palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,463
na ana formula adimu na tofauti kabisa
ni kweli kabisa amewaambia kuwa hata ucheze mpira mzuri kiasi gani usipofunga, kuchukua kombe au kushinda mashabiki daima hawana furaha. Ukicheza mpira wa ovyo ukachukua kombe watu wanasahau mpira wa ovyo wanafurahia kombe.