Wangejaribu waone! daadeq
Sikiliza
osokonoi, unabwabwaja sana...Mourinho anaogopeka na makocha wengi kwa sababu anao uwezo wa kubadili mchezo kutokana na adui anayecheza naye na lengo la mechi.
Huwezi kuruhusu wachezaji wako wacheze high tempo ilhali baadhi yao unawahitaji fresh come wednesday! Alilisema hili mwanzoni.
Inajulikana Liver ni attack minded na weakness yao ipo kwenye kulinda goli lao. Kwa kujua hili, wakajipanga kuzuia kwanza kisha kufunga. Liver wao hawakutaka kuangalia makosa yao na mapungufu yetu. walienda kama roboti..attack attack attack..well, unafurahisha mashabiki unapokuwa na 70+ possession ila ukashindwa kufikia lengo; a draw ama win!
Kukuthibitishia kuwa tungeweza kwenda attack for attack ni game yetu ya kwanza kwani tulikuwa na kikosi chetu na hakukuwa na wazo la champions league. Ni simple logic..the best coach+team won!
Take a chill pill mate and relax!