Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

The last time Liverpool played here[ANFIELD] Gerrard was caught on camera telling the players: "This does not slip now."

BUT YESTERDAY he was the one who made it 'slip'.
ha ha ha ha ha.

27April 2014.

ha ha ha ha....of all people he is the one who let it slip away!!!! ubingwa inabidi uuzoee ndio upata sasa kuanzia kocha wao hadi wachezaji hawajawahi kushinda EPL lazima wachachawe.
 
hakuna 'farmation' ya 9-0-1 acha kumpotosha mwanao Kelvin ..🙂

Jamani maureen ndo alitumia mfumo wa mechi ya Atm na jana second half kwa hiyo formation ya kuweka behewa unapotezaga ladha ya mpra nashangaa unakana hamna formation hiyo wakati huwa anatumia kocha wenu pekee ktk ulmwengu wa soka.
 
Mechi zote mbili tumecheza: 4-3-3 mkubwa acha kumdanganya mwanao Kelvin.

wazee wa kuanguka anguka ovyo.
Jamani maureen ndo alitumia mfumo wa mechi ya Atm na jana second half kwa hiyo formation ya kuweka behewa unapotezaga ladha ya mpra nashangaa unakana hamna formation hiyo wakati huwa anatumia kocha wenu pekee ktk ulmwengu wa soka.
 
Waambie hao wazee wa kujiangusha, alidhani angepewa penati.
ha ha ha ha....of all people he is the one who let it slip away!!!! ubingwa inabidi uuzoee ndio upata sasa kuanzia kocha wao hadi wachezaji hawajawahi kushinda EPL lazima wachachawe.
 
Jamani maureen ndo alitumia mfumo wa mechi ya Atm na jana second half kwa hiyo formation ya kuweka behewa unapotezaga ladha ya mpra nashangaa unakana hamna formation hiyo wakati huwa anatumia kocha wenu pekee ktk ulmwengu wa soka.

Unamaanisha nini hapo kwenye rangi ya liverpool?
 
Jamani maureen ndo alitumia mfumo wa mechi ya Atm na jana second half kwa hiyo formation ya kuweka behewa unapotezaga ladha ya mpra nashangaa unakana hamna formation hiyo wakati huwa anatumia kocha wenu pekee ktk ulmwengu wa soka.

wakati wa goli la 2 kulikuwa na wachezaji 2 wa Chelsea wakielekea golini kwa LFC. lakini hakukuwa na Gerrard aliogopa kujifunga.🙂
 
Waambie hao wazee wa kujiangusha, alidhani angepewa penati.

yaani babu angebaki hili kombe tungekuwa mpaka dakika hii tushalitetea maanake timu zinazogombea hili kombe zote zinambwelambwela tu hamna consistency!!!mara huyu kafungwa na palace,mara huyu draw na sunderland tena wanajikwaa kwenye 'home straight' ya marathon....dah hili lingekuwa kombe la 21!! SAMAHANI LAKINI.
 
Jamani maureen ndo alitumia mfumo wa mechi ya Atm na jana second half kwa hiyo formation ya kuweka behewa unapotezaga ladha ya mpra nashangaa unakana hamna formation hiyo wakati huwa anatumia kocha wenu pekee ktk ulmwengu wa soka.

FORMATION ANAYOTUMIA SPECIA ONE NA IPO KWENYE FORMATION ZINAZOJULIKANA KITAALAMU.4–3–2–1 (the "Christmas Tree" formation)

4-3-2-1.gif

NYINGINE ANGALIA HAPO CHINI

4–4–2 formation

422px-Association_football_4-4-2_formation.svg.png

4-3-3 formation

432px-Association_football_4-3-3_formation.svg.png

4-4-2 diamond formation

432px-Association_football_4-4-2_diamond_formation.svg.png

4-4-1-1 formation

432px-Association_football_4-4-1-1_formation.svg.png

5-3-2 formation

432px-Association_football_5-3-2_formation.svg.png

5-3-2 sweeper formation

432px-Association_football_5-3-2_sweeper_formation.svg.png

3–4–3 formation
417px-Soccer_formation_3-4-3.svg.png

3–5–2 formation

3-5-2DV.jpg

3–6–1 formation

3-6-1.jpg

4–5–1 formation
432px-Association_football_4-5-1_formation.svg.png

4–2–3–1 formation

432px-Association_football_4-2-3-1_formation.svg.png

5–4–1 formation

432px-Association_football_5-4-1_formation.svg.png
 
Jamani maureen ndo alitumia mfumo wa mechi ya Atm na jana second half kwa hiyo formation ya kuweka behewa unapotezaga ladha ya mpra nashangaa unakana hamna formation hiyo wakati huwa anatumia kocha wenu pekee ktk ulmwengu wa soka.
Baba Kelvin kajipangeni tu muombee City wapoteze points kwenye mechi zilizobaki,na nyinyi msipoteze point hata moja.
Kuna mechi walicheza United na Chelsea OT Mourinho baada ya mechi akasema hata wangecheza wiki nzima man utd wasingepata goli,na ni kweli na jana hata mngecheza siku mbili msingefunga ila mngefunwa nyinyi tu.

Mkishaanza kupiga long balls/aerial ball against Chelsea there is only one winner,Liverpool walikuwa too slow by the time wanafika golini Chelsea 10 wote washarudi nyuma ya mpira,walichotakiwa Liverpool kufanya ni kuongeza speed kama alivyofanya Sterling mara chache kipindi cha kwanza.
 
Last edited by a moderator:
yaani babu angebaki hili kombe tungekuwa mpaka dakika hii tushalitetea maanake timu zinazogombea hili kombe zote zinambwelambwela tu hamna consistency!!!mara huyu kafungwa na palace,mara huyu draw na sunderland tena wanajikwaa kwenye 'home straight' ya marathon....dah hili lingekuwa kombe la 21!! SAMAHANI LAKINI.

unawaumiza LFC mkuu RRONDO.
maana wao walikwa mabingwa mara 18, waka 'slip' hadi mmefikisha 20.

ha ah haa..

Wafundishe mkuu RRONDO ingawa wewe ni MAN GIGGS lakini ukweli unaujua.

🙂:clap2:
Baba Kelvin kajipangeni tu muombee City wapoteze points kwenye mechi zilizobaki,na nyinyi msipoteze point hata moja.
Kuna mechi walicheza United na Chelsea OT Mourinho baada ya mechi akasema hata wangecheza wiki nzima man utd wasingepata goli,na ni kweli na jana hata mngecheza siku mbili msingefunga ila mngefunwa nyinyi tu.

Mkishaanza kupiga long balls/aerial ball against Chelsea there is only one winner,Liverpool walikuwa too slow by the time wanafika golini Chelsea 10 wote washarudi nyuma ya mpira,walichotakiwa Liverpool kufanya ni kuongeza speed kama alivyofanya Sterling mara chache kipindi cha kwanza.
 
baba kelvin kajipangeni tu muombee city wapoteze points kwenye mechi zilizobaki,na nyinyi msipoteze point hata moja.
Kuna mechi walicheza united na chelsea ot mourinho baada ya mechi akasema hata wangecheza wiki nzima man utd wasingepata goli,na ni kweli na jana hata mngecheza siku mbili msingefunga ila mngefunwa nyinyi tu.

Mkishaanza kupiga long balls/aerial ball against chelsea there is only one winner,liverpool walikuwa too slow by the time wanafika golini chelsea 10 wote washarudi nyuma ya mpira,walichotakiwa liverpool kufanya ni kuongeza speed kama alivyofanya sterling mara chache kipindi cha kwanza.

u made my day!
 
FORMATION ANAYOTUMIA SPECIA ONE NA IPO KWENYE FORMATION ZINAZOJULIKANA KITAALAMU.4–3–2–1 (the "Christmas Tree" formation)

HONGERA KWA HOJA MKUU MEANDU:

ingawa mara nyingi msimu huu tumetumia; 4-3-3 au 4-2-3-1.

tukicheza 4-2-3-1 kikosi huwa hivi:

4: cesar azp, cahill, terry, ivanovic.
2: Matic na Mikel.
3. Hazard, Oscar, Willian.
1. BA au Eto'o.

tuko pamoja mkuu;

blue is the colour.
 
formation anayotumia specia one na ipo kwenye formation zinazojulikana kitaalamu.4–3–2–1 (the "christmas tree" formation)

hongera kwa hoja mkuu meandu:

ingawa mara nyingi msimu huu tumetumia; 4-3-3 au 4-2-3-1.

Tukicheza 4-2-3-1 kikosi huwa hivi:

4: Cesar azp, cahill, terry, ivanovic.
2: Matic na mikel.
3. Hazard, oscar, willian.
1. Ba au eto'o.

Tuko pamoja mkuu;

blue is the colour.

safi kamanda wengine wandhani tunacheza mpira siju wa wapi kumbe ni kitu cha kawaida tu ila inategemea unacheza na nani na wakati gani na wachezaji ulionao ukilinganisha na timu pinzani
 
Kama hakuna time wasting sababu dk zinaongezwa then kwanini Cole alipewa kadi ya njano kwa kupoteza muda? Kwanini hazard alimfumua teke ball boy, siku chelshit walipocheza na Swansea?

Its obvious kwamba ni ngumu kupenya watu 11 waliojazana kwenye eneo la kipa. Na moja ya kipimo cha timu inayoshambulia vizuri ni magoli...you have the answer on this...ni aibu unaongelea kufunga wakati Skrel anawazidi magoli washambuliaji wenu!

na huyo skrtel jana alikuwa amekatwa miguu alikuwa goalkeeper?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom