Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

filipe-luis-1st-interview-chelsea-interview-youll-never-see-me-walking-on-the-pitch-always-running-video.jpg

huyu ndio nani??
 
Mkuu ungekuwa mfutiliaji mzuri wa wachezaji basi nisingetegemea utawa-let down Oriol Romeu na Marco Van Ginkel. Hawa ni wachezaji wa kiwango cha juu, ni wazuri mno kwenye kiungo, wana kasi inayohitajika kwenye soka la kisasa. Cha msingi ungesema tu kwamba viungo wa Chelsea wote waonyeshe bidii vinginevyo hakutakuwa na guarantee ya number - kina williams, Oscar na Remires wanaweza kuwa kwenye wakati mgumu.

Time will tell. Romeu si alikuwa loan ndo karudi. Kama angekuwa mzuri zaidi ya Williams then kusingekuwa na haja ya kuspend that amount of money kumnunua Williams.

Hao watakuwa wanakipiga zaidi kwenye sijui lile Carling cup? In other words, haingii kwenye first 11 ya Chelsea.
 
Striker Didier Drogba is considering a one-year deal to return to Chelsea.

The Ivory Coast international, a free agent after leaving Galatasaray, left Stamford Bridge in 2012 after scoring the winning penalty in the Champions League final against Bayern Munich.

Drogba's representatives say a decision has not yet been made and that Chelsea is one of a number of options.

But talks are under way and the 36-year-old is likely to decide on a possible return this week.

BBC Sport - Didier Drogba considering Chelsea return on one-year deal

Meanwhile, Chelsea are believed to be in negotiations with Atletico Madrid over the transfer of Fernando Torres, according to reports in Spain.
The Spanish version of Eurosport claims Atletico are keen on seeing Torres return to the Vicente Calderon – the club from whom he joined Liverpool in 2007.

But the Spanish champions aren't yet willing to meet Chelsea's asking price of just £13m – a staggering £37m less than the Blues paid for him in January 2011.

http://metro.co.uk/2014/07/21/atlet...-meet-chelseas-valuation-of-just-13m-4804912/
 
Oriol Romeu alicheza sana akiwa CFC kabla hajapata majereha..sasa kwa sababu hakuwa 100% fit..akapelekwa Valencia CF kwa mkopo wa msimu mzima.
Romeu atapata namba kwa sababu yeye hachezi nafasi ya Willian. Romeu ni kiungo mkabaji kama Matic..kwa aina yake ya uchezaji na umbile uhakika wa namba anao..na tayari kaongezwa miaka 3 kwenye mkataba wake..

Time will tell. Romeu si alikuwa loan ndo karudi. Kama angekuwa mzuri zaidi ya Williams then kusingekuwa na haja ya kuspend that amount of money kumnunua Williams.

Hao watakuwa wanakipiga zaidi kwenye sijui lile Carling cup? In other words, haingii kwenye first 11 ya Chelsea.
 
Habari njema tupu!

Striker Didier Drogba is considering a one-year deal to return to Chelsea.

The Ivory Coast international, a free agent after leaving Galatasaray, left Stamford Bridge in 2012 after scoring the winning penalty in the Champions League final against Bayern Munich.

Drogba's representatives say a decision has not yet been made and that Chelsea is one of a number of options.

But talks are under way and the 36-year-old is likely to decide on a possible return this week.

BBC Sport - Didier Drogba considering Chelsea return on one-year deal

Meanwhile, Chelsea are believed to be in negotiations with Atletico Madrid over the transfer of Fernando Torres, according to reports in Spain.
The Spanish version of Eurosport claims Atletico are keen on seeing Torres return to the Vicente Calderon – the club from whom he joined Liverpool in 2007.

But the Spanish champions aren't yet willing to meet Chelsea's asking price of just £13m – a staggering £37m less than the Blues paid for him in January 2011.

Chelsea transfer news: Atletico Madrid want Fernando Torres but unwilling to meet Blues' valuation of just £13m | Metro News
 
article-2699793-1C64EBB500000578-176_634x467.jpg

Ungekuwa mtu wa mpira ungemjua..

mimi sio mtu wa mpira wa mchangani na wala sikuwa na interest ya kumjua,it takes hardly 2mins....najua world class player tu....inaonyesha wewe unajua wachezaji wote duniani!
 
unazidi kuthibitisha kwamba wewe huna lolote unalojua zaidi ya kupiga kelele..
mbona unajichanganya? Umeuliza swali; sasa unageuka unasema huna haja ya kumjua..uko sawa kweli wewe?:scared:

wala sijui lolote mbona hilo liko wazi...wewe si unajua kila kitu.
 
safi sana RRONDO ukija humu CHELSEA FC THREAD unapaswa kuwa na utulivu..ukileta kelele za ajabu badala ya kujadili mpira lazima tukutulize. Tunapaswa kuongea mpira..mfumo mpya kwenye timu yako; ligi inaanza, usajili unaendeleaje n.k.

sasa wewe kila mara unapost vitu vinavyoudhi mashabiki wa Chelsea Fc; umesababisha hadi Ntuzu amerudi mafichoni...:fencing:

Mkuu agosti 8 huyu RRONDO juzi jumamosi ilibidi nimuache tu Maana analeta vitu vya ajabu anafikiri sisi timu yetu ni sawa Na timu Yake?

Yeye akomae Na no 7 tu!
 
Last edited by a moderator:

napost maoni yangu kama yanakukera sina la kufanya....siwezi kupost vitu mnavyopenda kusikia nyinyi....
 
Mkuu agosti 8 huyu RRONDO juzi jumamosi ilibidi nimuache tu Maana analeta vitu vya ajabu anafikiri sisi timu yetu ni sawa Na timu Yake?

Yeye akomae Na no 7 tu!

wewe tulia huko uliko.....of coz chelsea sio sawa na man utd....2 champions league si sawa na 1 cl....13 EPL titles sio sawa na 4EPL agosti 8 nikumbushe mna EPL ngapi.....11 FA CUPS sio sawa na sijui fa cup ngapi mnazo ila najua si zaidi ya 11 ambayo ni record.....tuko namba saba nyinyi namba tatu sijui mmepata tuzo gani au mikono mitupu kama sisi kwenye ligi...
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom