wazee wanaoneka kuchoka sana hata kabla ligi haijachachamaa.........hii ni hatari.....Blaack pamoja na kuwa hana pumzi......ni vizuri akawa anachezeshwa hasa kipindi cha kwanza.......huwa anaipiga ile namba 8 vizuri sana.......dah poleni sana Chelsea