Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,266
Awamu hii lazima mahasidi wakome tu!!!
Safari hii ni kunyoa tu hata kama umetoka kunyolewa upara!
Hapa umenionea utakimbiaje matatizo ya nyumbani bana sema tu huwa na kuwa na majukumu ya kiofisi zaidi.Karibu sana am here 24/7.Uwa mkifungwa unakimbia lol!!!
...huenda hukunisoma awali mkuu. Carlo Ancelotti keshazisoma alama za nyakati, fikiria Peter Kenyon alivyotendwa... Mbaya zaidi key players wenu (Drogba, Kalou na Essien) January haoooo Africa Cup of Nations...
Hii ni mtake msitake itakuwa. 1st EPL Manager kufungashiwa virago/ kutimuliwa nilidhani atakuwa Rednapp mwezi huu wa October, lakini upepo umemgeukia Ancelotti sasa, no wonder mwenyewe tayari keshasema anatamani kuifundisha Roma...😀Why not the fat Spanish Waiter of Loserfool?
dahhhh the blueez mnanipa raha sana nyie wana walakh
Awamu hii lazima mahasidi wakome tu!!!
![]()
Chelsea line up: Cech, Ivanovic, Carvalho, Terry, Belletti, Essien, Ballack, Lampard, Joe Cole, Anelka, Drogba.
Subs: Hilario, Malouda, Paulo Ferreira, Deco, Kalou, Sturridge, Bruma
Huu ni ushindi mkuu kikosi kamili hiki wadau.
Mkuu endelea kuboresha kijiwe nitakuwepo hapa mida kidogo.Leo ni lazima tushinde ili tuwe na hata hamu zaidi na game ya watani kesho...Yeah, timu nzuri. Tunacheza vizuri so far.
Mkuu endelea kuboresha kijiwe nitakuwepo hapa mida kidogo.Leo ni lazima tushinde ili tuwe na hata hamu zaidi na game ya watani kesho...
Absolutely wonderful..! Michael Essien making it 3-0 inside 50min of play from long range shot.