Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwa hiyo kumbe target yako ni kuongeza post kwenye jukwaa la Chelsea ,hapa Jf post zinaongezwa na mashabiki wa timu pinzani.Waalike kina Mbu Wacha1 rubaman Pazi MosDef boss Nzi RRONDO mfarisayo BAK watakusaidia

....wewe Belo, umesahau zama zile za ku post jukwaa hili halafu baada ya match jf inaingia 'maintenance' ee?
basi wewe endelea kuwatafuta undani vigogo wa jukwaa hili, hahahha....mimi nitaendelea kuwarushia mawe kwa mbaali,
acha kina Peasant, Ntuzu, na Mentor wawakilishe.....
 
Last edited by a moderator:
Mdudu Mbu salama kaka?

naona mnafurahia maisha sasa eeh? ngoja ligi ianze jirani..:nerd:

....wewe Belo, umesahau zama zile za ku post jukwaa hili halafu baada ya match jf inaingia 'maintenance' ee?
basi wewe endelea kuwatafuta undani vigogo wa jukwaa hili, hahahha....mimi nitaendelea kuwarushia mawe kwa mbaali,
acha kina Peasant, Ntuzu, na Mentor wawakilishe.....
 
abwage machanga kisa nini mdudu wa dengue?
Wenger alifunga 8-2 bado yuko kazini..
Wenger alifungwa 6-3 na man city mwaka jana bado yuko kazini,
Wenger kafungwa 5-1 na LFC msimu ulopita bado yuko kazini.
Wenger tumemfunga 6-0 msimu ulopita bado yuko kazini..

na tena bado mnamwita LE PROFESERI.

ha haaha sawa mkuu Mbu. karibu lakini..:wacko:

.....hahahaha, Nane-nane kama kawa!
Poulis kabwaga manyanga, bado Mourinho sasa!
 
abwage machanga kisa nini mdudu wa dengue?
Wenger alifunga 8-2 bado yuko kazini..
Wenger alifungwa 6-3 na man city mwaka jana bado yuko kazini,
Wenger kafungwa 5-1 na LFC msimu ulopita bado yuko kazini.
Wenger tumemfunga 6-0 msimu ulopita bado yuko kazini..

na tena bado mnamwita LE PROFESERI.

ha haaha sawa mkuu Mbu. karibu lakini..:wacko:

....hahahha, haya bana usijefuta hii post tu siku chache zijazo, maana panapo uzima mwezi
May haupo mbali, Abramovic si mnamjua?!.....
Yetu macho.
 
kaka tukiweka utani pembeni; kikosi cha msimu cha Chelsea ni kiboko tena moto wa kuotea mbaliiiiiiiiiiiiiiii.

pale kati Fabregas na Matic ni bonge la ukuta aisee.

umetazama mechi zetu za Pre-season mbu? au ulikuwa bize kubeba sahani?

....hahaha, kama Pre-season ndio habari ya mjini Mancester United keshatwaa ubingwa wa dunia kwa kuifunga
Real Madrid na Liverpool Marekani!
 
e777d897-0657-491b-bd0b-6bab2713b5f0.jpg
 
HABARI MPYA!!!!

Mabadiliko ya namba za jezi kwa wachezaji:

Didier Drogba alipewa # 15 sasa amerudishiwa namba yake # 11.
Emboaba Oscar alikuwa na # 11 sasa atavaa namba ya Legend Super Frank, # 8.
Victor Moses alivaa # 13 kabla hajaenda kwa mkopa LFC, sasa atavaa 18.
Thibaut Courtois atachukua namba ya Moses, yaani atakuwa anavaa # 13.
 
MAZOEZINI LEO:

1408112142352_wps_6_Chelsea_FC_via_Press_Asso.jpg

MOURINHO

1408112159025_wps_17_Chelsea_FC_via_Press_Asso.jpg

HUYU...

1408112162890_wps_18_Chelsea_FC_via_Press_Asso.jpg

AU HUYU?????????

1408112167721_wps_19_Chelsea_FC_via_Press_Asso.jpg

KAMA NAMWONA MOURINHO AKIWA NA KIBOKO...

1408112170554_wps_20_Chelsea_FC_via_Press_Asso.jpg

BATTLE HADI MAZOEZINI...

1408112176941_wps_21_Chelsea_FC_via_Press_Asso.jpg

MPAKA KIELEWEKE...

1408112179960_wps_22_Chelsea_FC_via_Press_Asso.jpg

PERFECT DEFENCE

1408115477749_wps_3_Chelsea_FC_via_Press_Asso.jpg

MWISHO WA MAZOEZI

HABARI MPYA!!!!

Mabadiliko ya namba za jezi kwa wachezaji:

Didier Drogba alipewa # 15 sasa amerudishiwa namba yake # 11.
Emboaba Oscar alikuwa na # 11 sasa atavaa namba ya Legend Super Frank, # 8.
Victor Moses alivaa # 13 kabla hajaenda kwa mkopa LFC, sasa atavaa 18.
Thibaut Courtois atachukua namba ya Moses, yaani atakuwa anavaa # 13.

Nilikuwa napenda sana Oscar alivyokuwa anavaa namba 11, ila poa tu hata 8 sio mbaya.
 
Last edited by a moderator:
Kweli kabisa..mechi za Arsenal na Man utd tunamweka Drogba hahahahahahahahaha

Ona huyu sasa!!

Unajua katika mechi ambazo Didier kacheza dhidi ya Man Utd akiwa
Chel$ki$, amefunga goli ngapi jumla? Didier hawezi kumsahau Vidic kamwe; na ujanja wake wote Didier amefunga magoli 3 (1 kwenye FA Cup Final ambayo Chel$ki$ walishinda 1-0; lingine la offside pale OT; la tatu nimesahau) dhidi ya United akiwa mchezaji wa Chel$ki$.

Huyo aliwaonea Goons na Loserfools; nafikiri amewapachika Goons goli 13, na Loserfools goli 9.
 
Mkuu Viol, itakuwa wewe huelewi tunapoweka updates au unapopata kitu na kukiweka haraka sana ni kutaka ku-share vitu na familia yetu (#teamChelsea family).

Sasa wewe unapokuja na kusema si uzalendo au ni kiherehere unakuwa umeongea bila hata kufikiria maana hakuna mtu anataka sifa hapa bali ni kupeana habari kuhusu timu yetu.
Mkuu kunguru mjanja hiyo feelings za kuudate fasta naielewa ila bado hujui nimemjibu huyo jamaa kwenye situation gani,na nimemjibu yeye na si members wengine

Mfano wewe unapopata kitu au taarifa nzuri hata mbaya na kuwajulisha familia yako nyumbani, je hicho ni kiherehere au ?
Mkuu kunguru mjanja hiyo feelings za kuupdate fasta naielewa ila bado hujui nimemjibu huyo jamaa kwenye situation gani,na nimemjibu yeye na si members wengine
Pamoja mkuu,ningekuomba refer tumepishana wapi na huyo mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom