Uwongo mwingine..yeye kama kocha yoyote yule duniani..unafanya kazi popote kazi yake kufundisha.
Hii ni mara ya pili anafundisha Chelsea Fc,
Wewe kutompenda JM hakunifanyi niache kusapoti Chelsea Fc ..huo ni mtazamo wako RRONDO, mzee wa Atletico, PSG, Galatasaray, etc..huna timu maalum kelele nyingiii.
Hapo kwa Germany naomba kutofautiana, Ujerumani hii ya Jog Leow haichezi counter attacking football, kwa maoni yangu wao ndio wanacheza total football
wala SIMCHUKII MOURINHO....akivurunda nasema,akipatia nasema siwezi kubishana na ukweli....ila wewe Mourinho kwako hakosei...alilia kweli hilo liko wazi....
José Mourinho 'cried' after being overlooked for Manchester United job | Football | theguardian.com
yaani wachezaji kama kocha wao vile.......
wala SIMCHUKII MOURINHO....akivurunda nasema,akipatia nasema siwezi kubishana na ukweli....ila wewe Mourinho kwako hakosei...alilia kweli hilo liko wazi....
José Mourinho 'cried' after being overlooked for Manchester United job | Football | theguardian.com
Huyu ndio alishindwa kumkaba Messi akala nyekundu? Del Horno au sio?
Welcome back Oriol Romeu and Marco van Ginkel
Refa alisakamwa bila sababu?
WEwe hujui kwamba Marefa wengi tu wanaharibu mechi..wao ndo wanapaswa kuitwa 'enemy of football' au hilo wewe hutambui?
niache nini sasa??!! mi nawaambia msiyopenda kusikia....wasalimie mapumzikoni
Mkuu agosti 8 nimekua nasoma michango na hoja mbali mbali za wadau lkn Huyu RRONDO Anataka kunishusha DARINI NIACHEKUPUMZIKA NA KUFIKIRIA USAJILI NIANZE KUMSHIGHULIKIA!
Huyu Jamaa Yani Sijui Ile no 7 imempa wazimu mpk anaonyesha chuki zake kwa Jose waziwazi km Jose Ndio aliehusika na kuwapa Hiyo no 7?
Michango yake haiko kisoccer iko kinazi Fulani!
Ngoja nirudi sasa kambini!
Wewe unatuambia nini ambacho sisi hatuelewi? Au unakuja kutupigia kelele na zilipendwa?
Vp Mkuu, Jadili soccer Mkuu achana na hayo mambo yako ya ajabu!