tulia kwanza. wapi nimewaambia msichoelewa?najua wewe na agosti 8 mnajua kila kitu.... mourinho ni soccer...kumjadili mourinho ndio najadili soka hasa inayochezwa na chelsea...mnataka nisifie tu ndio mfurahi nasema ninachoona whether u like it or not.
karibu sana.....kwanza SIMCHUKII MOURINHO!!! ila akichemka nasema na akifanya poa namsifia....
Angalia michango ya wadau huko nyuma Alafu kisha linganisha na ya kwako uone tofauti!
Kuwa Fair Mkuu NA uongee kisoka NA si kinazi!
Inapendeza sn michango ikiwa KISOCCER LKN UKILETA KINAZI SISI WENGINE TUMESHAKUNYWA MAJI YA DARAJA KWAHIYO UNAKUA UMETUGUSA KWENYE MOYO NA KUKATA MISHIPA MIKUU YA DAMU!
KTBFFH
hayo ni maoni yako wewe....ila mimi naandika ninachokijua na kufikiria sio kuangalia wadau wengine wameandika nini.... kama unaona ni unazi sawa ni wewe...siwezi kuandika kila kitu kikakufurahisha.
Sasa km unaelewa Hilo kulikua na haja gani kuleta hoja ya mkaa Kwamba Jose ni adui Wa Mpira?
Wewe unawafahamu maadui Wa Mpira? Au km huwajui Niambie nikutajie!
Ndo Maana nkasema wewe huongei kisoccer Bali kinazi!
kama imekuuma sana....nasema tena MOURINHO NI ADUI WA FOOTBALL.....na niliweka link aliesema na sababu.
Ngoja nikuache kwa Leo!
Ntarudi kwako nipatapo nafasi!
Hayajaisha Bado!
tulia kwanza. wapi nimewaambia msichoelewa?najua wewe na agosti 8 mnajua kila kitu.... mourinho ni soccer...kumjadili mourinho ndio najadili soka hasa inayochezwa na chelsea...mnataka nisifie tu ndio mfurahi nasema ninachoona whether u like it or not.
Mkuu ungekuwa mfutiliaji mzuri wa wachezaji basi nisingetegemea utawa-let down Oriol Romeu na Marco Van Ginkel. Hawa ni wachezaji wa kiwango cha juu, ni wazuri mno kwenye kiungo, wana kasi inayohitajika kwenye soka la kisasa. Cha msingi ungesema tu kwamba viungo wa Chelsea wote waonyeshe bidii vinginevyo hakutakuwa na guarantee ya number - kina williams, Oscar na Remires wanaweza kuwa kwenye wakati mgumu.Hawa wajitafutie zao loan fasta, otherwise wataishia kusugua benchi.
Mkuu ungekuwa mfutiliaji mzuri wa wachezaji basi nisingetegemea utawa-let down Oriol Romeu na Marco Van Ginkel. Hawa ni wachezaji wa kiwango cha juu, ni wazuri mno kwenye kiungo, wana kasi inayohitajika kwenye soka la kisasa. Cha msingi ungesema tu kwamba viungo wa Chelsea wote waonyeshe bidii vinginevyo hakutakuwa na guarantee ya number - kina williams, Oscar na Remires wanaweza kuwa kwenye wakati mgumu.