Wafuatao ni wachezaji wa Chelsea walio nje na wataokwenda nje kwa mkopo;
1. Kurt Zouma (defender)
2. Christan Atsu (midfielde)
3. Matej Delac
3. Thibout Courtois
4. Wallace
5. Bertrand Traore
6. Ulises Davilla
7. Cristian Cuevas
8. Stpe Perica
9. Patrick Bamford
10. Tomas Kalas
11. Romelu Lukaku
12. Nathaniel Chalobah
13. Josh McEachran
14. Ryan Bertrand
15. Todd Kane
16. George Saville
17. Jhon Pirez
18. Victor Moses
19. Kenneth Omeruo
20. Billy Clifford
21. Marko Marin
22. Oriol Romeu
23. Patrick Van Aabholt
24. Gael Kakuta
25. Lucas Piazon
26. Milan Lalkovic
27. Thorgan Hazard
Pamoja na wachezaji wote hao, bado timu inaendelea kusajili na kusajili. Lini mdogo wetu nditi atapata nafasi ya kucheza first team?? Unataka kumnunua Fillipe Luis huku unampeleka kwa mkopo Kalas!! Hapo kuna akili kweli?? Unamuuza Luiz ili umnunue Fillipe!!
Ni ngumu sana kuitetea management ya kijinga kama ya Chelsea. When will these young men come to first team?? Hili ni Tatizo la Mourinho hata Real Madread alikuwa akilaumiwa kwalo. So disgusting.
Wafuatao ni wachezaji wa Chelsea walio nje na wataokwenda nje kwa mkopo;
1. Kurt Zouma (defender)
2. Christan Atsu (midfielde)
3. Matej Delac
3. Thibout Courtois
4. Wallace
5. Bertrand Traore
6. Ulises Davilla
7. Cristian Cuevas
8. Stpe Perica
9. Patrick Bamford
10. Tomas Kalas
11. Romelu Lukaku
12. Nathaniel Chalobah
13. Josh McEachran
14. Ryan Bertrand
15. Todd Kane
16. George Saville
17. Jhon Pirez
18. Victor Moses
19. Kenneth Omeruo
20. Billy Clifford
21. Marko Marin
22. Oriol Romeu
23. Patrick Van Aabholt
24. Gael Kakuta
25. Lucas Piazon
26. Milan Lalkovic
27. Thorgan Hazard
Pamoja na wachezaji wote hao, bado timu inaendelea kusajili na kusajili. Lini mdogo wetu #nditi atapata nafasi ya kucheza first team?? Unataka kumnunua Fillipe Luis huku unampeleka kwa mkopo Kalas!! Hapo kuna akili kweli?? Unamuuza Luiz ili umnunue Fillipe!!
Ni ngumu sana kuitetea management ya kijinga kama ya Chelsea. When will these young men come to first team?? Hili ni Tatizo la Mourinho hata Real Madread alikuwa akilaumiwa kwalo. So disgusting.
The way jinsi Real Madrid wanainvest wanastahili kufikisha hata point 110 ,hii ya kufikisha point 100 hata Villanova alifanya hicho kitu kwa La Liga its posible,mwambie afanye hivyo hapa England.Morinyo sio kocha anayependa wachezaji chipukizi focus yake ni mafanikio ya muda .Mashabiki wengi wa Chelsea hawawezi kum-critisize Mourinho hata kama anachemka
Inawezekana kweli kabisa Mourinho si mtu anayeamini katika chipukizi and it's not a crime, lakini ni kusema anafocus kwenye mafanikio ya muda ni kumkosea. Kikosi cha Chelsea chenye mafanikio makubwa kuliko chochote kilikua na base ya Mourinho, toka Mou alipoondoka Chelsea hakuna kocha aliweza kujenga kikosi imara kama chake na waliojaribu kuwapiga chini makamanda waaminifu wa Mou kuanzia Scolari mpaka AVB mnajua kiliwapata nini. Lampard, Terry, Drogba, A.Cole, Cech, Ferreira, Essien, Mikel, Ballack, Makelele hawa ndio muhimili wa mafanikio ya Chelsea, na wengine wao mpaka leo hii wanamuita Mourinho 'Daddy'
Sasa Mkuu wangu kama haya nayo ni mafanikio ya muda then tunatofautiana kwenye kuyapima mafanikio, halafu tukumbushane kuwa hakuna team inapata mafanikio kwa kuwa na chipukizi tu bila ya wazoefu, kama ipo naomba nielimishwe, SAF anasifiwa na class of 92 lakini hiyo class ilikua na watu wangapi? Je ni 11 ambao ni starting 11? Je walikua na namba za kudumu kwenye first 11? Au nao walikua introduced taratibu through the years mpaka wakawa na uzoefu wa kuhold permanent place kwenye 1st 11?
Au Pulofesa Wenger na team yake maarufu ya the Invisibles iliyomaliza msimu mzima bila kufungwa hata match moja, je ilikua team ya chipukizi ile?

![]()
this is the second coming of JOSE MOURINHO.
je, umegundua kwamba kuna watu wako na Mourinho kila timu anayofundisha?
lete mawazo yako hapa tujadili..