juu kisa kwa unafki anaandika we unataka tuendelea page zifike....,halafu anasema nani hanijui mi chelsea watakuja kuonyesha,na kweli mashabiki mandazi bila kusoma hoja lazima wamsifie.........udhaifu gani wa hoja ya Agost,mi kusema Drogba anajua kukwepa Defenders akasema sijui na simfuatiliiaji wa chelsea(hanijui hata),akasema Vialli ni zaidi ya drogba,nikaleta clip ya video ya Vialli na kumwambia angalia jamaa anachenga mabeki ila Drogba huwa anakwepa mabeki,anakaa sehemu akasahaulika,akipata mpira madhara,na ushahidi nikaweka,jamaa akaanza kuniponda tu,na nikamwambia tena,akaenda kuchukua post yangu niliyosema Sanchez waliyomsajili Arsenal anajua kuliko Diego,akaanza kuonyesha mi arsenal,(nikamwonyeshea post yangu nikisema "nilikuwa sijamwona Diego vizuri akiwa mbali na chelsea na nimwona now anafanya vizuri''bado akawa analazimisha point mi sio chelsea.

Nikadhani huyu Agosti hanielewi,nikaweka mfano,(rudi page moja au mbili nyuma),nikasema mfano simba wakamsajili Messi,halafu Yanga wakamsajili Samata,Nikisema Simba wamefanya usajili mzuri Kumsajili Messi ambaye ni mchezaji wa dunia kuliko Yanga waliomsajili Samata,Je hapo mi ni msaliti wa Yanga kisa nimesema simba wamefanya usajili mzuri kumsajili Messi kuliko Samata? agosti 8 unafanya unafki na hata wanaokusupport wanakupumbaza kukupa kampani tu kwamba usionekane upo empty.,.

NARUDIA MFANO:Simba wamemleta Messi toka Barcelona na kumsajili,Yanga wakamleta Samata na kumsajili,Mi ambaye ni Yanga nikasema ;Daah Simba wamemleta Messi,wametisha na wamefanya usajili wa ukweli(ila mi yanga),halafu wewe ukaanza ooh,Viol mamluki hamsifii Samata,.......

Yaani kwa hiyo point we ndo unasema mi mamluki.
C.C@Belo

nenda sasa kaendeleze hiyo thread yako ..:A S-eek:
 
1408131006035_wps_2_Chelsea_midfielder_Oscar_.jpg

Kama nilivyosema jana; OSCAR EMBOABA amerithi namba ya SUPER FRANK LAMPARD.

Hii namba imewahi kuvaliwa na Gus Poyet akiwa Chelsea Fc.

Namba ya Franco Zola # 25 hiyo imepumzishwa na haitumiki tangu Zola alipoondoka Chelsea Fc mwaka 2003.

Watu wengi loyal fans wa Chelsea walitaka sana namba ya Frank Lampard, # 8, ipumzishwe..lakini Uongozi umeona ni vema akapewa kijana Oscar; na Simba Mzee amerudishiwa jezi yake # 11.

Pamoja sana CHELSEA FC ..
 
Mimi AGOSTI 8 sijawahi hata dakika moja kumdharau SIMBA MZEE labda kama mkuu Viol ana lake jambo..someni wenyewe ..

Hakuna mtu wa Chelsea Fc anayeweza kumdharau Droba, ndo maana hata juzi wakati wachezaji wanatambulishwa kabla ya mechi vs Real Sociedad "Simba Mzee" alishangiliwa sana...anapendwa na kukubalika.

Lakini hata siku moja usithubutu kudharau mchango wa watu wafuatao hapa CHELSEA FC, utakuwa mamluki:
1.Frank Lampard,
2. John Terry
3.Didier Drogba
4.Petr Cech
5.Makelele
6.Franco Zola # 25.
7.Gianluca Vialli
8.Jimmy Floyd Hasselbank
9.Ruud Gullit
10.Bobby Tumblin
11.Roberto Di Matteo # 16.

Hao watu wameacha alama zao CHELSEA FC.
 
maoni yake mkuu Viol..

Wakuu Drogba anajua sana,huwa ni mjanja kukwepa mabeki na kujiweka kwenye position anayojua yeye,kwenye wachezaji wengi sijawahi kuona mchezaji mkwepa mabeki mpaka anasahaulika kama drogba,kama kuna mkwepaji wa mabeki zaidi ya drogba hebu niambie ni nani?
 
hapa alikiri kwamba hajamwona Simba Mzee akicheza mechi yoyote tangu arudi. tulikuwa tunaongea vizuri tu.

LAKINI SASA NAOMBA NISEME HIVI; kwa manufaa ya mpira na manufaa ya CHELSEA FC THREAD. mimi kama Agosti 8, nafunga mjadala na huyu mkuu Viol, kama kuna hoja nyingine aseme. Kila mtu maoni yake; but kama sote ni Chelsea Fc basi tusongeshe mbele 'thread' yetu kwa pamoja. KAMA YEYE mkuu Viol anataka endeleze hoja zake za kusema 'agosti mnafiki' n.k. acha yeye aendelee; watu wazima watapima nani anajua na nani hajui..

ONE LOVE CHELSEA..
COME ONE CHELSEA...

VICTORY IS OUR AIM.
FOOTBALL IS THE GAME..
CHELSEA IS THE NAME...:first::first::first::first:

CHELSEA FC BLUE FOREVER.

wa zamani,wa sasa bad sijaona game zake za chelsea ndo nasubiri nimwone
 
Kalale huna hoja na hiyo avatar yako umevaa chupi,mwanaume anayejielewa hawezi weka avatar akiwa na chupi tu kama si wale wenye injini nyuma yaani Volkswagen,kwahiyo rudi kujibu hoja ukiwa unajielewa.

we unaonesha ni jinsi gani ulivyokua kilaza, ila sikulaumu utakua una ukilaza wa kurithi .......... toa hoja achana na mambo y avatar maana hayakuhusu!" ata niweke m2 amekaa uchi bado haikuhusu. au ww ndio wale wale!! mchele mchele umeona dushe limetuna kwnye chupi hapa limekuvutia.

mishabiki y arse888 bana! maandazi kweli.

Grand PA

acha unafki,unajivua gamba na kujirudisha gamba,weka kwanza avatar ya heshima si hiyo umevaa chupi lazima nikuone hujielewi
 
we unaonesha ni jinsi gani ulivyokua kilaza, ila sikulaumu utakua una ukilaza wa kurithi .......... toa hoja achana na mambo y avatar maana hayakuhusu!" ata niweke m2 amekaa uchi bado haikuhusu. au ww ndio wale wale!! mchele mchele umeona dushe limetuna kwnye chupi hapa limekuvutia.

mishabiki y arse888 bana! maandazi kweli.

Grand PA
nimetoa hoja,ungekuwa unajibu hoja ungesoma tangia mwanzo mjadala na hoja yenyewe ilikuwa inaendaje sio unadandia tu,hahahahhaa bwaaaaah
 
hahahahhaa jibu kwa hoja bila hivyo nitakuona empty kichwani,bwaaaaaah

kwa hiyo wewe una kitu kichwani sababu ya kuaandika upepo mwingi...kama na wewe una kitu kichwani kuna vichwa vinahifadhi "vitu" vya ajabu sana
 
Mkuu agosti 8,naona nyumba yako mwenyew inaungua leo..hahahaaaa nmecheka sana umezoea kuja kwenye jukwaa letu la liver na kutuvuruga kumbe uku nyumbani haukubaliki.?karibu kwetu mkuu agosti 8 tupige stori.
 
Last edited by a moderator:
Mimi AGOSTI 8 sijawahi hata dakika moja kumdharau SIMBA MZEE labda kama mkuu Viol ana lake jambo..someni wenyewe ..

Mkuu agosti 8 mara nyingi hufurahi sn pale napokuona unasimamia hoja na itikadi za msingi za chelsea fc! Chelsea fc ni timu ambayo tuko na SPECIAL SPIRIT ambayo hii inabeba maana zote za namna ya kuielezea chelsea fc!
Viol ni ndugu yetu ktk hii familia ya chelsea lkn tunapaswa kumuweka sawa ili aweze kwenda sanjari na kanuni na itikadi na spirit ya timu yetu!

Napenda niseme kitu kimoja kidogo!

Kumlinganisha D Costa na Sanchez wa Arsenal ni upuuzi! Costa ni mashine ingine hiyo!! Mwaka jana Ozil alitua kwa jirani zetu na ikawa kelele nyingi na mimi hapa nilikua nawambia majirani zetu kua Ozil hamna kitu! Mpk pale yalipowakuta wakakubali na kumuona galasa! Ni kawaida ya jirani zetu wakipata kifaa basi inakua ndio gumzo na mwisho wa siku wanakua kimya!

Ukitaka kujua shughuli ya SIMBA MZEE au Drogba waulize mabeki hawa hapa watakuambia vzr!

Skertl wa Liverpool
Agger
Vidic
Rio Fedinand
Poyor
Raphael Marquez
Na mabeki wa kati wa arsenal wa wakati huo!

Chelsea tuko na kocha mwenye special spirit
Timu yenye special spirit
Mashabiki wenye special spirit
Na mmiliki wenye special spirit

Dematteo alitwaa CL Cup kwa special spirit

Msimu huu jirani zetu na timu zote za top ,10 watakoma!

#ktbffh
 
Last edited by a moderator:
nimetoa hoja,ungekuwa unajibu hoja ungesoma tangia mwanzo mjadala na hoja yenyewe ilikuwa inaendaje sio unadandia tu,hahahahhaa bwaaaaah

hahahaha........... umetoka nje ya hoja kw kuzungumzia avatar ndio mana nikakwambia tetea hoja yako, Costa siyo wa kulinganishwa na Sanchez!!".utakua humtendei haki Costa. Wakulinganishwa nae labda Suarez au ibrahimovic.

Na huyo Walcot wako unaemsifia! ni galasa tu, mchezaji gani mimbio tu. anakimbia na mpira mpaka nje ya uwanja. Haangalii akina Bale wana mbio na akili. Walcot kw kikosi cha chelsea hata kikosi ch pili hapati namba!

Grand PA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom