Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,266
Najua Ab- Tichaz, Masanilo, Invisible na Faithful wengine wa Chelsea wanachekelea maneno ya huyu mzee....weekend njema watani.
Well said mtani wangu!
Najua Ab- Tichaz, Masanilo, Invisible na Faithful wengine wa Chelsea wanachekelea maneno ya huyu mzee....weekend njema watani.
Watani vipi Roman naye anatafuta mtu wa kuinunua Ze Blues?
Chelsea boss Carlo Ancelotti admits: I'd love to manage Roma
By Sportsmail Reporter Last updated at 4:53 PM on 10th October 2009
Hii inatia moyo sana wadau na kesho si ndo tunakipiga na Aston villa?Habari njema hizi, Kalou na Alex long term commitments !
Tushapigwa mbili kwa moja bana, inaumaaa
Tumelala nadhani... Dah, inauma sana
Du!, kumbe Inv naye ni the Blues!. Poleni sana ndio ukubwa huo.Tumelala nadhani... Dah, inauma sana
nasikia abromivich alivyokuja bongo aliwasiliana na kondic kuhusu kufundisha chelsea na naona lengo lakeatalikamilisha soon.kondic yuko free kuanzia sasa kufindisha timu yoyote baada kuvunja mkataba na yanga.ha ha ha