inaonyesha Morinho anawamini mabeki sana na ushambuliaji anayemuamini ni Hazard tu Torres kaanzishwa basi ingekuwa Mikel na Lampard sio Card angeanza na hao sababu wanazuia mpira inaonyesha mpira na fikra za Morinho ni zipi Hana tena Yule striker wa kumpigia Cross Kichwa bao Kama Drogba anahitaji Cavani au Falcao ni si Diego Costa! Ni kweli Oscar na Shurler walikuwa wacheze, Rafael Benitez pale Chelsea Ana More Europe Cup than Morinho Fact.
Sidhani kama anawaamini zaidi mabeki bali tuu ni style yake. Huwa anajenga timu kuanzia nyuma kwenda mbele wakati watu kama akina Pep Guardiola anaanzia mbele kurudi nyuma.
Kila staili ina faida na hasa zake. Hasara za kila staili tumeziona kwa Chelsea jana na kwa Bayern juzi. Ukifocus zaidi kwenye ku-defend, hutafunga magoli. Pia ukifocus zaidi kwenye kushambulia unaweza kufungwa magoli mengi. It would seem that the best approach ni ku-balance kotekote, japokuwa hii nayo inategemea unacheza dhidi ya timu gani. A. Madrid did this last night.
Kuhusu Mourinho kuhitaji striker kama Cavani au Falcao, I think the former is overrated. The latter hajasikika tena tokea aondoke A. Madrid. Hata Diego Costa sijaona ukali wake sana. Halafu anaonekana kama ni mtu mwenye mahasira and Premiership defenders would love to bully him.
Kuhusu Rafa kuwa na more Europa cups than Mourinho, the latter alishasema kuwa winning the Europa League would be a "disappointment" to him.
Champions League is the only European competition every top manager/club wants to play. Akamalizia "I don't want my players to feel the Europa League is our competition."
Hata Sir Alex Ferguson angekuambia hivyo hivyo. Nakumbuka wakati Man Utd ilipocheza kwenye Eropa League Ferguson alikuwa anaonekana kama hataki awepo uwanjani.
Lakini kwa Rafa he has made his players to feel that the Europa League is their competition. Maana nasikia mwaka huu tena yupo huko Europa League. Personally, I don't follow the Europa League either.
So, pamoja na style yake still Mourinho is one of the successful managers out there. Wenger plays "sexy football" lakini haijafika mahali in terms of winning titles.
Pili kama siyo yeye wala usingepoteza muda wako kuandika uliyoandika. He makes you to have something to write about football. Kama alivyosema mwenyewe, he makes you to feel that you are one of the "philosophers" in football.
🙂