Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wanaanza ku sound Kama manager wao sasa Morinho Kama Man City ndio bingwa tumemfunga bingwa home and away na Kama Liverpool ndio bingwa tumemfunga Bingwa Home and Away sasa yeye kaja na tumefunga timu zote za EPL ila ndogo zimekuwa ngumu sababu game zao wanacheza sawa Kimpira na timu ndogo, mtoto wa Crystal Palace alikuwa analala ikija na Morinho anachelewesha kurudisha mpira uwanjani heheh siku kazaa na yeye anafanya hilo hilo, RRONDO swali Lako Zuri.

niliwahi kusema humu Chelsea akicheza na timu kubwa hasa Premier anapania na yuko radhi apaki treni ili asifungwe lakini akicheza na timu ndogo ana relax anataka kucheza free flowing football ambayo haiwezi na ndio ya aston villa,stoke city, palace na sunderland yakawakuta.

kwa ATM kule Spain kapaki treni ili asifungwe na akafanikiwa lakini mechi ya pili lazima ashinde hivyo akajiachia kidogo acheze mpira kilichotokea kila mtu kakiona....ATM wamewa-expose kweupeeee
 
Mtashiriki Cl msimu gani Mkuu?

nafikiri msimu wa 2015/16 tutashiriki na tutafika mbali sana kama sio kuchukua ubingwa maanake na ubovu wetu msimu huu tumefika robo fainali hatua moja nyuma yenu nyini TIMU BORA,YENYE KOCHA BORA,YENYE WACHEZAJI BORA NA YENYE SPECIAL SPIRIT msalimie agosti 8
 
Last edited by a moderator:
Sidhani kama anawaamini zaidi mabeki bali tuu ni style yake. Huwa anajenga timu kuanzia nyuma kwenda mbele wakati watu kama akina Pep Guardiola anaanzia mbele kurudi nyuma.

Kila staili ina faida na hasa zake. Hasara za kila staili tumeziona kwa Chelsea jana na kwa Bayern juzi. Ukifocus zaidi kwenye ku-defend, hutafunga magoli. Pia ukifocus zaidi kwenye kushambulia unaweza kufungwa magoli mengi. It would seem that the best approach ni ku-balance kotekote, japokuwa hii nayo inategemea unacheza dhidi ya timu gani. A. Madrid did this last night.

Kuhusu Mourinho kuhitaji striker kama Cavani au Falcao, I think the former is overrated. The latter hajasikika tena tokea aondoke A. Madrid. Hata Diego Costa sijaona ukali wake sana. Halafu anaonekana kama ni mtu mwenye mahasira and Premiership defenders would love to bully him.

Kuhusu Rafa kuwa na more Europa cups than Mourinho, the latter alishasema kuwa winning the Europa League would be a "disappointment" to him.

Champions League is the only European competition every top manager/club wants to play. Akamalizia "I don't want my players to feel the Europa League is our competition."

Hata Sir Alex Ferguson angekuambia hivyo hivyo. Nakumbuka wakati Man Utd ilipocheza kwenye Eropa League Ferguson alikuwa anaonekana kama hataki awepo uwanjani.

Lakini kwa Rafa he has made his players to feel that the Europa League is their competition. Maana nasikia mwaka huu tena yupo huko Europa League. Personally, I don't follow the Europa League either.

So, pamoja na style yake still Mourinho is one of the successful managers out there. Wenger plays "sexy football" lakini haijafika mahali in terms of winning titles.

Pili kama siyo yeye wala usingepoteza muda wako kuandika uliyoandika. He makes you to have something to write about football. Kama alivyosema mwenyewe, he makes you to feel that you are one of the "philosophers" in football. 🙂

I beg to differ with you re Rafa Benitez when it comes to Europe. Rafa can never be belittled to the extent that you are doing now. To most neutrals, he's got that European pedigree which his peers can't get any closer to without the oil money or oligarchy riches. He's simply the master of Europe.

I stand to be corrected but as far I recall your Mourinho has never progressed head to head past Rafa in Europe - I will quickly add "despite Rafa's starting eleven costing a minute fraction to that of Mourinho's".

No great club (I mean GREAT) will enrol Mourinho as their coach. Honestly, I was extremely surprised to see Real Madrid hire him back then but I eventually came to understand they did it out of desperation and frustration at Barca's perpetually peerless domination. RM are now reflecting back with regret but they have learnt their lesson (the hard way)!

Mourinho's reputation will never land him a job at established traditions like Anfield, Emirates, Old Trafford, Bernabeu, Camp Nou, Allianz Arena and the likes. No vacancy.

Simply put,the guy has no class. Zilch!

Utaniambia haijalishi as long as anapata mafanikio.....but I have seen rich girls here in town but do you know the source of their riches? Some get laid, some are dope traffickers, you name it!
 
contradiction.
 
Mkuu EMT Pep kaiharibu sana Bayern, sikutegemea wangefungwa kirahisi vile na R.Madrid, wamekua kama Arsenal bana!?

Waliosema "if it ain't broke, don't fix it" hawakukosea. Bayern was just fine with their style. Kabla ya Jupp Heynckes, Bayern walikuwa wanacheza style ya kumiliki mpira inayofana kama ile ya Barcelona. Style hiyo ilianzishwa na Louis van Gaal ambaye anadaiwa kuwa atakuwa manager wa Man Utd. The style was so beautiful lakini hawakushinda chochote.

Alipoingia Jupp Heynckes akaongezea style ya gegenpressing. Kwa hiyo wakawa wanacheza both gegenpressing na tiki-taka styles kulingana na style ya timu pinzani. Pep alipokuja, akaja na style ya Barcelona au niseme ya Spain na kuua gegenpressing.

I think style ya Barca ya tiki-taka itakufa soon. Kama umeangalia mechi za Barcelona, Arsenal na Bayern hivi karibuni, timu pinzani zimegundua a tactical approach ambayo inaweza ku-dominate tiki-taka style. Real Madrid did exactly that against Bayern.

I think the future style itakuwa "gegenpressing". Tiki-taka style ya Barcelona na labda Arsenal ina-press teams as much as high up the pitch. Lakini ukikutana na timu ambazo ni ultra-organised and ultra-committed lazima utapigwa bao nyingi au unaishia kupiga pasi ambazo hazikusogezi mahali. Umeona goli walizopigwa Arsenal na top teams msimu huu?

Gegenpressing style ina-focus zaidi kwenye organisation na commitment ya ku-defend na kushambulia kwa wakati mmoja tena kwa haraka. Jürgen Klopp anakwambia in gegenpressing style, the ball is played very "fast and accurately". Diego Simeone nae naona kama ameifanya A. Madrid kuachana na tiki-taka.

Ukitaka kuona jinsi gegenpressing inavyochezwa, cheki movements kwenye goli la kwanza la Dortmund dhidi ya Malaga kwenye robo fainali ya champions league (second league) mwaka jana. Gegenpressing inahitaji kila mchezaji acheze tirelessly hata kama timu yake haina mpira. So, wachezaji kama Mata na Silva will struggle b'se they are effective only when their teams have the ball.

Ukiwasoma wachangiaji wengi hapa jukwaani na kitaa wanapenda zaidi style ya tiki-taka. They think is attractive and sexy. Ndiyo maana some were lost in translation, Hazard aliposema kuwa Chelsea hawachezi tiki-taka style. Walidhani alikuwa anaikosoa Chelsea kwa kutocheza tiki-taka.

I am not saying that Chelsea play gegenpressing football because they can't. Hawana wachezaji who are faster and accurate enough to do that. Chelsea don't have devastating finishing players.

Barcelona imewafanya watu wengi kuamini kuwa tiki-taka is the best style of playing football. Inawezekana lakini timu nyingine zimeshajua jinsi ya kukabiliana na tiki-taka.
 
Tuko na timu work sn! Lkn Km umefatila game ya Jana utagundua Chelsea walikua chini ya kiwango chao hasa Kipindi cha pili na hasa kiakili wachezaji hawakua saws na yote hayo ni kutokana na kuifikiria sn hiyo game! Walikosa kitu fulani na Ndio matokeo yakawa hivyo!

Na pia wachezaji hawajapona sawa sawa Km Terry Hazard na Etoo Ndio maana walikua wazito vile!

Anyway! ATM wako vzr na walistahili kushinda walikontroo game na wachezaji vzr kabisa kiasi kwamba mazara wao hawakupata sn!
ila pia ni jukumu la kocha kuwaanda wachezaji wawe fiti kisaikolojia na kuwamotivate ili wacheze poa, nakumbuka msimu uliopita kuna mechi moja wakati adebayor ameenda kwa mkopo madrid mourinho alimfuata adebayor akamwambia kabla ya mechi leo utashinda magoli mawili na kweli adebayor alitupia goli mbili na zote zillkuwa za kichwa,pia kumbuka alivyokuwa ana wapraise wachezaji wake wakati yupo inter kwa mfano cessar alikuwa anasema kwamba ni best keeper in the world n.k au ile chelsea ile mara ya mwanzo ilikuwa inasaidia sana mchezaji kujiona im the beset hivyo kujituma sana.
 
Waliosema "if it ain't broke, don't fix it" hawakukosea. Bayern was just fine with their style. Kabla ya Jupp Heynckes, Bayern walikuwa wanacheza style ya kumiliki mpira inayofana kama ile ya Barcelona. Style hiyo ilianzishwa na Louis van Gaal ambaye anadaiwa kuwa atakuwa manager wa Man Utd. The style was so beautiful lakini hawakushinda chochote.

Alipoingia Jupp Heynckes akaongezea style ya gegenpressing. Kwa hiyo wakawa wanacheza both gegenpressing na tiki-taka styles kulingana na style ya timu pinzani. Pep alipokuja, akaja na style ya Barcelona au niseme ya Spain na kuua gegenpressing.

I think style ya Barca ya tiki-taka itakufa soon. Kama umeangalia mechi za Barcelona, Arsenal na Bayern hivi karibuni, timu pinzani zimegundua a tactical approach ambayo inaweza ku-dominate tiki-taka style. Real Madrid did exactly that against Bayern.

I think the future style itakuwa "gegenpressing". Tiki-taka style ya Barcelona na labda Arsenal ina-press teams as much as high up the pitch. Lakini ukikutana na timu ambazo ni ultra-organised and ultra-committed lazima utapigwa bao nyingi au unaishia kupiga pasi ambazo hazikusogezi mahali. Umeona goli walizopigwa Arsenal na top teams msimu huu?

Gegenpressing style ina-focus zaidi kwenye organisation na commitment ya ku-defend na kushambulia kwa wakati mmoja tena kwa haraka. Jürgen Klopp anakwambia in gegenpressing style, the ball is played very "fast and accurately". Diego Simeone nae naona kama ameifanya A. Madrid kuachana na tiki-taka.

Ukitaka kuona jinsi gegenpressing inavyochezwa, cheki movements kwenye goli la kwanza la Dortmund dhidi ya Malaga kwenye robo fainali ya champions league (second league) mwaka jana. Gegenpressing inahitaji kila mchezaji acheze tirelessly hata kama timu yake haina mpira. So, wachezaji kama Mata na Silva will struggle b'se they are effective only when their teams have the ball.

Ukiwasoma wachangiaji wengi hapa jukwaani na kitaa wanapenda zaidi style ya tiki-taka. They think is attractive and sexy. Ndiyo maana some were lost in translation, Hazard aliposema kuwa Chelsea hawachezi tiki-taka style. Walidhani alikuwa anaikosoa Chelsea kwa kutocheza tiki-taka.

I am not saying that Chelsea play gegenpressing football because they can't. Hawana wachezaji who are faster and accurate enough to do that. Chelsea don't have devastating finishing players.

Barcelona imewafanya watu wengi kuamini kuwa tiki-taka is the best style of playing football. Inawezekana lakini timu nyingine zimeshajua jinsi ya kukabiliana na tiki-taka.

Tikataka is overrated and boring, Guardiola akiendelea namna ile atafukuzwa kazi huko Bavaria mapema sana.

Wanachokosea watu ni kufikiri kuwa kucheza mpira mzuri kila team lazima icheze kama Barca, Bayern au Arsenal, which is wrong, kila team iachwe icheze mpira wenye manufaa kwao as long as hawavunji sheria za soccer.
Ukiweka msisitizo kwenye defense utaambiwa ni ant-football/ negative football sijui, but what about the art of defending? Strikers win games, defenders and goalkeepers win championships.
 
Ni contradiction kwa kichwa kilichojaa H2O...

kama chako....maanake unasema Mourinho hawezi kupata kazi sehemu kama barnebeu na wakati huo huo wewe mwenyewe unakubali kashafanya kazi pale sasa huoni kama unaji-contradict??? nafikiri obvious hapa kichwa kipi kimejaa R-OH kama sio h2o
 
I beg to differ with you re Rafa Benitez when it comes to Europe. Rafa can never be belittled to the extent that you are doing now. To most neutrals, he's got that European pedigree which his peers can't get any closer to without the oil money or oligarchy riches. He's simply the master of Europe.

I stand to be corrected but as far I recall your Mourinho has never progressed head to head past Rafa in Europe - I will quickly add "despite Rafa's starting eleven costing a minute fraction to that of Mourinho's".

No great club (I mean GREAT) will enrol Mourinho as their coach. Honestly, I was extremely surprised to see Real Madrid hire him back then but I eventually came to understand they did it out of desperation and frustration at Barca's perpetually peerless domination. RM are now reflecting back with regret but they have learnt their lesson (the hard way)!

Mourinho's reputation will never land him a job at established traditions like Anfield, Emirates, Old Trafford, Bernabeu, Camp Nou, Allianz Arena and the likes. No vacancy.

Simply put,the guy has no class. Zilch!

Utaniambia haijalishi as long as anapata mafanikio.....but I have seen rich girls here in town but do you know the source of their riches? Some get laid, some are dope traffickers, you name it!

Hahahahahaha. What a waste of time to discuss someone who you strongly believe that s/he has no "class".

"At this moment, football is full of philosophers. People who understand much more than me. People with fantastic theories and philosophies. It's amazing." - Mourinho.
 
Pengine hata jamaa hajui kuwa alishafanya kazi Camp Nou hata kama ilikuwa ni ku-translate.

Halafu kuna tofauti kati ya kujadili the person himself and his style of coaching.

Jamaa anaonekana kama ana bifu na Mourinho himself rather than his style of coaching.

Chezea "football philosophers" wewe?
 
hajui hata alichoandika ndio maana anatokwa povu.
 
kama chako....maanake unasema Mourinho hawezi kupata kazi sehemu kama barnebeu na wakati huo huo wewe mwenyewe unakubali kashafanya kazi pale sasa huoni kama unaji-contradict??? nafikiri obvious hapa kichwa kipi kimejaa R-OH kama sio h2o

Acha kukurupuka...soma last statement kwenye para 3 ya post yangu.

I do understand though....it's the H2O syndrome at it again!!
 
Hahahahahaha. What a waste of time to discuss someone who you strongly believe that s/he has no "class".

"At this moment, football is full of philosophers. People who understand much more than me. People with fantastic theories and philosophies. It's amazing." - Mourinho.

Why discuss the classless? To stop the classless infection from Mourinho's blind sympathisers...
 
I beg to differ with you re Rafa Benitez when it comes to Europe. Rafa can never be belittled to the extent that you are doing now. To most neutrals, he's got that European pedigree which his peers can't get any closer to without the oil money or oligarchy riches. He's simply the master of Europe.

I stand to be corrected but as far I recall your Mourinho has never progressed head to head past Rafa in Europe - I will quickly add "despite Rafa's starting eleven costing a minute fraction to that of Mourinho's".

No great club (I mean GREAT) will enrol Mourinho as their coach. Honestly, I was extremely surprised to see Real Madrid hire him back then but I eventually came to understand they did it out of desperation and frustration at Barca's perpetually peerless domination. RM are now reflecting back with regret but they have learnt their lesson (the hard way)!

Mourinho's reputation will never land him a job at established traditions like Anfield, Emirates, Old Trafford, Bernabeu, Camp Nou, Allianz Arena and the likes. No vacancy.

Simply put,the guy has no class. Zilch!

Utaniambia haijalishi as long as anapata mafanikio.....but I have seen rich girls here in town but do you know the source of their riches? Some get laid, some are dope traffickers, you name it!

hujui maana ya contradiction?? para ya tatu umesema kashapata kazi RM.....then para inayofuata unasema hawezi kupata kazi sehemu fulani fulani ikiwemo RM.....SASA HUONI UNAJICONTADICT???

wewe ndio kichwa maji hapa ndio maana huna hoja unatokwa povu tu.
 
Acha kukurupuka...soma last statement kwenye para 3 ya post yangu.

I do understand though....it's the H2O syndrome at it again!!

jipange acha kuandika bila kujua unaandika nini....hio para ya tatu unasema kashafanya kazi RM...then para inayofuata unasema hawezi kupata kazi sehemu kama RM sasa huoni unajichanganya.
 
hujui maana ya contradiction?? para ya tatu umesema kashapata kazi RM.....then para inayofuata unasema hawezi kupata kazi sehemu fulani fulani ikiwemo RM.....SASA HUONI UNAJICONTADICT???

wewe ndio kichwa maji hapa ndio maana huna hoja unatokwa povu tu.

Du..kazi ninayo. Soma para 3 yote halafu niambie ambacho hujaelewa.
 
Why discuss the classless? To stop the classless infection from Mourinho's blind sympathisers...

With your "fantastic footballing theories and philosophies" definitely you will stop the spread of the infection.

If you expected Mourinho to entertain you with some "Hollywood football", then probably ulikosea. Your better stick with Wenger.
 
[FONT=open_sanslight]Chelsea have agreed a deal for Tottenham star Paulinho, and will look to make it official before the end of the season, according to reports in Brazil.[/FONT]
[FONT=open_sanslight]The Metro, citing claims made by Brazilian source Lancenet, relays that the creative midfielder is set to join the likes of Willian, Oscar and David Luiz at Stamford Bridge before the World Cup, as Jose Mourinho wants the deal finalised as soon as possible. Though not mentioning a specific sum, the Metro states that an agreement was reached in the last few days, and that Paulinho is expected to sign on officially before the World Cup kicks off.[/FONT]
[FONT=open_sanslight]The 25-year-old made headlines at the Confederations Cup last year, but has failed to significantly make an impact at White Hart Lane and hasn't justified the money Andre Villas-Boas spent on him. The likes of Roma and Real Madrid have also been named in connection with purchasing him at some point in the near future, but it would appear that Chelsea have now won the race.[/FONT]
[FONT=open_sanslight]If the reports are true then it will surely mean that Mourinho is planning on selling one or more of the midfielders he currently has at his disposal. Whilst having a plethora of options isn't necessarily a bad thing, the fact that there are almost ten players vying for a spot in the same position at the west London club will certainly mean that the Portuguese boss is set to reevaluate his squad.[/FONT]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom