Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

hahahaaaa Mn u noma sana kwa friend mech ni wazuri sana....leo ingekuwa friend mech wangepiga mtu vibaya sana leo
 
Majanga mapema mapema bora Moyes tulufurahia angalau mwanzoni


wamesajiri.kocha wakasahau.mabeki
 
Huwezi kukubalika na kila mtu mkuu wangu Jaslaws; ni mambo ya kawaida katika maisha; kuna watu watajaribu kukushusha kwa sababu tayari wao wako chini, na kuna watu watajaribu kuziba jua kwa ungo; lakini maisha yanaendelea maana hata weewe ingawa ni LFC unatambua mchango wangu..waulize akina Mosdef na wengine wa LFC wanajua mie mtu wa mpira na napenda CFC kupindukia.

back to the topic,

CHELSEA FC - FOREVER BLUE.



Mkuu agosti 8,naona nyumba yako mwenyew inaungua leo..hahahaaaa nmecheka sana umezoea kuja kwenye jukwaa letu la liver na kutuvuruga kumbe uku nyumbani haukubaliki.?karibu kwetu mkuu agosti 8 tupige stori.
 
moses-moves-to-stoke.img.png



amepelekwa kwa mkopo STOKE CITY kwa msimu mmoja.


 
Mkuu agosti 8 mara nyingi hufurahi sn pale napokuona unasimamia hoja na itikadi za msingi za chelsea fc! Chelsea fc ni timu ambayo tuko na SPECIAL SPIRIT ambayo hii inabeba maana zote za namna ya kuielezea chelsea fc!
Viol ni ndugu yetu ktk hii familia ya chelsea lkn tunapaswa kumuweka sawa ili aweze kwenda sanjari na kanuni na itikadi na spirit ya timu yetu!

Napenda niseme kitu kimoja kidogo!

Kumlinganisha D Costa na Sanchez wa Arsenal ni upuuzi! Costa ni mashine ingine hiyo!! Mwaka jana Ozil alitua kwa jirani zetu na ikawa kelele nyingi na mimi hapa nilikua nawambia majirani zetu kua Ozil hamna kitu! Mpk pale yalipowakuta wakakubali na kumuona galasa! Ni kawaida ya jirani zetu wakipata kifaa basi inakua ndio gumzo na mwisho wa siku wanakua kimya!

Ukitaka kujua shughuli ya SIMBA MZEE au Drogba waulize mabeki hawa hapa watakuambia vzr!

Skertl wa Liverpool
Agger
Vidic
Rio Fedinand
Poyor
Raphael Marquez
Na mabeki wa kati wa arsenal wa wakati huo!

Chelsea tuko na kocha mwenye special spirit
Timu yenye special spirit
Mashabiki wenye special spirit
Na mmiliki wenye special spirit

Dematteo alitwaa CL Cup kwa special spirit

Msimu huu jirani zetu na timu zote za top ,10 watakoma!

#ktbffh

Ntuzu legend...
 
hahahaha........... umetoka nje ya hoja kw kuzungumzia avatar ndio mana nikakwambia tetea hoja yako, Costa siyo wa kulinganishwa na Sanchez!!".utakua humtendei haki Costa. Wakulinganishwa nae labda Suarez au ibrahimovic.

Na huyo Walcot wako unaemsifia! ni galasa tu, mchezaji gani mimbio tu. anakimbia na mpira mpaka nje ya uwanja. Haangalii akina Bale wana mbio na akili. Walcot kw kikosi cha chelsea hata kikosi ch pili hapati namba!

Grand PA

Nakubaliana nawe Grand PA..

kwa sababu Diego Costa anacheza namba 9.
Sanchez anacheza pembeni au nyuma ya mshambuliaji; hata kwao Chile. kule Barca walikuwa wanamtumia kama 9 akashindwa kung'aa..

kweli kabisa kama Sanchez anajua ashindanishwe na Eden Hazard ndo wanacheza majukumu yanayofanana.

hapo ndo utajua kwmba CHELSEA FC imekamilika sana msimu huu. Kila mchezaji kaiva.
 
‘You play 60 matches a season and you cannot play with the same players every time,' said the Blues boss. ‘In the first three weeks you have one match per week but after that the cups start, the Champions League, internationals, so you have to rotate players.
‘Everybody will have a chance, nobody will feel as though they are first choice or second choice. For example, in midfield we have Mikel, Matic, Ramires, Fabregas and Van Ginkel, so everybody will play and will feel useful, important.
‘On the field we have a very good balance, even with the Under-21s. For example, (Andreas) Christensen isn't selected for Monday so he played for the Under-21s against Manchester City, they will have competition even when they are not selected by me.'
The departures of Frank Lampard, Ashley Cole and David Luiz since the end of last season have taken some big personalities away. Mourinho is confident our new signings can drive the team on, but believes it's their abilities as players which will have the biggest, most positive, impact.
‘They are players with experience, a certain kind of character,' he said, ‘but what do I prefer, Fabregas's character or his quality as a player? His quality as a player.
What do I prefer in Diego Costa, his ambition in every game? No, his quality as a player. He doesn't lose balls, he receives the ball with his back to the opponent and relieves the pressure, technically he's good. We went by the football profile but we could also have a personality profile which improves the team.'

- Maneno ya JOSE MOURINHO.

 
Mourinho, who insists Chelsea are genuine title contenders this season, said: "Cesc is the kind of player that we didn't have.

"In midfield, we had a box to box player, a runner, a stable player. We never had this kind of football brain, so that has improved."

Mourinho actually believes Chelsea are a better team in EVERY department after also bringing in strikers Diego Costa and Didier Drogba and defender Filipe Luis this summer.
He said: "Diego has the power, mobility and technical quality that improves the team.
"Didier is still a player with important qualities and he has a special feeling in the group to persuade people to work hard.
"We have an improvement in the goalkeeper group. We have in defence also because we've got Kurt Zouma and Filipe and that gives us balance.

"The club did a fantastic job to get the funds to attack these targets. The players that the club sold was unbelievable work and numbers that allowed us to buy players and make the team better and at the same time comply with Financial Fair Play."

MANENO YA JOSE MOURINHO.
 
Hata mie naamini hivyo; tusubiri tuone DIEGO THE MONSTER anakavyoanza mambo yake.
yaani naona kama tutawapiga 5..ha haha Hazard, Fabregas, Oscar, Mo Salah, Willian, Schurrle.. leo hii tena ukizingatia wapinzani wameshacheza ...watashituka na kuweweseka kesho asubuhi.

CHELSEA FC - FOREVER BLUE


leo dk 45 za kwa tatu bila....Diego atapiga hatrick ya kwa nza kw Epl
 
Under 18 Report: Chelsea 4 -3 Southampton

under-18s-report--chelsea-4-southampton-3.img.png



1408200071874.jpg



1408200188869.jpg



Chelsea: Bradley Collins; Fikayo Tomori (Josh Grant 46), George Brady, Jake Clarke-Salter (c), Jay Dasilva; Ruben Sammut, Kasey Palmer (Mukhar Ali 63), Isaac Christie-Davies (Izzy Brown 58); Tammy Abraham, Dominic Solanke, Charly Musonda



Subs: Jared Thompson, Kyle Scott


Scorers: Abraham (pen) 25, 83; Palmer 49; Grant 87




Southampton: Harry Isted, Richard Bakary, Ollie Cook, Kyle Clinton, Josh Debayo, Armani Little (c), Chris Regis, Callum Slattery (Alfie Jones 56), Josh Sims, Dan Demkiv (Harley Willard 60), Marcus Barnes (Mark Irvine 71)


Scorers: Barnes 10, (pen) 15; Sims 58

 
UNDER-21 REPORT: CHELSEA 2 - 1 MANCHESTER CITY

under-21s-report--chelsea-2-man-city-1.img.png



Chelsea Mitchell Beeney; Ola Aina, Nathaniel Chalobah, Andreas Christensen, Todd Kane; Lewis Baker (c), Charlie Colkett (Charly Musonda 55), Ruben Loftus-Cheek; Alex Kiwomya, Patrick Bamford (Dominic Solanke 66), Jeremie Boga

Unused subs Bradley Collins, Fankaty Dabo, Jordan Houghton

Scorers Maffeo o.g. 77, Musonda 90+2

Booked Kane





Man City: Angus Gunn, Mathias Bossaerts, Angel Tasende, Pablo Maffeo, Shay Facey, George Glendon (c), Sinan Bytyqi, Seko Fofana, Thierry Ambrose (Jordy Hiwula 61), Oliver Ntcham (James Horsfield 64), Devante Cole

Unused subs: Ian Lawlor, Jack Byrne, Jose Pozo

Scorer: Maffeo 3

Booked Ntcham, Facey

Sent off Facey

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom