Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

article-0-1D7C82E500000578-226_634x504.jpg

At least John Terry alikuwepo akishangilia...

article-0-1D7C3DA900000578-6_634x494.jpg

unfair!

10245443_1030577690315780_4726818866483265344_n.jpg

1609730_1030507616989454_2776288803197396648_n.jpg

10252036_1030489900324559_2545987158296609814_n.jpg

TRUE FANS...

10170997_1030419053664977_5647253369191908500_n.jpg

#RESPECT

10289797_1030371020336447_8727930837574756071_n.jpg
 
kwanini wewe hukuwabana kina Arda, Diego, philipe luiz, Adrian na kina Tiago wasilete madhara kwako???

Hao ATM, akina Messi na Ronaldo huwa wanashindwa kufurukuta, sembuse kina Hazard hao???

nDIYO maana hakuna shabiki aliyelalamika! We took the deteat like men...not cry babies!
 
Lost in translation. Wengine wanadai alichosema ni kuwa "Chelsea are not set up to play tiki-taka football..."

Hata hivyo ni yeye mwenyewe alisababisha goli la kwanza na la tatu kwa ku-switch off.

Wewe si ulikuwa unamponda Mata kuwa hawezi kusaidia kukaba kama hao midfielders wa Chel$ki$ waliobaki?

Umeona jinsi Maureen asivyo mwalimu wa soka?!? Utalazimishaje offensive minded player kuwa defensive?

Mwalimu mzuri wa soka ni yule ambaye anajua kumake the most out of a player's talents.
 
Last edited by a moderator:
Alafu Km Goli Zai ni makosa ya wachezaji Wa Chelsea kusahau watu! Goli la kwanza na tatu ni makosa ya wachezaji wenyewe!

Come on bagheshi man up!

Katika soka siku zote goli ni matokeo ya makosa ya timu iliyofungwa. Wengine usema soka ni mchezo wa makosa.

Ukikosea tu, wenzako wanakukalisha.

Acha kulialia kama mungu wenu Maureen.
 
Kila mmoja Yuko Huru kutoa maoni Na pia maudhui ya hiyo Habari hayajakaa sawa! Hiyo Habari imetiwa chumvi Na waandishi Wa Habari! Huwezi chukua sentesi moja ya Hazard then ukaja na Habari kwamba Hazard anaponda mpira Wa Jose!
hahahah sawa mkuu mimi nilitaka nisikie maoni yako tu,na vipi hiyo kauli yake ya pili kusema kwamba
i cant do it all by myself huoni kwamba hamna teamwork kwenye timu yenu?
 
thats why Brendan Rodgers anakwambia "it's not diffcult to coach 10 players in the 18 yard box" kwa misingi hiyo ana maanisha ni kazi ngumu mnooo kuwafundisha wachezaji 10 wacheze uwanja mzima.
sure mkuu sasa hivi ndo naanza kuona kwamba mourinho hakuwa kocha sahihi wa madrid
 
sawa kwasababu leo kulikuwa hakuna matokeo ya sale so tumekubali kufungwa na timu bora kabisa ulaya.....!?
leo ndo mmejua kwamba timu bora ulaya naamini mngepaka kikosi sahihi kidogo mngeweza kukurukuta tofauti na selection aliyofanya mourinho ya hovyo kabisa kujaz defensive players uwanjani na kuwaacha attack minded players kwenye benci akina shurle na oscar
 
Wewe si ulikuwa unamponda Mata kuwa hawezi kusaidia kukaba kama hao midfielders wa Chel$ki$ waliobaki?

Umeona jinsi Maureen asivyo mwalimu wa soka?!? Utalazimishaje offensive minded player kuwa defensive?

Mwalimu mzuri wa soka ni yule ambaye anajua kumake the most out of a player's talents.

Yes, I hate players who cannot back-track or who switch off.

Najua unajua hata Faggie used to hate these sort of players.

Wala siyo kulazimiasha offensive players kuwa defensive.

Kama right back akipanda basi left wing asi-backtrack au a-switch off simply because yeye ni offensive minded?

Kwa staili hiyo basi hata mabeki wasiwe wanashambulia kwa sababu wao ni defensive minded?
 
hahahah sawa mkuu mimi nilitaka nisikie maoni yako tu,na vipi hiyo kauli yake ya pili kusema kwamba
i cant do it all by myself huoni kwamba hamna teamwork kwenye timu yenu?

Tuko na timu work sn! Lkn Km umefatila game ya Jana utagundua Chelsea walikua chini ya kiwango chao hasa Kipindi cha pili na hasa kiakili wachezaji hawakua saws na yote hayo ni kutokana na kuifikiria sn hiyo game! Walikosa kitu fulani na Ndio matokeo yakawa hivyo!

Na pia wachezaji hawajapona sawa sawa Km Terry Hazard na Etoo Ndio maana walikua wazito vile!

Anyway! ATM wako vzr na walistahili kushinda walikontroo game na wachezaji vzr kabisa kiasi kwamba mazara wao hawakupata sn!
 
Katika hii post...maneno yapo kwenye hiyo para ya mwisho...kwingine kote ni kulialia kusiko na sababu.

Sasa kama hawakuwa fit walichezeshwa ili? Si walipasi fitness test? Au kuna standard hapo Chel$ki$ za fitness test?

Suala la kuwa eti wachezaji walikuwa mentally unfit kwa kuwa walifikiri sanahii game, ni kichekesho! Timu za Ulaya uwa zina watu wa saikojia, hapo Chel$ki$$ki$ hayupo? Piaimeshakuwa
 
Somehow selection ya Mou jana ilikuwa na fault kwanza first team then sub!

Mimi ningemweka Oscar na Schurrle in place of Azp na Ramires.

Sub ya Eto'o ilifanyika mapema mno! And kama alitaka more attack angeanza na Ba with Torres in...na sio kumtoa Torres.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom