Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hahahahhaaa. Unamaanisha ile Chelsea ambayo ilikuwa inaongoza bao 2 halafu Kanu wa Arsenal akafunga hat-trick ndani ya dakika 15 za mwisho?

Ezi hizo Thierry Henry alikuwa bado anacheza kama winger.

Hilo atalijibia agosti 8, lol
 
Last edited by a moderator:
article-2694941-1FB1902F00000578-584_634x424.jpg

Who is that black kid in the back ground??

article-0-1FB1433700000578-917_634x495.jpg

Patrick Bamford...wanaosema hatuendelezi vipaji sasa msimu huu sijui watasemaje!!!

article-2694941-1FB1747600000578-932_634x408.jpg

Izzy brown..alikuwa kwa mkopo karudi nyumbani

article-2694941-1FB1430900000578-549_634x420.jpg

what a goal...asante youtube!

article-2694941-1FB1903800000578-478_634x462.jpg

Jeremy Boga...

article-2694941-1FB1746D00000578-517_634x522.jpg

Izzy Brown..the next David Luiz.

article-0-1FB137FE00000578-919_634x594.jpg

Chalobah N. Naye anarudi...

article-0-1FB1592C00000578-570_634x440.jpg

Kama namuona Eva the dokta!

article-2694941-1FB25C5D00000578-167_634x457.jpg

Kumbe ni Zouma...hapa ameona darker zaidi aisee!!!

That was Wycombe 0 -5 Chelsea

Next this Saturday: AFC Wimbledon

NB: Kuna madogo naona bado wanastahili kurudisha mkoponi wakapate pumzi zaidi. tukianza na yule aloumia Kane. Si mbaya kama Chalobah labda na mwingine mmoja wakabaki Chelsea wakijifunza...With the coming of Luis na Zouma na wengine I think its safer hao madogo wengine wakaenda elsewhere kupata experience!
 
kidume umepotea sana kijana..huwa nakuona mitaani humu humu lakini hapa nyumbani umesusa?
Karibu lakini..:cool2:

nipo kila siku mkuu, sema napitaga kimya kimya kuangalia yaliyojiri ..........
 
Huyu ndio alishindwa kumkaba Messi akala nyekundu? Del Horno au sio?

Hakushindwa Mkuu kumkaba Messi! Ila Messi alijiangusha makusudi na Del Hono akala nyekudu moja kwa moja!

Na game iliyofata William Galas akapangwa beki kushoto na Messi akapotea kabisa na kuumia!

Nakumbuka zile game ilikua ili Fc Barcelona iishinde Chelsea lazima Chelsea Fc mchezaji mmoja apigwe Kadi nyekundugu Ndio Barc ishinde! Vinginevyo Barc alikua anapigwa Au anapata suluhu!

Cc: agosti 8 Mentor Voil
 
Last edited by a moderator:
ha ha kweli kabisa.

Hakushindwa Mkuu kumkaba Messi! Ila Messi alijiangusha makusudi na Del Hono akala nyekudu moja kwa moja!

Na game iliyofata William Galas akapangwa beki kushoto na Messi akapotea kabisa na kuumia!

Nakumbuka zile game ilikua ili Fc Barcelona iishinde Chelsea lazima Chelsea Fc mchezaji mmoja apigwe Kadi nyekundugu Ndio Barc ishinde! Vinginevyo Barc alikua anapigwa Au anapata suluhu!

Cc: agosti 8 Mentor Voil
 
Kabisa..hiyo hiyo iliyomnyonyoa Barcelona CF 3-0 London.
Hiyo hiyo iliyomfunga shetani Man Utd 5-0.
Hiyo hiyo iliyochukua Super Cup-1998.
Hiyo hiyo iliyochukua Winners Cup-1998.
Hiyo hiyo iliyotoa sare na AC Milan[San Siro]-

Enzi hizo tulikuwa na msemo "one chance, one goal":biggrin1:

Hilo atalijibia agosti 8, lol
 
HATARI ZA MSIMU UJAO:

top-10-pics-from-the-world-cup.img.png

aNDRE sCHURRLE

1405351489289.jpg

oSCAR eMBOABA jUNIOR....

1405351524256.jpg

eDEN hAZARD

1405351540320.jpg

tHIBAUT cOUTROIS

Welcome back Oriol Romeu and Marco van Ginkel

Wapenzi wa Chelsea na wengine wapenda soka tuna furaha kubwa kurudi kwa wachezaji hawa wawili muhimu, Romeu aliumia Dec 2012 na hivyo kuwa nje wa muda mrefu na mwaka jana alikuwa loan Valencia na sasa yupo full swing kuichezea club yake ya Chelsea.

Marcho Van Ginkel
, huyu mdachi hajulikani sana darajani maana aliumia mwaka jana kwenye pre-season's games, amekuwa nje ya dimba kwa msimu mmoja, ni furaha pia kumwona akirudi dani ya dimba la darajani. Ni mchezaji mahili sana (Kiungo mshambuliaji).

Kama mnavyojua Chelsea sasa imekamilika, ukijumlisha na ujio wa Fabregas basi itakuwa midfield yenye njaa kali.

Jana tu, club ya daraja ya pili Wycombe Wanderers ilichezea kichapo cha 5 mtungi - huku Romeu akimaliza dakika 75 za mchezo.

The 22-year-old played just over 70 minutes at Adams Park, operating alongside Marco van Ginkel during the first half and Nemanja Matic after the break, and he was delighted to be back involved.
 
new-deal-for-romeu.img.png

Di Matteo humtambui?

Rafa Benitez anafanya timu inakuwa average...ni tofauti sana na Jose Mourinho.

Jose MOurinho: kaifunga Man Utd 3-1, kaifunga Arsenal 6-0, kaifunga City 2-1, kaifunga Spurs 4-0, bado alikuwa anapaki basi?
Hayo magoli yalikuwa yanaingiaje?:A S-eek:

Kweli wewe kiboko..kawadanganye Arsenal:spit:

Hii ilikuwa kazi ya Rafa Benitez aka Interim One huyu sio kocha wa kupaki fuso.Tangu amepewa kazi mashabiki walikuwa hawamtaki but alifanya kazi kubwa sana
 
Hii ilikuwa kazi ya Rafa Benitez aka Interim One huyu sio kocha wa kupaki fuso.Tangu amepewa kazi mashabiki walikuwa hawamtaki but alifanya kazi kubwa sana

Mngekuwa na akili mngempa kazi Benitez badala ya Moyes, ona sasa mmerudi hadi # 7.:wacko:
 
Di Matteo humtambui?

Rafa Benitez anafanya timu inakuwa average...ni tofauti sana na Jose Mourinho.

Jose MOurinho: kaifunga Man Utd 3-1, kaifunga Arsenal 6-0, kaifunga City 2-1, kaifunga Spurs 4-0, bado alikuwa anapaki basi?
Hayo magoli yalikuwa yanaingiaje?:A S-eek:

Kweli wewe kiboko..kawadanganye Arsenal:spit:
Tatizo lako uko blind kwa Mourinho but hiyo ni facts,Jose ni kocha wa kupack bus.Arsenal kufungwa magoli mengi sio kitu cha ajabu 5-0,6-2,6-3,8-2 ni kawaida
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom