Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

chelsea fc players should be banned because they stopped the SSS.
10274189_1026804900693059_6485015124327476873_n.jpg
[/QUOTE]
 
Mkuu nimekubali! Ngoja sasa waone moto!

Maana Kumbe wamezoea moto Hawa MBURUKENGE LOSERFOOL.

kelele kama kocha wenu....nashangaa kuwasikia mabingwa mkisema ubingwa bye bye!!! wakati mmemchapa direct opponent!
 
kelele kama kocha wenu....nashangaa kuwasikia mabingwa mkisema ubingwa bye bye!!! wakati mmemchapa direct opponent!


wivu unakusumbua;
bado nani tukusaidie kumpiga..maana hao tunaowapiga wewe walikushinda.🙂
 
chelsea fc kwa miaka 10 iliyopita imekuwa na mifumo mikuu 2.

4-3-3.(jana)
4-2-3-1(kama tunataka kucheza attacking football)

hakuna siri katika formation; siri ya mafanikio ya CHELSEA FC ni ile 'special spirit'. we like to WIN..WINNING IS THE ONLY OPTION.


OUR AIM IS NOT TO POSSES THE BALL ..BUT TO SCORE GOALS.🙂

Na mfumo wa 9-0-1 huwa mnautumia mkitaka kufanyeje?
 
Kama hakuna time wasting sababu dk zinaongezwa then kwanini Cole alipewa kadi ya njano kwa kupoteza muda? Kwanini hazard alimfumua teke ball boy, siku chelshit walipocheza na Swansea?

Its obvious kwamba ni ngumu kupenya watu 11 waliojazana kwenye eneo la kipa. Na moja ya kipimo cha timu inayoshambulia vizuri ni magoli...you have the answer on this...ni aibu unaongelea kufunga wakati Skrel anawazidi magoli washambuliaji wenu!
Hakuna 'time wasting' kwa sababu ndo maana kuna 'additional minutes'. FIRST HALF: ziliongezwa dakika 3 tukacheza hadi 49. Mwishoni mwa gemu ziliongezwa 4 tukacheza hadi 95. mbona husemi hilo pia?
Mlishindwaje kupenya ukuta..kama kweli nyie mna washambuliaji wazuri?

Sasa tumepata mechi 17 za EPL bila kuruhusu hata goli moja.:smile-big:
 
Nikuulize wewe :der: kwa sababu kama ulijua tunacheza 9-0-1 usingekuwa unaongea pumba jukwaani.
Umekuwa mnyonge sana leo..kasome kwenye jukwaa nimejibu 'hoja' zako ulizokuwa unasema kabla ya jana.

wewe mtoto mdogo sana kubishana na mie kwenye MPIRA WA ULAYA.
Na mfumo wa 9-0-1 huwa mnautumia mkitaka kufanyeje?
 
And that is why siku mbili baada ya cheshit kucheza, hakuna mtu yeyote anayejua mpira (Except the plastic fans) anayekumbuka kwamba juzi yake cheshit walicheza
Km kucheza ndani ya box ni makosa basi FA Waifungie Chelsea!

Alikuja na mlinganisho Wa wachezaji nikamwambia hiyo itabaki hapa jf Lkn sio uwanjani! Ameona mwenyewe!

Sasa anakuja na kejeri kwa Jose!

Hatukwenda ANFIELD KUMFURAHISHA OSOKONOI KWA KUCHEZEA MPIRA. Tumekwenda kuchukua point 3 na kushida!

BR ni Mdogo tu na ataendelea kujifunza mengi toka kwetu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom