Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

801088EC10B59E36ACD55A928C447C.JPG

Usidandie treni kwa mbele my point Mourinho ni kocha wa kupaki bus hiyo ni fact ingawa wengi wenu hamtaki kukubali
 
Hivi siku hizi ukicheza counter attacking football unakua labeled mpark bus? Kwani kwenye soccer lazima team zote/makocha wote wawe na mifumo inayofanana?

Katika msimu mzima, kama mechi mbili/tatu ukacheza a real defensive game kupata matokeo kuna ubaya gani?
 
Ukiacha Germany (bingwa) ambao wamefunga magoli 18,Holland wanafuatia kwa kufunga magoli mengi 15.

Kwa mengine
2014 FIFA World Cup? - Netherlands - Statistics - FIFA.com na 2014 FIFA World Cup? - Germany - Statistics - FIFA.com

Mkuu hata huyo Mourinho unayemwita mpark bus ana record ya kumaliza msimu na goli nyingi zaidi (record anayoshikilia pamoja na Tito) katika La Liga na points nyingi zaidi katika historia ya La Liga.
Lakini pamoja na hayo falsafa kubwa ya Mourinho katika mpira ni counter attacking football, kufunga goli nyingi au points nyingi haimaanishi kwamba unacheza total football au attacking football au tikataka for that matter, unaweza kuwa a counter attacking side na ukafunga goli nyingi zaidi ya mcheza tikataka
 
Hivi siku hizi ukicheza counter attacking football unakua labeled mpark bus? Kwani kwenye soccer lazima team zote/makocha wote wawe na mifumo inayofanana?

Katika msimu mzima, kama mechi mbili/tatu ukacheza a real defensive game kupata matokeo kuna ubaya gani?

Siku hizi counter attacking football ndio inatawala baada ya tiki-taka kufa umeona Germany,Holland,Real Madrid,Atletico
Ni system nzuri sana unapoitumia kwenye mashindano ya mtoano na sio kwenye ligi,sometimes unapocheza na timu ndogo inabidi ushambulie uwafunge umalize mechi kabisa.How unacheza na timu kama Aston Villa au Newcastle then unatumia hii system
 
1. Ni lini uliona Mourinho akifanya hivyo against Newcastle, Aston villa, Arsenal, Man utd, Totenham et al..na hizo nyingine unazoziita timu ndogo?

2. Kwenye ligi kafanya hivyo mara mbili peke yake..against Liverpool second round game na against Manchester city...BASI! Hebu nipe mfano mmoaj wa mechi na timu ndogo ambayo mourinho alitumia hio theory ya parking the bus!
 
Theory ya packing the bus inaletwa na wapinzani, watu wanochukia kuona mafanikio ya Chelsea FC.
:A S-eek:

1. Ni lini uliona Mourinho akifanya hivyo against Newcastle, Aston villa, Arsenal, Man utd, Totenham et al..na hizo nyingine unazoziita timu ndogo?

2. Kwenye ligi kafanya hivyo mara mbili peke yake..against Liverpool second round game na against Manchester city...BASI! Hebu nipe mfano mmoaj wa mechi na timu ndogo ambayo mourinho alitumia hio theory ya parking the bus!
 
Siku hizi counter attacking football ndio inatawala baada ya tiki-taka kufa umeona Germany,Holland,Real Madrid,Atletico
Ni system nzuri sana unapoitumia kwenye mashindano ya mtoano na sio kwenye ligi,sometimes unapocheza na timu ndogo inabidi ushambulie uwafunge umalize mechi kabisa.How unacheza na timu kama Aston Villa au Newcastle then unatumia hii system

Hapo kwa Germany naomba kutofautiana, Ujerumani hii ya Jog Leow haichezi counter attacking football, kwa maoni yangu wao ndio wanacheza total football
 
Mourinho ni adui wa football.....aliesema nimemsahau ila nakubaliana nae!!!
 
UKIWA MWONGO USIWE MWEPESI WA KUSAHAU.:angry:

Mourinho alilia baada ya kukosa United Job....kilichomliza kazi kapewa poor D. MOYES......kachukua kazi ya Chelsea baada ya kuwa snubbed na man utd!!! mmekula matapishi yenu!!
 
Uwongo mwingine..yeye kama kocha yoyote yule duniani..unafanya kazi popote kazi yake kufundisha.
Hii ni mara ya pili anafundisha Chelsea Fc,

Wewe kutompenda JM hakunifanyi niache kusapoti Chelsea Fc ..huo ni mtazamo wako RRONDO, mzee wa Atletico, PSG, Galatasaray, etc..huna timu maalum kelele nyingiii.

Mourinho alilia baada ya kukosa United Job....kilichomliza kazi kapewa poor D. MOYES......kachukua kazi ya Chelsea baada ya kuwa snubbed na man utd!!! mmekula matapishi yenu!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom