Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hizo formation zake zikikubali, basi ndo misukule yake ndo inaanza kumwita "master tactician"

master tactician kwa kupaki basi?? Hata luga wa simba hana mpira huo?? Hii tabia ya kuwaaminisha wachezaji kupaki basi ni kuzuri ni kuwaua uwezo wao kwamba hawawezi kucheza vizuri dhidi ya timu fulani so ushindi wao ni kupaki basi tu kwangu mimi hii ni tactic mbovu kabisa ya manager.
 
Wakuu mi nimekubali Hali iliyotokea Darajani! Kuna mengi naweza sema Lkn ktk Goli mbili ukiacha lile la penati ni makosa ya wachezaji Wa timu Yangu!


ATM walistahili kushinda! Kipindi cha pili tumecheza hovyo kabisa!

Mpira wa sasa hauhitaji ngekewa eti unaenda uwanja wa mwenzako unashusha contena na kutumia nguvu nyingi kuzuia mpinzani asifunge kwa minajiri kwamba utamfunga atakapokuja uwanja wako wa nyumbani ndio wewe umfunge hapanaa!!
Wewe tumia nguvu nyingi kushusha kontena huku ukikumbuka pia ukifika uwanja wako wa nyumbani utatumia pia nguvu kubwa kusawazisha magoli bila mafanikio, Vijana wa sasa dizaini ya Akina Diego Simione na Jurgen Clop hawaangalii wanachezea wapi wanachotaka ni matokeo sasa we endelea tu kuparki basi but siku ukifunguka tu ndipo hapo watu wanakubandua tehtehtehtehtehtehtehtehtehtehtehtehteh!
By the way kama sijakosea Atretic ndiyo timu pekee ambayo haijafungwa mpaka sasa so haikuwa timu ya kubeza kama mlivyokuwa mnajiaminisha na wenzako humu ndani.
 
Mkuu nilikuwepo nasoma tu comment zenu!

Sawa bana, poleni kwa kibano ila kinachowagharimu nyinyi ni maneno maneno yenu na huyo josee, mngekua watulivu wala msingechekwa kiasi hiki.
 
Timu yako haikafika Semi final ya Champions League kwa kuwa mnamapungufu kuliko Chelsea,
ATL ni wazuri ndio sababu wanaongoza ligi yao na pia wamefika Fainali,
we were not at our best ,ATLETICO walistahili ushindi,
KTBFFH..
 
Timu yako haikafika Semi final ya Champions League kwa kuwa mnamapungufu kuliko Chelsea,
ATL ni wazuri ndio sababu wanaongoza ligi yao na pia wamefika Fainali,
we were not at our best ,ATLETICO walistahili ushindi,
KTBFFH..

Asante kwa maneno mazuri yenye busara
 
hawana plan ila ya kupaki basi leo wameonyeshwa hakuna cha terry wala ba
 
Wakuu mi nimekubali Hali iliyotokea Darajani! Kuna mengi naweza sema Lkn ktk Goli mbili ukiacha lile la penati ni makosa ya wachezaji Wa timu Yangu!


ATM walistahili kushinda! Kipindi cha pili tumecheza hovyo kabisa!

Pole Mkuu, Kuna mtu akaniambia Ukivaa jezi kama za Sunderland tu, basi daraja linamong'onyoka lenyewe.
 
Daraja la makuti halikupi shida siku zote ukiwa na Kiberiti tu umemaliza kazi huna haja ya kuhangaika sana.
 
ImageUploadedByJamiiForums1398894469.025144.jpg
 
Khe Khe Khe Khe Khe

Aaaaaaaaaah! Aise mna maneno nyie!

We acha tu mi hua sifurahii tambo za josee ila leo imenibidi nifurahie baada ya kugundua kua maneno yake yote hua yamejificha ndani ya bus na ukifanikiwa kulibomoa kwisha kazi, hebu fukuzeni huyo jamaa aungane na moyez huko aliko anatia aibu bana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom