Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Morinyo alipata mafanikio makubwa Porto,Chelsea na Inter but alichemsha Real Madrid,Madrid walimchukua kuchukua Champions League na sio kuishia semi finals.Baada ya kumtimua Del Bosque walistrugle sana kupata kocha mzuri wakaishia kuwapata kina Quiroz,Luxenmburgo,Ramon,Schurnder et al na wengi wao hawakufundisha zaidi ya msimu mmoja but Jose alipewa misimu 3

So far Carlo Anceloti amechukua Champions League mara 3 while Jose mara 2,na kumbuka msimu wa kwanza Carlo amechukua Copa Del Rey na Uefa Champions League

Carlo Ancelotti anajua Jose Mourinho ni nani? tazama posti zangu page zilizopita Belo.
Unafikiri kufika nusu fainali ya UCL ni kitu kidogo? Tena mara 3 mfululizo? Unajitoa fahamu ili kushindana na Mourinho?

Ni kweli: Mourinho kachukua UCL =2, ubingwa wa ligi katika nchi 4, uefa europa league,

Wewe wasema Belo, :A S-eek:
Morinyo alipata mafanikio makubwa Porto,Chelsea na Inter but alichemsha Real Madrid,Madrid walimchukua kuchukua Champions League na sio kuishia semi finals.Baada ya kumtimua Del Bosque walistrugle sana kupata kocha mzuri wakaishia kuwapata kina Quiroz,Luxenmburgo,Ramon,Schurnder et al na wengi wao hawakufundisha zaidi ya msimu mmoja but Jose alipewa misimu 3

So far Carlo Anceloti amechukua Champions League mara 3 while Jose mara 2,na kumbuka msimu wa kwanza Carlo amechukua Copa Del Rey na Uefa Champions League
 
Mkuu RRONDO huwezi kuwa shabiki wa timu ilhali humpendi kocha wa timu yenyewe, utakuwa ujinga huo.
Alipokuwa Carlo Ancelotti, tulimsapoti, alipokuja Di Matteo tulimsapoti..sasa shida nini mkuu?

Au unataka tufanye kama mlivyofanya kwa kocha wenu MOYES?

you are so obsessed with Jose Mourinho!!!
 
Mkuu RRONDO huwezi kuwa shabiki wa timu ilhali humpendi kocha wa timu yenyewe, utakuwa ujinga huo.
Alipokuwa Carlo Ancelotti, tulimsapoti, alipokuja Di Matteo tulimsapoti..sasa shida nini mkuu?

Au unataka tufanye kama mlivyofanya kwa kocha wenu MOYES?

Na Rafa Benitez je?
 
Rafa lilikuwa chaguo la Roman.

Mimi binafsi simkubali Rafa. Lakini hata Rafa alipokuwa Chelsea nilikuwa Chelsea, kaondoka kaniacha hapa hapa, kama alivyonikuta.

Mkuu Mourinho kila timu inakuwa na utamaduni wake, Rafa si kocha sahihi kwa utamaduni wa Chelsea. Lakini yamepita tunaendelea mbele. Kwangu mimi afadhali Avram Grant kuliko Benitez, jamaa hakupendwa tangu anaingia hadi anaondoka.

Na Rafa Benitez je?
 
Porto (2002–2004)
Chelsea (2004–2007)
Internazionale (2008–2010)
Real Madrid (2010–2013)
[h=3]Individual[/h]
 
this is the special one- jose mourinho.
Porto (2002–2004)
Chelsea (2004–2007)
Internazionale (2008–2010)
Real Madrid (2010–2013)
Individual

tusiongee mengi:

Porto (2002–2004)
Chelsea (2004–2007)
Internazionale (2008–2010)
Real Madrid (2010–2013)
[h=3]Individual[/h]

Morinyo alipata mafanikio makubwa Porto,Chelsea na Inter but alichemsha Real Madrid,Madrid walimchukua kuchukua Champions League na sio kuishia semi finals.Baada ya kumtimua Del Bosque walistrugle sana kupata kocha mzuri wakaishia kuwapata kina Quiroz,Luxenmburgo,Ramon,Schurnder et al na wengi wao hawakufundisha zaidi ya msimu mmoja but Jose alipewa misimu 3

So far Carlo Anceloti amechukua Champions League mara 3 while Jose mara 2,na kumbuka msimu wa kwanza Carlo amechukua Copa Del Rey na Uefa Champions League
 
Morinyo alipata mafanikio makubwa Porto,Chelsea na Inter but alichemsha Real Madrid,Madrid walimchukua kuchukua Champions League na sio kuishia semi finals.Baada ya kumtimua Del Bosque walistrugle sana kupata kocha mzuri wakaishia kuwapata kina Quiroz,Luxenmburgo,Ramon,Schurnder et al na wengi wao hawakufundisha zaidi ya msimu mmoja but Jose alipewa misimu 3

So far Carlo Anceloti amechukua Champions League mara 3 while Jose mara 2,na kumbuka msimu wa kwanza Carlo amechukua Copa Del Rey na Uefa Champions League

Jose Mourinho alijenga timu ya Chelsea iliyochukua ubingwa 2004-2006. Wachezaji wengine aliwakuta na kuwasaidia kuwa mastaa, wengine aliwanunu mwenyewe au walinunuliwa akiwa kocha. Mfano: Didier Droga, Ashley cole, Robben, Ballack, Lampard, Terry, Kalou, Mikel, Essien, Calvalho, Petr Cech,,n.k. Carlo Ancelotti aliwategemea sana hawa niliowataja ili kupata ubingwa akiwa kocha wa Chelsea 2010.

Jose Mourinho aliikarabati Real Madrid aliyokuwa imekata tamaa na kuirudisha kwenye njia,[maana ilikuwa inapita mchepuko] kuu ya kugombea mataji. Kuifanya timu kuwa kwenye top 4 ya Ulaya kwa miaka 3 mfululizo si kazi ndogo. Jose Mourinho aliimarisha mabeki wa Real, akaongeza mtu mzima Sami Khedira na Ozil..timu ikaanza kupambana kama enzi za zamani..Carlo Ancelotti kaja kumalizia kazi ambayo fundi Mouriho alifanya. Sawa na wewe ujenge nyumba mwingine aje apake rangi..
 
kama wewe mwelewa utakuwa umeelewa; wewe unamdharau Jose, wakati Ancelotti mwenyewe anamsikiliza.

Mourinho instructing Carlo Ancelotti.

[QUO
TE=agosti 8;9942573]
Jose-Mourinho-with-Carlo-Ancelotti.jpg
[/QUOTE]
 
Chelsea+v+Inter+Milan+UEFA+Champions+League+RNOtr6J0JY4l.jpg

Wakati Mourinho alipokuwa 'adui' yetu. Chelsea 0 - 1 Inter Milan.[samuel eto'o goal]
tulitolewa kwenye UCL enzi Carlo Ancelotti alipokuwa kocha wetu:

Msimu wa kwanza tulitolewa kwenye hatua ya 16 bora. Inter Milan ya Mourinho ilitufunga 2-1[Milan] na ikatufunga 1-0[london]

Msimu uliofuata tulitolewa kwenye robo fainali na Man Utd.[2011]..

tujifunze kuwakubali watu hata kama hatuwapendi. Mourinho ni kocha mgumu sana kumfunga...
 
Agosti 8.

Mourinho ni kocha wa kipekee kabisa. Toka alipotua Chelsea, kila anakoenda ligi inachangamka na kila mtu anataka kuona leo "the special one" atakuja na lipi, kiukweli huwa haishiwi mipango japo kama makocha wengine kuna kipindi hesabu zinakataa..

Na mchezaji yeyote Mourinho akimkataa...kweli ni anakua ni kiazi..angalia Casilas mambo aliyofanya baada ya kuwekwa benchi lkn wabishi wakamrudisha. Angalia Spain ilivyoaibika.

Achana na Mourinho bana ni kitu ingine yule.
 
kweli kabisa..msimu huu tutaheshimiana tu..we subiri.

Agosti 8.

Mourinho ni kocha wa kipekee kabisa. Toka alipotua Chelsea, kila anakoenda ligi inachangamka na kila mtu anataka kuona leo "the special one" atakuja na lipi, kiukweli huwa haishiwi mipango japo kama makocha wengine kuna kipindi hesabu zinakataa..

Na mchezaji yeyote Mourinho akimkataa...kweli ni anakua ni kiazi..angalia Casilas mambo aliyofanya baada ya kuwekwa benchi lkn wabishi wakamrudisha. Angalia Spain ilivyoaibika.

Achana na Mourinho bana ni kitu ingine yule.
 
Carlo Ancelotti anajua Jose Mourinho ni nani? tazama posti zangu page zilizopita Belo.
Unafikiri kufika nusu fainali ya UCL ni kitu kidogo? Tena mara 3 mfululizo? Unajitoa fahamu ili kushindana nae

Ni kweli: Mourinho kachukua UCL =2, ubingwa wa ligi katika nchi 4, uefa europa league,

Mourinho ni mmoja ya makocha bora na mimi ni mshabiki wake but tatizo mashabiki wengi wa Chelsea ni blind hawawezi kumkosoa na Anceloti is one of underrated coach but he among the best in Europe,even Carlo has won domestic title in Italy,England,France and a double in his first season at Madrid
Carlo alichukua EPL Chelsea wakaweka rekodi ya kufunga magoli i think 103 but hakuna anayoyaona hayo
 
si kweli mkuu Belo, Carlo Ancelotti anaheshimiwa sana hapa Chelsea FC.
lakini katika mioyo ya watu wa Chelsea.

Mourinho ni zaidi ya kocha yeyote aliyewahi kufundisha Chelsea.
ni sawa na WEnger kwa Arsenal, SAF kwa Man UTD..

sisi Mourinho = one of us.
 
Mkuu RRONDO huwezi kuwa shabiki wa timu ilhali humpendi kocha wa timu yenyewe, utakuwa ujinga huo.
Alipokuwa Carlo Ancelotti, tulimsapoti, alipokuja Di Matteo tulimsapoti..sasa shida nini mkuu?

Au unataka tufanye kama mlivyofanya kwa kocha wenu MOYES?

YOU ARE OBSESSED WITH JOSE MOURINHO........kuwa obsessed ni tofauti na kupenda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom