Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tatizo lako uko blind kwa Mourinho but hiyo ni facts,Jose ni kocha wa kupack bus.Arsenal kufungwa magoli mengi sio kitu cha ajabu 5-0,6-2,6-3,8-2 ni kawaida

Belo acha hizo Mkuu!

Jose Mourinho ni Zaidi ya Benitez haiitaji kuongea sn Lkn kwa mdau wowote Wa soka anaelewa hili!
 
Last edited by a moderator:
Tatizo lako uko blind kwa Mourinho but hiyo ni facts,Jose ni kocha wa kupack bus.Arsenal kufungwa magoli mengi sio kitu cha ajabu 5-0,6-2,6-3,8-2 ni kawaida

ur wasting ur time.... agosti 8 is obsessed with Mourinho!
 
Last edited by a moderator:
Usidandie treni kwa mbele my point Mourinho ni kocha wa kupaki bus hiyo ni fact ingawa wengi wenu hamtaki kukubali

1. What is parking the bus mfano ukiulizwa!??

2. System waliyokuwa wakicheza Netherlands under Van Gaal kwa mfano, unaweza kuiitaje?
 
mie sihitaji wewe umkubali Mourinho. facts zinajieleza MOURINHO NI BORA KULIKO BENITEZ, WENGER NA MOYES..

PILI inaonyesha huna hata elimu ya menejimenti ya mpira. Nani kakwambia kocha mmoja ndo anafundisha vitengo vyote Belo?
Van Gaal alipokuwa kocha wa Uholanzi, alikuwa na Patrick Kruivet kama msaidizi wake[kocha wa washambuliaji].

Steve Clarke alikuwa msaidizi wa Ken Dalglish pale LFC kwa sababu yeye ni kocha ambaye ni bora katika kufundisha mabeki.
Kazi ya kocha mkuu ni kusimamia MFUMO ambao timu itatumia katika mashindano..wasaidizi ndo wanaspecialize..funguka mwana soma utajua.:A S-eek:

Tatizo lako uko blind kwa Mourinho but hiyo ni facts,Jose ni kocha wa kupack bus.Arsenal kufungwa magoli mengi sio kitu cha ajabu 5-0,6-2,6-3,8-2 ni kawaida
 
jose mouirinho's cv.:A S-eek:

jos%C3%A9-mourinho-porto.jpg
 
Unaanzaje kumchukia JOSE MOURINHO au kulinganisha THE SPECIAL ONE na hao kina Benitez na Wenger na Moyes na Rodgers na Martinez?

Cheki data..na wewe kama humpendi JOSE weka data za kocha 'wako'....:A S thumbs_up:

Porto (2002–2004)
Chelsea (2004–2007)
Internazionale (2008–2010)
Real Madrid (2010–2013)
Individual

Acha utoto wewe..lete hoja za kitaalam JF HOME OF GREAT THINKERS...hoja yako haiendani na uzoefu wako hapa JF.. Belo wewe unapotoa komenti za ajabu wapya nao wafanyeje?

:sleepy:

Usidandie treni kwa mbele my point Mourinho ni kocha wa kupaki bus hiyo ni fact ingawa wengi wenu hamtaki kukubali
 
Huwezi kuona ajabu kwa sababu wewe ulikuwa # 7.

Tatizo lako uko blind kwa Mourinho but hiyo ni facts,Jose ni kocha wa kupack bus.Arsenal kufungwa magoli mengi sio kitu cha ajabu 5-0,6-2,6-3,8-2 ni kawaida
 
1. What is parking the bus mfano ukiulizwa!??

2. System waliyokuwa wakicheza Netherlands under Van Gaal kwa mfano, unaweza kuiitaje?

Nilijua tu kuna mtu atakuja kuandika hata post 20 hasa ukimtaja Morinho,Hilo namba moja sihitaji kujibu

Traditional mfumo wa Holland ni 4-3-3 (total football) kabla ya WC Kevin Strootman(kiungo wao) aliumia Van Gaal akasema itabidi wabadilishe mfumo wao kwenye WC,Kwenye WC Holland walicheza 3-5-2 wakawa wanaswich to 4-3-3 na 5-3-2
 
Unaanzaje kumchukia JOSE MOURINHO au kulinganisha THE SPECIAL ONE na hao kina Benitez na Wenger na Moyes na Rodgers na Martinez?

Cheki data..na wewe kama humpendi JOSE weka data za kocha 'wako'....:A S thumbs_up:

Ni kawaida yako kudivert mada,kuna mahali nimesema Wenger,Moyes,Rodgers na Martinez ni bora kuliko Jose?
Then how unamcompare Jose na kina Martinez,Moyes au Rodgers,Jose size yake ni kina Pep na Anceloti
 
Nilijua tu kuna mtu atakuja kuandika hata post 20 hasa ukimtaja Morinho,Hilo namba moja sihitaji kujibu

Traditional mfumo wa Holland ni 4-3-3 (total football) kabla ya WC Kevin Strootman(kiungo wao) aliumia Van Gaal akasema itabidi wabadilishe mfumo wao kwenye WC,Kwenye WC Holland walicheza 3-5-2 wakawa wanaswich to 4-3-3 na 5-3-2

Wouldn't you say he played more 'defensive football'???!
 
3-5-3 ni kushambulia?

Nilijua tu kuna mtu atakuja kuandika hata post 20 hasa ukimtaja Morinho,Hilo namba moja sihitaji kujibu

Traditional mfumo wa Holland ni 4-3-3 (total football) kabla ya WC Kevin Strootman(kiungo wao) aliumia Van Gaal akasema itabidi wabadilishe mfumo wao kwenye WC,Kwenye WC Holland walicheza 3-5-2 wakawa wanaswich to 4-3-3 na 5-3-2
 
Nakushukuru kwa kutambua mahali anapopaswa kuwa JOSE.

Jose Mourinho - the special one.

Ni kawaida yako kudivert mada,kuna mahali nimesema Wenger,Moyes,Rodgers na Martinez ni bora kuliko Jose?
Then how unamcompare Jose na kina Martinez,Moyes au Rodgers,Jose size yake ni kina Pep na Anceloti
 
guardiola-mourinho-ancelotti.jpg

Ni kawaida yako kudivert mada,kuna mahali nimesema Wenger,Moyes,Rodgers na Martinez ni bora kuliko Jose?
Then how unamcompare Jose na kina Martinez,Moyes au Rodgers,Jose size yake ni kina Pep na Anceloti
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom