Its a bad day for the fans ila hata kama tungevuka tusingefika popote pale
Kauli tata za hazard: 'chelsea were not made to play football'
'i can do it all myself'
Ntuzu embu naomba uje uzichambue hizi kauli za hazrd baada ya mechi ya jana alikuwa akimaanisha nini hasa
That is exactly what happens if you don't play football! Morinyo inabidi abadilike,huu sio wakati wa kushinda mechi kimagumashi
Kinyago cha kombe mtabeba tu hatuna namna ya kuwazuia!
Kila mmoja Yuko Huru kutoa maoni Na pia maudhui ya hiyo Habari hayajakaa sawa! Hiyo Habari imetiwa chumvi Na waandishi Wa Habari! Huwezi chukua sentesi moja ya Hazard then ukaja na Habari kwamba Hazard anaponda mpira Wa Jose!
Kauli tata za hazard: 'chelsea were not made to play football'
'i can do it all myself'
Ntuzu embu naomba uje uzichambue hizi kauli za hazrd baada ya mechi ya jana alikuwa akimaanisha nini hasa
Hivi weye unashabikia timu gani? Maana huchemi isije ikawa ile timu ya vichochoroni khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Lost in translation. Wengine wanadai alichosema ni kuwa "Chelsea are not set up to play tiki-taka football..."
Hata hivyo ni yeye mwenyewe alisababisha goli la kwanza na la tatu kwa ku-switch off.
Naona Leo imekua sherehe! The best Team has Lost.
Watu weweeeeeeeeeee!
BeiN sport ilimquote "Chelsea are not made to play football, we're good on the counter, a little bit like Real agaist Bayern"
Pia Ed Aaron wa The Guardian, aliquote maneno mengine ya Hazard na aliyapost twitter "often, i'm asked to do it all by myself and its not easy"...maneno kama hayo yanaonesha kabisa kuwa Hazard hazifurahii tactics za kocha wake!
The best team? Ntuzu pls man!The beast team has been dismantled perfectly!
May 24 tunajiandaa kuona soka la kuvutia sio kama Chelsea ingeshinda ingekuwa inasubiri penati!
Mmeanza na uongo wenu! Juzi amekuja Anfield kawafunga mkakosa la kusema na kuanza kulala kua kapaki basi na WAKATI ni kosa la kocha wenu kuwambia Loserfool kushambulia na WAKATI wangecheza kwa kulinda goli Lao na umakini ata DROO wangepata! Mbinu Zake Jose zikifanikiwa mnakosa la kusema!
ATM walijiandaa vzr tu na walihakikisha Hazard na Willian hawaleti mazara yoyote yale! Na pale Kati wakawa wanatibua tu! Ndio maana Hazard na William na Ramires na Torres washindwa kuonesha cheche!
Alafu Km Goli Zai ni makosa ya wachezaji Wa Chelsea kusahau watu! Goli la kwanza na tatu ni makosa ya wachezaji wenyewe!

Wakuu mi nimekubali Hali iliyotokea Darajani! Kuna mengi naweza sema Lkn ktk Goli mbili ukiacha lile la penati ni makosa ya wachezaji Wa timu Yangu!
ATM walistahili kushinda! Kipindi cha pili tumecheza hovyo kabisa!
ila mi nahisi alikuwa ana switch position kwa sababu mwanzo aliwekwa acheze kama namba kumi na yeye huwa mzuri akitokea pembeni either kushoto au kulia hasa kushoto .Lost in translation. Wengine wanadai alichosema ni kuwa "Chelsea are not set up to play tiki-taka football..."
Hata hivyo ni yeye mwenyewe alisababisha goli la kwanza na la tatu kwa ku-switch off.