Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kuna mashabiki mandazi wa Chelsea humu,yaani hata kuzungumzia ubora wa mchezaji anayechezea timu nyingine wanaona we msaliti,unafki unasumbua sana,siku huyo mchezaji chelsea wakimwuza au akajiondokea wanajifanya wanaponda.

Nikisema Sanchez anajua kuliko Diego haimaanishi mi mshabiki wa Arsenal,au nikisema Arsenal wamefanya usajili mzuri kumsajili Sanchez kuliko Chelsea kumsajili Diego haina maana mi Arsenal.

we nawe kweli mamluki kama anavyosema mdau. huyo Sanchez hawez kumfikia Diego wala hata kumkaribia kwa ubora. Hao Arsenal wako sijaona walichosajili kumshinda chelsea.
Hii ya kukubali wachezaji wa timu pinzani ipo lakini siyo huyo Sanchez kw Costa atasubiri sana.Arsenal wangekua wamemsajili Suarez kweli ningesema wamejitahidi ...........

Grand PA
 
CHELSEA FC - FOREVER BLUE.

Watu wa mpira; tarehe 18 jumatatu tunacheza mechi ya kwanza kwenye PREMIER LEAGUE 2014/2015.

Tunacheza na vijana wa BARNSLEY FC...

timu hii ilianzishwa mwaka 1887 ikijulikana kwa jina la BARNSLEY ST.PETERS.


Katika rekodi za CHELSEA vs BARNSLEY tumecheza nao jumla ya mechi 32.

Barnsley imeshinda 11.
Chelsea Fc tumeshinda 16.
Drawa mechi 5.


Mara ya mwisho tumecheza na Barnsley kwenye FA Cup msimu wa 2007-2008. tulipoteza mechi ile kwa kufungwa 1-0.
aaaabarnsly_682x400_449402a.jpg
 
talk football.

your total number of posts 11,367+ but only 699+367 likes,


let's talk football; if you like Sanchez support him, if you like CHELSEA FC support the CHELSEA players.

my last words to you...:A S-eek:


Kupost sana picha ya wachezaji wakifunga magoli au kuwahi kuweka updates si kwamba we ni mzalendo!
either
1.Mzalendo au

2.Kiherehere
 
Mkuu Blac kid, kwanza karibu sana..nyumbani kwenu LFC salama?
Mkuu Viol anasema hoja zake na unaweza kumpima kwa hoja zake; unajua hapa JF kila mtu ana kiwango chake cha hoja na uelewa wake kulingana na alivyo mwenyewe..

:wacko:


Wakuu Viol na agosti 8 kama shida yenu ni kufikisha pages 1000 emu ingieni pm mnitumie elf10 ya vocha kesho niwafanyie hiyo kazi yaani ndani ya nusu saa tu pages buku na usheee nawajazia.
 
Kuna mashabiki mandazi wa Chelsea humu,yaani hata kuzungumzia ubora wa mchezaji anayechezea timu nyingine wanaona we msaliti,unafki unasumbua sana,siku huyo mchezaji chelsea wakimwuza au akajiondokea wanajifanya wanaponda.

Nikisema Sanchez anajua kuliko Diego haimaanishi mi mshabiki wa Arsenal,au nikisema Arsenal wamefanya usajili mzuri kumsajili Sanchez kuliko Chelsea kumsajili Diego haina maana mi Arsenal.

Mfano Simba wamsajili Messi,halafu Yanga wakamsajili Samata,kisha nikitoa hoja kuwa Messi waliomnunua Simba ni bora kuliko Samata aliyenunuliwa na Yanga,halafu unaleta bla blaaa wakati unajua Messi ni mchezaji bora wa dunia.
agosti 8 jipange umeniangusha sana upo low sana kwenye hili.

jambo hili si kweli hata kidogo; tayari hadi sasa DIEGO amefanya mambo ambayo SANCHEZ hajafanya; lazima tupingane na tushindane kwa hoja.

Hoja zako lazima zipimwe na zishindanishwe na wengine .. uwe tayari kukabili changamoto mkuu Viol..
this is FOOTBALL..:A S-eek:
 
Kupost sana picha ya wachezaji wakifunga magoli au kuwahi kuweka updates si kwamba we ni mzalendo!
either
1.Mzalendo au

2.Kiherehere

hapo kwenye hoja yako # 2, jiheshimu plz.:A S-eek:
 
Hilo swali ndo ilikupasa ujiulize wewe,umeshindwa majibu niliyokuuliza,ukaanza kuniattack ukaacha hoja,umeona sana kero mi kusema Drogba alikuwa mkwepaji mzuri wa defenders hakabiki,ukasema Vialli,nikaweka na link kwamba viali alikuwa anachenga ndo anafunga na si kama drogba ambaye huwa madifender wanamsahau mara anafanya madhara,nikaweka na link yenye ushahidi baadala ya wewe kujibu kwa ushahidi na link ukaanza bla bla oooh hata diego costa ulisema hajui Sanchez ni bora,nikakuambia,Soma post langu niliyokanusha kuhusu kumponda Diego na nikasema kwamba Diego anaju na nilikuwa simfahamu vizuri ila kwenye assist na ufangaje wa chelsea nimemkubali but nilichukia wakati analetwa maana nilikuwa sijamwona vizuri zaidi ya world cup na Atlentico,ukaanza kuleta post nilizowahi kuweka nayo haionyeshi kama kuna ushahidi,na nikakuambia mifano kibao,chelsea ikimsajili samata na nikauliza kwanini wamsajili mi ni msaliti?au Chelsea imemsajili Diego na timu nyinginge wakamsajili Messi,je ni kosa mi kusema hiyo timu imemsajili mchezaji mzuri kisa tu mi chelsea nisiseme hivo?

agosti 8 huna hoja we ni mnafki sana na hupendi challange,vua huo ushabiki wako kwenye chelsea hamia kwingine.
upo low sana kushindwa kujibu maswali kama hayo kisha unaanza kuniponda,jipange upya,hata ungesema mi si chelsea mi bado ni chelsia,maana huwezi kusema mi si chelsea wakati hujui hata kujibu hoja,acha unafki.Tushabikie chelsea

wee usiyejitambua; 'plastic' fan unifundishe mie mpira?

 
Pole mkuu Grand PA, walitishika kwa saababu ya avatar yako? ha ahaha
karibu sana nyumbani mkuu. CHELSEA FC - FOREVER BLUE.


ndio mm mkuu, nilijivua gamba. huko kwnye majukwaa ya watu ban ziliniandama sana. ndio nimetoka kifungoni jana.

Grand PA
 
Grand PA:A S thumbs_up:

we nawe kweli mamluki kama anavyosema mdau. huyo Sanchez hawez kumfikia Diego wala hata kumkaribia kwa ubora. Hao Arsenal wako sijaona walichosajili kumshinda chelsea.
Hii ya kukubali wachezaji wa timu pinzani ipo lakini siyo huyo Sanchez kw Costa atasubiri sana.Arsenal wangekua wamemsajili Suarez kweli ningesema wamejitahidi ...........

Grand PA
 
CHELSEA FC POPULAR FORMATION THIS SEASON.

4-2-3-1.

Wadau wa mpira na wadau wa CHELSEA FC. karibuni tujadili kuhusu huu mfumo wa 4-2-3-1 ambao kwa sasa unatumia na timu nyingi sana na hata CHELSEA tunautumia.


NIANZE KWA KUTOA UFAFANUZI MFUPI.

Mabeki 4; mfano: Cesar Azpilicueta, Garry Cahill, John Terry na Filipe Luis.

Viungo wa kati[Double "six" au Double pivot]; mfano Cesc Fabregas na Nemanja Matic.

Vingo wa Juu[Offensive Midfielders]: mfano Mohamed Salah, Oscar na Hazard.

Mshambuliaji[striker]; mfano Diego Costa..


Kwa sababu misimu ya 2004-2006 CHELSEA FC ilitumia mfumo wa 4-3-3 kwa mafanikio makubwa.

Karibuni tuongee mpira.
 
Diego Costa # 19.

"Joining was an easy decision for me, we have some of the best players in the world and the best manager"
"We have an outstanding squad, and if we all stick together there's no reason why we can't reach the final stages and fight for every trophy avaliable"
"I'm a CF and want to learn from the best; I'd watch Drogba play and think he was incredible, one of the best in the world"
 
J.CARRAGHER # 23 LIVERPOOL LEGEND COMMENTS ON CHELSEA FC.

Liverpool legend Carragher believes Chelsea's summer signings means they are the favourites to reclaim their first league title since 2010, when Mourinho's successor at Madrid, Carlo Ancelotti, lifted the trophy with the Blues.

"They won nothing last season but to go that close in the Champions League and the league without a recognised striker scoring regularly was remarkable," Carragher told the Daily Mail.

He added Mourinho's decisiveness in the transfer market signing Diego Costa, Cesc Fabregas and Filipe Luis were the hallmarks of a champion.

Arsenal, however, still have work to do before they can seriously be touted as title contenders. Carragher questioned goalkeeper Wojciech Szczesny as well as Arsenal's key players, including Mikel Arteta and striker Olivier Giroud.

"The spine comes up short. They spent more time at the top than any other team last season but still came up short,"
 
maneno ya jamie redknapp[mtu wa liverpool huyu] kuhusu CHELSEA FC kuwa timu imara msimu unaoanza kesho.

"Chelsea are my team to beat this year. They should have won it last year. Jose Mourinho made a lot of excuses about them not being ready. They were, they just blew it. They lost a lot of poor games; they lost to Sunderland, Crystal Palace and Aston Villa – matches where they should be picking up points. Now they've added Diego Costa and Cesc Fabregas, two players who will improve them. They needed a goal-scoring striker last season and Costa will provide that, while Fabregas will chip in as well, and provide plenty of assists. Chelsea have no excuses now, they have the squad to win the title. And I think they will."
 
Endelea mkuu maana jukwaa lilikuwa kimya sana; angalau tufike pages 1000 kabla ya gemu yetu ya Jumatatu au vipi..

Just keep on posting anything.. keep on saying the JUDGES WILL COME AND HAVE THEIR SAY.


CHELSEA FC - BLUE FOREVER.

Kwa hiyo kumbe target yako ni kuongeza post kwenye jukwaa la Chelsea ,hapa Jf post zinaongezwa na mashabiki wa timu pinzani.Waalike kina Mbu Wacha1 rubaman Pazi MosDef boss Nzi RRONDO mfarisayo BAK watakusaidia
 
Last edited by a moderator:
Belo salama mkuu? hilo si lengo la CHELSEA FC THREAD; tulikuwa tunawekana sana na mkuu Viol; si kwamba lengo ni hilo. Hata pale kwenu pia huwa mnwekana sawa au vipi?

Karibu mkuu umepotea sana au uko bize na Van Gaal?


Kwa hiyo kumbe target yako ni kuongeza post kwenye jukwaa la Chelsea ,hapa Jf post zinaongezwa na mashabiki wa timu pinzani.Waalike kina Mbu Wacha1 rubaman Pazi MosDef boss Nzi RRONDO mfarisayo BAK watakusaidia
 
Kupost sana picha ya wachezaji wakifunga magoli au kuwahi kuweka updates si kwamba we ni mzalendo!
either
1.Mzalendo au

2.Kiherehere

Mkuu Viol, itakuwa wewe huelewi tunapoweka updates au unapopata kitu na kukiweka haraka sana ni kutaka ku-share vitu na familia yetu (#teamChelsea family).

Sasa wewe unapokuja na kusema si uzalendo au ni kiherehere unakuwa umeongea bila hata kufikiria maana hakuna mtu anataka sifa hapa bali ni kupeana habari kuhusu timu yetu.

Mfano wewe unapopata kitu au taarifa nzuri hata mbaya na kuwajulisha familia yako nyumbani, je hicho ni kiherehere au ?
 
mkuu viol, itakuwa wewe huelewi tunapoweka updates au unapopata kitu na kukiweka haraka sana ni kutaka ku-share vitu na familia yetu (#teamchelsea family).

sasa wewe unapokuja na kusema si uzalendo au ni kiherehere unakuwa umeongea bila hata kufikiria maana hakuna mtu anataka sifa hapa bali ni kupeana habari kuhusu timu yetu.

mfano wewe unapopata kitu au taarifa nzuri hata mbaya na kuwajulisha familia yako nyumbani, je hicho ni kiherehere au ?

chelsea fc - forever blue
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom