Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kuna taarifa kuwa mabasi ya Maureen yamepata ajali mbaya. Tutawahabarisha tu. tutawahabarisha zaidi juu tukio hili tutakapopata tena mawasiliano na mwanahabari wetu Ntuzu aliyepo eneo la ajali.


Hallo hallo Ntuzu..

Bado mawasiliano ni mabaya. Wasikilizaji wetu tunamsubiri ndugu Ntuzu atupe habari za uhakika.
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Kuna taarifa kuwa mabasi ya Maureen yamepata ajali mbaya. Tutawahabarisha tu. tutawahabarisha zaidi juu tukio hili tutakapopata tena mawasiliano na mwanahabari wetu Ntuzu aliyepo eneo la ajali.


Hallo hallo Ntuzu..

Bado mawasiliano ni mabaya. Wasikilizaji wetu tunamsubiri ndugu Ntuzu atupe habari za uhakika.

nimevutiwa sana na ubunifu huu
 
Mpira wa sasa hauhitaji ngekewa eti unaenda uwanja wa mwenzako unashusha contena na kutumia nguvu nyingi kuzuia mpinzani asifunge kwa minajiri kwamba utamfunga atakapokuja uwanja wako wa nyumbani ndio wewe umfunge hapanaa!!
Wewe tumia nguvu nyingi kushusha kontena huku ukikumbuka pia ukifika uwanja wako wa nyumbani utatumia pia nguvu kubwa kusawazisha magoli bila mafanikio, Vijana wa sasa dizaini ya Akina Diego Simione na Jurgen Clop hawaangalii wanachezea wapi wanachotaka ni matokeo sasa we endelea tu kuparki basi but siku ukifunguka tu ndipo hapo watu wanakubandua tehtehtehtehtehtehtehtehtehtehtehtehteh!
By the way kama sijakosea Atretic ndiyo timu pekee ambayo haijafungwa mpaka sasa so haikuwa timu ya kubeza kama mlivyokuwa mnajiaminisha na wenzako humu ndani.

Jose Mourinho has now knocked out 6 times in the Semi-finals katika Champions League, more than any other coach kwenye history ya UCL.
 
article-2551087-1B2D61C200000578-449_1024x615_large.jpg
 
STASTISTICS.
Jose mourinho kashinda makombe makubwa 2 kati ya 14 aliyowania ndani ya miaka 4 huku akiwa ametumia paund mil 272 za usajili
 
We acha tu mi hua sifurahii tambo za josee ila leo imenibidi nifurahie baada ya kugundua kua maneno yake yote hua yamejificha ndani ya bus na ukifanikiwa kulibomoa kwisha kazi, hebu fukuzeni huyo jamaa aungane na moyez huko aliko anatia aibu bana.


Hatuwezi kumfukuza Mkuu! Yeye ni bora kuliko moyes!
 
master tactician kwa kupaki basi?? Hata luga wa simba hana mpira huo?? Hii tabia ya kuwaaminisha wachezaji kupaki basi ni kuzuri ni kuwaua uwezo wao kwamba hawawezi kucheza vizuri dhidi ya timu fulani so ushindi wao ni kupaki basi tu kwangu mimi hii ni tactic mbovu kabisa ya manager.

thats why Brendan Rodgers anakwambia "it's not diffcult to coach 10 players in the 18 yard box" kwa misingi hiyo ana maanisha ni kazi ngumu mnooo kuwafundisha wachezaji 10 wacheze uwanja mzima.
 
chelsea wanaenda final lisbon, kabla ya gemu ya jana special one alinukuliwa akisema tutashinda mechi zote mbili muhimu ya liverpool na nusu fainal waandishi wakambeza jioni ya jana walifyata mkia.
Chelsea wanaenda wapi?

"Jamaa" mmoja baada ya mechi 0-0 kule Spain alisema wanahitaji kushinda mechi mbili tu na kombe linatua Darajani kiulaini.

Huku mtaani bana Raj Patel anasema "domo jumba ya maneno".

Leo nani kaufata? Kaufyata? au Kafa?
 
Kuna taarifa kuwa mabasi ya Maureen yamepata ajali mbaya. Tutawahabarisha tu. tutawahabarisha zaidi juu tukio hili tutakapopata tena mawasiliano na mwanahabari wetu Ntuzu aliyepo eneo la ajali.


Hallo hallo Ntuzu..

Bado mawasiliano ni mabaya. Wasikilizaji wetu tunamsubiri ndugu Ntuzu atupe habari za uhakika.

tehtehtehtehtehteh umetisha mkuu ngoja tuendelee kumsubiria huyo reporter.
 
Basi la kamba lilikatika baada ya dakika 60. Chelsea na Mourinho watajilaumu kwa nini walimruhusu golikipa wa Atletico acheze dhidi ya timu mama yake(Chelsea).
 
Namtafuta ndugu yangu Ntuzu jamani tangu jana hajaonekana.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Mbu
Msomeni alivyosema Eden Hazard juu ya mpira afundishao Mourinho

Eden Hazard criticises Chelsea tactics

Eden Hazard became the latest critic of Jose Mourinho's tactical methods after Chelsea exited the Champions League on Wednesday night.
soc_a_hazard_b1_288x162.jpg
AP Photo/Matt DunhamEden Hazard is not fully on board with Jose Mourinho's defensive tactics.


• Delaney: The rise of Simeone
• Brewin: Three things

The Blues were criticised for defensive tactics employed in the semifinal first leg at Atletico Madrid and in the Premier League win at Liverpool before tumbling out of Europe following a 3-1 home loss.

And Hazard, who managed three shots and led the Blues with two on target on Wednesday, expressed his dissatisfaction after the second leg.

"Chelsea aren't set up to play football. Chelsea are set up to counter-attack," Hazard told beIN Sports' French station.

Jose Mourinho introduced the term "parking the bus" into English football nearly a decade ago while complaining about Tottenham's defensive tactics. Now he's regarded as the ultimate exponent of that approach, sitting players back and waiting to counter.

His team failed to score in a drab goalless draw in the first draw against Atletico, but the same tactics worked brilliantly in a 2-0 defeat of Premier League leaders Liverpool on Sunday.

Mourinho stuck by his philosophy last week, saying, "Atletico were frustrated, whereas usually they are the ones who frustrate other teams. My side had a solid performance, we played in a way that irritated them."

The tactics irritated pundits as well, but Mourinho's decisions were defended by Andre Schuerrle and Mark Schwarzer, as well as Atletico manager Diego Simeone.

After Wednesday's punishing defeat, though, Hazard's comment shows a lack of solidarity behind Mourinho's philosophy.
Eden Hazard criticises Chelsea tactics of Jose Mourinho parking the bus - ESPN FC

Mourinho aanze kusaka ajira mpya.
 
Nahisi bus lilikatika breki kabla hata halijafika Darajani!Is Mou certified mechanics?I dont think so maana pamoja na kulikagua bus limetumbikia Darajani ahahaha
 

Attachments

  • 1398915339402.jpg
    1398915339402.jpg
    47.1 KB · Views: 104
Kauli tata za hazard: 'chelsea were not made to play football'

'i can do it all myself'

Ntuzu embu naomba uje uzichambue hizi kauli za hazrd baada ya mechi ya jana alikuwa akimaanisha nini hasa
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom