Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hii ndo final score au ni mtazamo wako tu? Je ni hujma za refa?

Siwezi kujua kwa nini timu moja inapata penati 3 kwenye mechi moja.
Timu nyingine CFC inakosa penati hata moja wakati watu wanaangushwa kwenye sanduku zaidi ya mara 3.
Siwezi kujua mkuu Sizinga, maana beki wa Norwich alipewa kadi ya njano kwa kumwangusha Hazard, ndani ya box lakini mbona hakutoa penati?

Kumbukeni mechi yetu vs Sunderland.
Kuna kitu.🙂
 
3. Wenger ni failure ..misimu 9 bila kombe.

NB: niliwaacha kwanza mfurahieee hadi mchoke sasa nimerudi jamvini:

CFC forever blue.🙂

CHELSHIT.
Willian- Around £32mill
Andre Schurrie- Around £18mill
Nemanja Matic- Around £21
Mohamed Salah- Around £11
Van Ginkel- Around £8.5
Etoo- Around £4

Na mwisho wa siku msimu umeisha mkavu..

"specialist in failure"

Ni mtazamo tu "Glory Hunter"--Trophy Buyer
 
Siwezi kujua kwa nini timu moja inapata penati 3 kwenye mechi moja.
Timu nyingine CFC inakosa penati hata moja wakati watu wanaangushwa kwenye sanduku zaidi ya mara 3.
Siwezi kujua mkuu Sizinga, maana beki wa Norwich alipewa kadi ya njano kwa kumwangusha Hazard, ndani ya box lakini mbona hakutoa penati?

Kumbukeni mechi yetu vs Sunderland.
Kuna kitu.🙂

Hahahahahah!!!!!!
 
hongera kwa kusubiri kwa misimu 9 bila kombe lolote.

we are 'winners' thus why are don't like #3. You are not winners thus why you are OK with #4.

Ni mtazamo tu "Glory Hunter"--Trophy Buyer
In the Champions League it was the same. Big teams went out in the early stages. Juventus didn't make the knockout phase. Manchester City, Manchester United, Arsenal and Barcelona all left the competition early and we managed to get to the second leg of the semi-finals. For the group we have, and the potential we have, I think we did okay.' - JOSE MOURINHO.
 
cfc
ucl semifinalist 7x in 11 years.

arsenal fc:ucl semifinalist 2x in 11 years.

man utd: ?
Man city:?
Liverpool?
 
cfc
ucl semifinalist 7x in 11 years.

arsenal fc:ucl semifinalist 2x in 11 years.

man utd: ?
Man city:?
Liverpool?

Kwa mihela hiyo yote ni kweli mnastahili kutochukua kikombe chochote? Usijitoe akili bhana...Moureen has to do something BIG
 
Will you be happy if he does that, or you're just pretending?

Hilo swali jiulize mwenyewe Je asipochukua kikombe utafurahia.....mi nakenua meno tu coz najua Moureen hana uwezo huo...yeye kazi yake ni kununua vikombe kama vile Man SHity. Nashanagaa kwann Abrom kaamua kumrudisha darajani.
Kiuhalisia mshindi ni LiverPOOL akifuatiwa na Arsenal...wengine ni Buyers as usual
 
Hahaha!!!

Lengo MOJA tu out of 7 semifinals, na hela yote hiyo aliyoinvest BOSS wenu kwenye Club!!!!!!

Damn!!!!

Dah hawa jamaa hawakai chini wakatafakari tu? Mihela wanachoma kama hawana akili nzuri...Kwahiyo miaka 7 nadhani bajeti yake inaweza kufikia bajeti ya Tanzania kwa mwaka 1
 
Hilo swali jiulize mwenyewe Je asipochukua kikombe utafurahia.....mi nakenua meno tu coz najua Moureen hana uwezo huo...yeye kazi yake ni kununua vikombe kama vile Man SHity. Nashanagaa kwann Abrom kaamua kumrudisha darajani.
Kiuhalisia mshindi ni LiverPOOL akifuatiwa na Arsenal...wengine ni Buyers as usual

we kweli failure...unapenda kufuatia tu; kuwa bingwa wewe mwenyewe hutaki..uchizi huo.
 
Dah hawa jamaa hawakai chini wakatafakari tu? Mihela wanachoma kama hawana akili nzuri...Kwahiyo miaka 7 nadhani bajeti yake inaweza kufikia bajeti ya Tanzania kwa mwaka 1

Kwa msimu huu tu, hela waliyoitumia kuspend, walitakiwa wapate hata kikombe kimoja tu..Lakini wametoka Kapa!!!!

Mwaka wa 4 huu umekata bila PL title, na nu Chelshit na Man shitty tu, ndo zinaspend hela nyingi saaana katika usajili wa vikosi vyao, achilia mbali mishahara wanayowalipa wachezaji wao!!!

Kwahiyo kumaliza msimu huu kwa chelshit bila kikombe, na hasa #3 , kwa tofauti ya points 3 tu na Arsenal mpaka sasa, Inaonyesha ni jinsi gani Mourinho alivyofeli msimu huu..coz tulitegemea battle yake na Man city ingekuwa kubwa sana kutokana na Usajili mkubwa uliofanywa na hizi club mbili..!

In 16 August 2013, before their first PL Match of the season, Jose Mourinho was quoted saying "i will quit chelsea, if i will not win a trophy this season"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom